Monday 3 December 2012

Re: [wanabidii] Should pregnancy be a pre-requisite to marriage?

Pole gm26,

Kumbe bado uko kwenye mila za kuolea mawifi na mashemeji? Mimi nilidhani hayo yalishakwisha! Sasa kwa mtindo huu, ukimwi utakwisha kweli? Maana mnachosema hapa ni kwamba una-test, ukikuta hakuna unaacha, unaangaza mbele kuendelea ku-test; kama bahati yako mbaya, waweza test mara kumi hujafanikiwa, hapo hujajua kuwa tatizo ni wewe (mwanaume)!! Wanawake wachache sana watakuwa na "courage" ya kusema "ngoja nihakikishe", ni wanaume wanaongang'ania! Mwanamke anaweza kuwa ametoa mimba sawa, wewe je, umelala na wangapi and actually kuwasaidia wangapi kuzitoa hizo mimba? Jichunguze, tafakari!! LKK 
 


From: "gm26may@gmail.com" <gm26may@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, December 3, 2012 10:53 PM
Subject: Re: [wanabidii] Should pregnancy be a pre-requisite to marriage?


YES

Lazima ucheki kama shamba lina rutuba au la!

Ukizingatia sasa twakutana makazini au vyuon wakati hatujuani historia zetu in details

Waweza kuta bint keshazitoa kama 7 hivi halafu mwaanza hangaika kutafuta tiba nayeye anauchuna kumbe anajua tatizo ni nin

Kwa upande mwingine kwa kuongezeka kwa idadi ya Wanaume suruali ni muhimu kwa mdada kutest kama yupo na right man kuliko kwenda kuanza kutukanwa na mawifi na wakwe zake kuwa anajaza choo

Alamsiki
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

-----Original Message-----
From: Kusirie Senkondo <kusirie@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 3 Dec 2012 19:10:34
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Should pregnancy be a pre-requisite to marriage?

Big NO

Kusirie

On Dec 3, 2012, at 18:02, Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com> wrote:

> Looking around in our society , it gradually becoming a norm to see
> pregnant brides.
> This is against the dictates of most religion practiced . More
> worrying is when i see the daughters of parents who preach against
> this trend take the same route. People however justify their action
> with excuses like I want to be sure she is not barren; my auntie did
> not have a child after her marriage because of some witch that was
> present on the wedding day. i even hear some mother in-laws enforce it
> on the wife to be that she must be pregnant.
>
> So should pregnancy be a pre-requisite to marriage?
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment