Thursday 27 December 2012

[wanabidii] Mafunzo ya ujasiriamali kwa vikundi Tanzania.

Nimekuwa nikiulizwa na watu wa mikoani kwamba nitawafikia vipi? Napenda kuwafahamisha kwamba tutaendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa vikundi sehemu yoyote hapa Tanzania tukihitajika. Muwezeshaji atakuwa ni Charles Nazi Mshauri wa biashara na Mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara, toka kampuni ya CPM BUSINESS CONSULTANTS. Gharama ya mafunzo ni Sh. 300,000 kwa kila kikundi. Mada zitakazofundishwa ni kama ifuatavyo;

1. Namna ya kuanzisha biashara.
2. Namna ya kutafuta masoko na kutangaza biashara yako.
3. Namna ya kupambana na vikwazo katika biashara yako.
4. Namna ya kuweka kumbu kumbu za hesabu za biashara yako.
5. Mifano hai ambayo unaweza kuifuata na kuanzisha biashara
6. Maswali na majibu.
Kwa wale ambao watahitaji huduma hiyo wapige simu au watume ujumbe kwenye simu namba 0755394701

CHARLES NAZI
Mshauri wa biashara na mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara;
http://www.squidoo.com/mshauricharles

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment