Tuesday 25 December 2012

Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Hk

Kijana JL kilingana na hoja zake hapa jukwaani anaonekana kuwa mgonvi sana. Anajua matusi na kejeli. Ni maarufu katika kujenga hoja za nguvu. Mtu kama huyu katika sayansi ya sias hutumiwa tu ili kufanikisha malengo ua kundi fulani. Kisha hawa hutupwa nje kwa kuwa wakiendelea kuwa nao karibu wanavuruga kila kitu.

Kwa bahati mbaua sasa. kijaa wa watu hajui hilo. Atakuja kufahamu wakati kumekucha atakapokumuka sshuka.

Siasa ni hoja na jinsi ya kuielekeza kwa wallengwa siyo vitisho na matusi vinghinevyo wote tutaonekana hatuna maana na usomi wetu utakuwa hauwasidii watanzaniia.

Kwa watu waungwana kama walioko hapa jukwaani wanajuaukweli na uongo haata uupambe vipi. Tujadiliane kwa amani na upendo, kwanza hivi ndivi tulivyo wataanzania.

------------------------------
On Wed, Dec 26, 2012 07:07 GMT josephludovick@gmail.com wrote:

>Nanyaro hajui siasa za kutegemea kikwete ambebe hata akiwa wa tatu kwenye kura za maoni
>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
>-----Original Message-----
>From: hkigwangalla@gmail.com
>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>Date: Wed, 26 Dec 2012 06:30:42
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU
>
>Ni kweli kabisa Kunyaranyara, nimepata kukutana na Nanyaro, ni kijana msomi mzuri, mwelewa, open-minded kabisa na mwenye future yake nzuri tu! Sielewi huu uanaharakati wa kutoa kauli za vurugu anautoa wapi! Anatakiwa ajifunze Political elitism na aachane na Political activism, na hapo atafanikiwa zaidi na zaidi kwenye maisha yake
>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
>-----Original Message-----
>From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>Date: Wed, 26 Dec 2012 06:06:12
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU
>
>
>Mheshimiwa Nanyaro,
>
>wakati mwingine unaongea kama mpiganaji aliyeko msituni tayari kwa mapambano. HIVYO ndivyo mlivyo karibu wote isipokuwa wachache tu. Wakali, wafanya fujo basi yaani kila aina ya vurugu nyie mwafanya.
>
>Tunataka amani nyie mliozoea fujo shauri yenu. Kuna siku nilikuona ukijenga hoja kwenye BARAZA la madiwani ukiwa mtulivu lakini ukija hapa sijui unakuwaje Mheshimiwa.
>
>Najua hamtapata nafasi ya kuongoza nchi hii. Wewe utaumia sana. Watakaoleta fujo na vurugu watadhibitiwa tu, anggalia usije kuwa mmojawapo kwa kauli zako hizi zinazohamasisha uvunjifu wa amani eti "Atake asitake". Wewe ni mwasiasa bwana haya si maneno yanayosyahili kutumika hapa.
>
>Pole.
>
>--
>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>DELL LATITUDE D 620 & D30
>
>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
>TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
>CALL : 0786 806028
>Free Delivery in Dar es salaam
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment