Wednesday, 26 December 2012

[wanabidii] Jamboleo, Uhuru....

Misango yuko sahihi hata kama hana taaluma ya uandishi wa habari. Yuko sahihi hata kama ana upungufu. Yuko sahihi katika hili hata kama huandika propaganda. Kwanini tunaandika bila kuhoji? JMalugu

0 comments:

Post a Comment