Thursday 27 December 2012

Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Kigwangala,
 
Unaandika sana na nadhani pia utakuwa unaongea sana. Kuandika sana si jambo baya lakini kuandika mambo yasiyo na maana au kejeli kwa mtu ambaye ni kiongozi inakuondolea heshima mbele ya jamii ya watu wenye hekima.
 
Katika kuchangia kwako umenitaja kwa jina, na baadaye unaeleza kuwa tunamkejeli JK lakini kwa ufahamu wangu ni kuwa sijwahi kumkejeli JK kama Rais, kama binadamu au kiongozi wa CCM. Nimewahi kueleza katika mijadala iliyowahi kuletwa hapa siku za nyuma kuwa adui namba moja wa maendeleo ya watanzania ni uongozi wa CCM, nilieleza hayo kwa hoja, unaweza kukubali au kukataa lakini mimi ndivyo ninavyoamini. Na nimewahi kueleza pia kuwa hatua ya mwanzo ya kuleta mabadiliko chanya katika Taifa letu ni lazima yaanzie na kuuondoa uongozi pingamizi wa maendeleo ya Watanzania, uongozi wa CCM, nilieleza hayo kwa hoja, waweza kukubali au kukataa. Niliwahi pia kueleza mambo ambayo tulitegemea JK ayafanye ili kuleta mabadiliko, ambayo hajayafanya, na hivyo kufifisha matumaini ya watanzania, mambo hayo niliyataja. Lakini katika kuyajadili hayo sijawahi kumkashfu, kumkejeli au kumdharau JK kama Rais, kama binadamu, kama kiongozi wa CCM au mwanaCCM, na wala sijawahi kufanya hivyo kwa mwingine yeyote. Lakini pia nimewahi kuelezea kwa nini ninaamini Dr. Slaa anaweza kuwa kiongozi awafaaye Watanzania katika kuleta mabadiliko wanayoyataka, na nililieleza hilo kwa hoja.
 
Hivyo siamini kama hoja yako ya kutumia lugha isiyo ya kistaarabu ilisababishwa na mimi kutumia lugha ya kejeli dhidi ya Rais ni sahihi, labda kama ulikuwa unarejea kauli za watu wengine.
 
Na nilipoeleza kuwa kauli zako zinaonesha ni mtu mwenye kipaji cha mipasho nilikuwa nikirejea maneno yako ya hapa chini, ambayo kwa namna yeyote iwayo sidhani kulikuwa na sababu ya kuyaleta hapa jukwaani. Inapendeza kama jukwaa lingepata heshima ya kuwa mahali pa mijadla ya hoja kuliko kuwa uwanja wa ,ipasho.
 
 On 23 Des 2012, at 20:01, hkigwanga...@gmail.com wrote:
> > > > > Slaa amechoka na hana hoja tena siku hizi, awaachie vijana makini
> > kama akina Zitto wafanye kazi ya kueleweka, yeye akalee watoto wake tu na
> > mchumba wake Jose.
>
> > > > > Kama hana kazi nyingine ya kufanya arudi shuleni akasome Bachelor
> > degree ili ahalalishe ile Ph.D yake aliyoipata akitokea Diploma!
>
> > > > > Urais wa nchi haupewi pewi tu, unatafutwa kwa wenye nchi. Mwambieni
> > Slaa akatafute walau Urais wa NGO kama anatamani sana hiyo title.
 
Hata kama huamini Dr. Slaa anawezi kuwa Rais awafaaye Watanzania, sidhani mtu yeyote mwenye akili timamu, hekima na busara anaweza kutumia maneno hayo hapo juu. Maana hayaelezei kutofaa kwa Dr. Slaa kuwa Rais bali ni maneno ya kejeli. Kwa mtu ambaye ana utashi wa uongozi hawezi kutumia maneno kama hayo. Kuna wakati umeeleza kushika kwako nafasi mbalimbali za ukiranja ulipokuwa shule kama uthibitisho wa kipaji chako cha uongozi lakini ningependa kukufahamisha kuwa kuna watu wanapenda sana kuupata uongozi japo hafai, hawana kipaji wala uwezo lakini ni wapenda madaraka. Ndiyo maana kuna watu waliwahi kuwa mpaka marais lakini walikuwa na uwezo duni kabisa, wakaishia kuwa madikteta. Na watu wengi wanaoupenda uongozi ni wale wasiofaa kuwa viongozi (Maneno ya Mwalimu Julius Nyerere). Hakuna nchi hata moja isiyo na viongozi lakini ni nchi chache sana katika Afrika ambazo zina viongozi wenye uwezo na vipaji vya kuwa viongozi. Nci nyingi za Afrika zina karibu kila kitu, zinachokosa ni uongozi wenye uwezo na dhamira.
 
Sidhani kigwangala kama unaongeza chochote kwenye kutumia lugha na maneno haya ya kejeli, inawezekana hujajikubali wewe mwenyewe kuwa sasa umekuwa kiongozi.
 
Bart     
From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, December 27, 2012 3:07 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Mmeishiwa hoja sasa, pumzikeni, msianze dhihaka! Kukubali kushindwa siyo kushuka hadhi ni kukiri kuwa wewe ni mshindani ila umeshindwa na unarudi nyuma kujipanga upya...enendeni mkajipange!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: josephludovick@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 27 Dec 2012 10:07:18 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Kigwangallah ulichapwa makofi mangapi siku ile ulipotaka kuandamana?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: hkigwangalla@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 27 Dec 2012 07:23:41 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Bart,

Ukianza kutafuta waropokaji kwenye nchi hii utapata kazi sana kunifikia huko nilipo kwenye mstari maana itabidi uanzie kwa mropokaji namba moja ama mbili kwa sasa, Ndg. Slaa WP, kisha uje kwa vile vingine vingine sasa...

Sina chuki yoyote ile na Ndg. Slaa, usijaribu kuibumba hata kidogo. Kama unachukulia kumkosoa ni chuki basi ntasema na wewe una chuki binafsi na Rais JK! Nimewahi kumzungumzia Ndg Slaa mara mbili, kipindi kile kwenye mjadala wa elimu yake na sasa, basi! Hayo ya chuki yanakujaje? Mi simkubali tu kama Rais na nasema aliwahi kuwa MB mzuri, ndiyo, na siwezi kumuunga mkono awe Rais kwa kuwa naona ana uwezo mdogo, hana Bachelors degree na doctorate yake ina utata, period! Nimeingia kujadili mjadala huu kwa kuwa tu mmeingiza mambo ya dharau dhidi ya Rais JK ambaye mimi namkubali (kama vile wewe unavyomkubali Ndg. Slaa) na ninaona anaendesha vizuri nchi yetu, sema mnamjadili Rais kwa dharau na chuki zisizo na msingi wowote ule! Mmevalishwa miwani ya mbao na hamuoni mazuri ya serikali ya Tanzania, wakati kiukweli kabisa yapo na tunapiga hatua, sasa tuwafanyeje?

Nimesema huko nyuma kwamba, nina heshimu viongozi wenzangu na ndiyo maana siwatukani kwa mapungufu yao ya kibinadamu ama kwa kutumia maneno ya kashfa na dharau, na ndiyo maana nikasema sintotoa siri ya madudu ya Slaa ya Igunga (kwa sbb yale ni binafsi!), na mimi sifanyi siasa za character assasination bali siasa ya issues na vitendo!

Wakatabahu,
HK.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: Bmkinga <bmkinga@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 26 Dec 2012 22:00:32 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Kigwangala,

Hujawahi kunisikia hata siku moja nikilazimisha kuwa ni lazima Dr. Slaa awe Rais. Anaweza kuwa mgombea wa Urais kama CHADEMA wakiridhika ndiye mgombea anayeweza kuchaguliwa na wananchi kuwa Rais wa Watanzania, anaweza kuwa Rais wa Tanzania kama Watanzania wengi wakiamua hivyo. Na hiyo haitegemea wewe au mimi tunataka au la.

Kinachonishangaza ni chuki zako binafsi unazozionesha kwa Dr. Slaa. Hata kama umeupata ubunge kwa bahati mbaya, ni vema angalao ukajifanya mwenye hekima kwa heshima ya nafasi ya ubunge. Nafasi uliyo nayo ni ya heshima kubwa ambayo haistahili kushikiliwa na waropokaji bali watu wenye busara na wenye utulivu wa mioyo na akili.

Kumbuka kwamba busara ya mtu hupimwa na kile akitamkacho wala siyo kwa mavazi yake.

Bart

Sent from Samsung Mobile

hkigwangalla@gmail.com wrote:

Mtoi,

Niliandaliwa na CCM kuwa kiongozi shupavu, mzalendo na jasiri kupitia mafundisho ya itikadi za CCM (enzi za single party system) na nilikuwa kiongozi wa chipukizi. Na nilipikwa ipasavyo na shule na vyuo vyote nilivyopita...ukitaka fuatilia track record yangu kwny uongozi na utaona mimi sijaingia kwa bahati mbaya, have always been there! Take it kujisifia ama leave, that's the truth! Hata jamaa yako Bashe anajua kuwa nilikuwa Monitor wake toka Std I hadi nikawa kiranja na mpaka nilipohama shule ya Kitongo, uliza Sekondari, nimewahi kuwa Mbunge wa bweni, spika wa bunge, Vice Head Prefect na high school nilikuwa Head Prefect, na chuo kikuu nimewahi kuwa President etc etc yote haya ni maandalizi ya kuwa kiongozi ambayo yanawekwa na system...
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: "Mohamedi Mtoi" <mouddymtoi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 26 Dec 2012 12:10:47 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Hk
Huwa unanifurahisha maana unajua kujipigia mistari. Uliandaliwa kwenye uongozi toka lini?! Hoja zako zimekaa kuunganisha fitna tu! Ningeshangaa usinge mtaja Bashe ambaye kwako ni mtaji wa kisiasa. Kumbuka ndiye ulimnyang'anya nafasi yake.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
From: hkigwangalla@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 26 Dec 2012 11:34:40 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Mtoi, acheni kunisukuma niseme mambo ambayo sipendi kuyasema maana hiyo si aina ya siasa ninazofanya mimi, nimeenda shule na nimejifunza uongozi toka nikiwa mdogo, hivyo nimefundishwa uvumilivu na staha, sikuingia kwenye ubunge kwa ajali, naipenda na ninaiweza kazi hii! Nimeandaliwa. Sikuingia kwenye uongozi kwa bahati mbaya kama wengine, hata urais walilazimishwa na vyama vyao, hawakuwa wamejipanga kugombea. Usishangae kwa nini.

Msinifanye na mimi kama hao wanaofanya siasa za kuwashambulia wenzao kama Mnyika (alivyomshambulia Rais - mtu aliyefanikiwa kisiasa kiasi hicho!) ama ndg yangu Bashe (aliyeamua kwenda hadharani na kumshambulia Membe)! Ukiwa smart sana kwenye siasa utasimamia issues na siyo watu, na utadumu sana kwa hivyo!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: "Mohamedi Mtoi" <mouddymtoi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 26 Dec 2012 09:02:47 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

HK.
Acha vitisho na mikwara mbuzi! Hayo ya siri ungekuwa unayajua kwa kupenda cheap politix ungekuwa umeshaitisha press conference siku nyingi. Bahati mbaya na wewe umekuwa na akili kama za Nape, yeye kwake Dr Slaa ni babu ila Sitta ambaye ni mkubwa kuliko Dr Slaa yeye ni mzee, na kwa aibu zaidi jana kwenye mjadala mmoja kamuita Jeetu Patel kuwa ni baba yake wakati Jeetu Patel na Dr Slaa Jeetu ni mkubwa zaidi ya slaa.

Mmepewa kazi maalumu ndiyo, tatizo ni kwamba kazi hiyo ni kubwa kuliko uwezo wenu wa kiakili dhidi ya Dr Slaa.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
From: Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 26 Dec 2012 11:34:24 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

HK
Hivi ni heshima kumwita Dr Slaa katibu mkuu Taifa wa CHADEMA chama kinachoinyima usingizi serikali ya JMT babu?si nilisema toka awali kuwa wewe na Yona Maro na sasa ameongezeka Ezekiel kuwa mpo kwenye mkakati wenu na ccm wa kuwafanyia viongozi wa upinzani hasa Dr Slaa character assasination?
Hakuna cha siri unayoijua ya Igunga,nilikuwepo Igunga toka mwezi wa Nane mwishoni,hakuna siri yoyote unayoijua juu ya CHADEMA,mimi siendi kumwuliza Dr 

2012/12/26 paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
Kumradhi,nilimaaisha CCM , siyo CM
 
Ludo,

Utanichukia nikianza kusema ukweli hapa...don't push me pse!

Niache nimstahi babu yako hapa, mi sinaga siasa za propaganda, ntafunguka hapa? Ohooo!
Nimemwambie Nanyaro akamuulize Slaa yale ya Igunga ya siri ni yapi hayo, huku akimuangalia usoni? Kisha aniambie kwa simu kama nifunguke hapa ama la!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
Date: Wed, 26 Dec 2012 08:13:09 +0000
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

HK usiwe kama hujui ni kwa nini babu seya alifungwa? Alifanya nini? Au yule mtoto wa mbunge wa viti maalumu ... Aliyekuwa anaishi pale msimbazi amemzaa na nani? Kuhusu udhaifu kwa wanawake unadhani una jipya gani zaidi ya yale ya kale. Dhaifu anaongoza hata katika hilo.na sisi tunataka kiongozi makini na siyo viungo vake vya uzazi
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
Date: Wed, 26 Dec 2012 07:45:05 +0000
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Nanyaro, unataka nikuite 'dhaifu' ama niseme 'Slaa alivyo dhaifu' kwa wanawake kisha nikuulize unavyojisikia ndipo ufahamu maana yake?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
Date: Wed, 26 Dec 2012 10:37:39 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

HK hivi neno DHAIFU ni tusi?

2012/12/26 Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
Ezekieli hayo ya BARAZA ni ya huko,na ya huku ni ya huku,ukweli ni kwamba kama kuna wanaochochea vita na kauli mbovu ni nyie makada wa ccm,hasa kwa kufanya character assassination za viongozi wa vyama vingine,kisha mnataka tunyamaze.kamwe hatutonyamaza

2012/12/26 Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
Ezekiel na HK msifikiri manaweza kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa,hizo ni mbinu zenu tu za kutaka kutugawa ili wengine wadhani kuwa bora kuliko wenine,wadhani kuwa wastaarabu kuliko wengine.Je anayeleta kauli za kuvunja amani ni yule anasema ukweli au ninyi mnaosema Et Dr Slaa hawezi kuingia ikulu?wewe ni nani hadi useme hivyo?pia mtambue kuwa Amani ni zao la haki,pia amani sio kutokuwepo kwa vita,tafakarini.......
Hoja ya udhaifu wa Rais inaonekana wala haitaki uwe na elimu ya darasa la pili ili uone hivyo,

2012/12/26 <josephludovick@gmail.com>

Mpuuzi huyu anadhani yeye ataweza kupunguza kasi ya Dr slaa
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
Date: Tue, 25 Dec 2012 22:33:18 -0800 (PST)
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Dr. HK,
 
Nimeuliza swali tu. Kwa nini isiwe CHADEMA? Kwa nini Dr. Slaa? Hii ya JK mimi sijaichangia kabisa.

From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, December 26, 2012 8:47 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Pete, hata na wewe unaingia kwenye kundi la akina Bart Mkinga wanaoamini kwenye siasa uchwara za kupiga kelele bila kuwa na hoja? Ati Slaa Slaa Slaa Rais Rais, hivi ana sera na mikakati gani ya maana ya kumlinganisha na Rais aliyemshinda kwenye uchaguzi na kuchaguliwa na wananchi kihalali? Ana nini haswa huyu mpaka mseme ati aachiwe Ikulu, Ikulu wamekuwa wanaachiwa tu, kama anaitaka apigane kuipata, atuaminishe kwamba yeye ni Mwanasiasa makini na mwenye uwezo wa kuwa Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa nchi yetu...tena bila mashaka mashaka! JK alifanya hivyo na alipewa nafasi na watanzania, hakuachiwa na mtu! Zaidi ya mkumbo wa watu wachache tu wa mijini wanaodhani watapata maisha bora kwa Slaa kuingia Ikulu bila wao kufanya kazi kubadili maisha yao, sioni lolote la maana sana la kuwafanya wasomi kama wewe mhangaike sana Slaa, honestly! Hivi ana nini haswa? Alipokuwa Mbunge, kweli alikuwa ana impact, lakini siku hizi sioni chochote cha maana anachoongea zaidi ya propaganda za chama chake! Sijui labda mnielimishe kwa kweli, no offence, nafikiria huru kabisa nje ya itikadi ya chama changu, lakini sioni jibya la huyu chalii aisee!

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
Date: Tue, 25 Dec 2012 21:31:48 -0800 (PST)
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Kigwa,
 
Kwa nini Dr. Slaa tu? Zito??!!
 
Na msukuma mikokoteni Nzega vipi??!!

From: Bart Mkinga <bmkinga@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, December 25, 2012 12:06 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Kigwangala,
 
Uliwahi kuwa mwimbaji wa taarabu wakati wowote ule wa maisha yako? Naona kama unafifisha kipaji chako kwa kung'ang'ania ubunge. Ungejitahidi kukuza kipaji chako kwenye tasnia ya mipasho nina hakika ungekuwa maarufu zaidi na yumkini ungeweza kujipatia wapenzi wengi kwenye kumbi za miziki.
 
Bart

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, December 24, 2012 11:45 PM
Subject: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Ndugu Ephata Urais ni Taasisi inajumuisha mambo na watu wengi sana
ikiwemo wabunge ambao Chama chenu pia kinao , ikijumuisha halmashauri
ambazo chama chenu kinaongoza sasa hawa nao tuwaweke wapi nao
wameshindwa waondoke pamoja .

On Dec 24, 11:14 pm, Ephata Nanyaro <nanyar...@gmail.com> wrote:
> Yona Maro
> CHADEMA haikuwa inapigania udiwani au uenyekiti wa mtaa au Ubunge kwenye
> ofisi zake makao makuu Kinondoni,CHADEMA ni chama cha kitaifa,na
> kinakubalika maeneo mengi,hoja yako hii ni mufilisi na ni kielelezo cha
> kutotaka kufikiri kwa kina.Hata kama wewe Yona hutaki Jk ikulu
> imemshinda,na ndio maana hata Waziri mkuu wake alipata kusema kuwakamata
> mafisadi nchi itayumba.Unapomwona Rais anawabembeleza waizi ujue ni
> dhaifu,na hajui alitendalo.Kwa kipindi ambacho Dr Slaa amekuwa Katibu mkuu
> wa CHADEMA ambaye ndiye mtendaji wa shughuli za kila siku za chama,umeona
> kasi ya kukua kwa CHADEMa ambayo ndio HOFU yenu,ameweza kusimamia maamuzi
> sahihi ya CHAMA,amedhubutu,swala la JK kuondoka sio hiari yako wewe Yona
> wala HK ni lazima,au mnataka au hamtaki
>
> 2012/12/24 Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>
>
>
>
>
>
>
> > Wewe na yule ndio mnaona hoja nyepesi sio mimi na wengine tuliochangia
> > moja au mbili - Hebu niambie kwanini CHADEMA haina diwani kwenye kata
> > ya Makao makuu ya chama ?
>
> > On Dec 24, 10:50 pm, josephludov...@gmail.com wrote:
> > > Kwani wewe yona ni ngumbaro? Umeambiwa kuwa hiyo ni hoja kioja hautaki
> > kuelewa.jamani kama unalo tumbo kubwa si ukale ulale, JK mwenyewe anajua
> > ukali na uzito wa mtu huyu.wewe masalia utaweza mfupa uliomshinda chui?
> > > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> > > -----Original Message-----
> > > From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>
> > > Sender: wanabidii@googlegroups.com
> > > Date: Mon, 24 Dec 2012 11:46:53
> > > To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> > > Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> > > Subject: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU
>
> > > Kiongozi wa Chama ambaye anashindwa kushawishi wananchi kumpigia kura
> > > mgombea wake angalau wa udiwani kwenye Makao makuu ya chama chake hata
> > > urais haumfai , acha hoja yangu ionekane nyepesi na uzushi ila msimamo
> > > wangu utabaki kuwa ule ule haijalishi nini kilitokea , halafu
> > > ameshindwa hata kumtambua aliyemshinda katika mashindano ambayo yeye
> > > alikuwa mshindani na alikula viapo mbalimbali .
>
> > > On Dec 24, 10:34 pm, Laurean Rugambwa <rugam...@hotmail.com> wrote:
> > > > Mh.Kigwangalla,
> > > > Nakubaliana na wewe kuwa hoja ya chini na kichwa cha habari ni ya
> > kitoto. Lakini na wewe, je unayeijibu na kwa majibu yako hapa chini na
> > mipasho huoni kuwa ni sawa na yule mtu alimkimbiza kichaa akiwa uchi kisa
> > nguo zake zimechukuliwa na huyo kichaa?
>
> > > > Tafakari!
>
> > > > LR
>
> > > > On 23 Des 2012, at 20:01, hkigwanga...@gmail.com wrote:
>
> > > > > Kumekuwa na tabia ya watu kuleta hoja dhaifu sana na za kitoto hapa
> > jukwaani, hivi Yona hawa wanachama wa hivi huwa unawatoa wapi?
>
> > > > > Slaa amechoka na hana hoja tena siku hizi, awaachie vijana makini
> > kama akina Zitto wafanye kazi ya kueleweka, yeye akalee watoto wake tu na
> > mchumba wake Jose.
>
> > > > > Kama hana kazi nyingine ya kufanya arudi shuleni akasome Bachelor
> > degree ili ahalalishe ile Ph.D yake aliyoipata akitokea Diploma!
>
> > > > > Urais wa nchi haupewi pewi tu, unatafutwa kwa wenye nchi. Mwambieni
> > Slaa akatafute walau Urais wa NGO kama anatamani sana hiyo title
> > > > > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> > > > > From: GILL DAVID <gilldav...@yahoo.co.uk>
> > > > > Sender: wanabidii@googlegroups.com
> > > > > Date: Sun, 23 Dec 2012 09:29:17 +0000 (GMT)
> > > > > To: <h...@muhas.ac.tz>; <m...@mum.ac.tz>; <i...@mzumbe.ac.tz>; <
> > i...@out.ac.tz>; <i...@ruco.ac.tz>; <mfumb...@yahoo.com>; <
> > vcs...@saut.ac.tz>; <admiss...@saut.ac.tz>; <stmarksad...@sjut.ac.tz>; <
> > gchel...@sjut.ac.tz>; <ad...@sjut.ac.tz>; <s...@suanet.ac.tz>; <
> > v...@suanet.ac.tz>; <d...@suanet.ac.tz>; <dvcadmin...@suanet.ac.tz>; <
> > f...@suanet.ac.tz>; <i...@suanet.ac.tz>; <sua...@suanet.ac.tz>; <
> > sc...@suanet.ac.tz>; <pest...@suanet.ac.tz>; <p...@suanet.ac.tz>; <
> > p...@suanet.ac.tz>; <supp...@suza.ac.tz>; <i...@teku.ac.tz>; <
> > dpacade...@duce.ac.tz>; <elctsmm...@smmuco.ac.tz>; <
> > i...@butmaninternational.com>; <sematangoto...@cybernet.co.tz>; <
> > serenacarh...@habari.co.tz>; <sgres...@yahoo.com>; <s...@habari.co.tz>; <
> > to...@albatros.co.tz>; <m...@albatros.co.tz>; <i...@chadema.or.tz>; <
> > rassing...@pmoralg.go.tz>; <mhar...@habarileo.co.tz>; <
> > advertis...@dailynews.co.tz>; <jen...@albatros.co.tz>; <
> > shido...@yako.habari.co.tz>; <sssafa...@cybernet.co.tz>; <
> > s-s.kol...@web.de>; <wanabidii@googlegroups.com>; <
> > unasem...@radiofreeafricatz.com>; <mwananchipap...@mwananchi.co.tz>; <
> > globalpublish...@dar.bol.co.tz>; <educ...@intafrica.com>; <
> > cost...@costech.opc.org>; <i...@satif.or.tz>; <i...@satf.org>; <
> > e...@raha.com>; <e...@cats-net.com>; <zi...@chadema.or.tz>; <
> > worldtourstanza...@hotmail.com>
> > > > > ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> > > > > Subject: [wanabidii] RE: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA
> > IKULU
>
> > > > > Kama CCM inakubali kuwa Dr. Slaa ana kadi ya CCM na ni mwanachama
> > hai basi Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete anapaswa apumzike kipindi hiki
> > kilichobaki cha uongozi ampishe Dr Slaa aingie ikulu amsaidie kumalizia mda
> > huu uliobaki kusafisha uchafu uliopo ndani ya chama na Serekali kwani yeye
> > mheshimiwa Kikwete ameshindwa.Kama Dr Slaa aliweza kuwataja Mafisadi  pale
> > Mwembe Yanga tuna imani naye zaidi kuwa ataweza kupambana nao kuliko
> > Mheshimiwa Kikwete ambaye ametajiwa kabisa Wezi wa mali za Umma lakini
> > anakaa nao meza moja na kula bila kuwachukulia hatua zozote.
>
> > > > > Watanzania wengi tungelijua hilo Mapema kuwa Dr Slaa anayo kadi ya
> > CCM tungeandamana mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asiingie Ikulu kwani
> > hata kwenye kura za uchaguzi vyombo vingi vya kusimamia uchaguzi kutoka nje
> > ya nchi vilishatamka kuwa Dr Slaaa ndiye alikuwa anaongoza kwa kuwa na kura
> > nyingi lakini Serekali ikachakachua matokeo. Uwezo wa kiutawala wa Dr Slaa
> > ni bora mara mia moja kuliko wa mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na ndio
> > maana hata midahalo anaikwepa. Dr Slaa ndiye anafaa kuiongoza nchi mara
> > dufu kulikoni JK.
>
> > > > > Ukiangali sana kila Kiongozo yeyote wa Upinzani wote wametokea CCM
> > na kuanzisha vyama vingine. Wote lazima walikuwa na Kadi za CCM. Sasa
> > inaelekea wengine walitupa kadi zao ama kwa kuwa walikuwa hawazilipii au
> > pengine wanadaiwa na CCM kuzilipia kadi hizo jambo ambalo Katibu Mkuu wa
> > CCM Ndugu Nape Mnauye anatakiwa afuatilie madeni badala ya kupiga kelele
> > hovyo kwa mtu aliyelipia kadi yake na hana deni kama Dr Slaa. CCM ni chama
> > Mama wa vyama vyote. Hivyo mimi sioni sababu ya wao kupiga kelele eti Dr
> > Slaa ana kadi ya CCM. Kadi ile inaweza kuwekwa kwenye jumba la Makumbusho
> > ya chama cha CHADEMA kila mtu ajue jinsi gani Katibu wao alivyokuwa
> > mwadilifu kwa kulipia kadi yake ya uanachama kwa miaka zaidi ya 20 kwa
> > wakati mmoja.
>
> > > > > Serekali ya CCM ina tabia ya kuwafanya Watanzania kuwa wajinga na
> > pengine wapumbafu. Nchi ina mjadala wa fedha zilizofichwa nje. Fedha ambazo
> > zimeyumbisha uchumi mzima wa Taifa. Badala viongozi wa CCM na Serekali yake
> > kujadili jinsi ya kuzirudisha fedha zile zisaidie kuongeza madarasa ya
> > watoto wengi waliofaulu na hawana madarasa wao wanaingiza nchi kwenye
> > mijadala isiyo na tija. Dr Slaa kuwa na kadi ya CCM hata kwenye pochi yake
> > kunamuathiri nini mkulima na mfanyakazi wa Tanzania, au mtoto wa Kitanzania
> > au mfanya biashara wa Kitanzania. CCM acheni mijadala isiyo na tija.
> > Tumewachoka. Porojo mingi sana. Kama mnataka mbaki madarakani jadilini
> > yafuatayo mjinusuru mwaka 2015.
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye mashirika ya umma mliyoyauza ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye viwanda vya umma mlivyouza ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye wanyama mliowawinda na kuwauza nje ziko
> > wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye shamba za umma mlizouza ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye nyumba za umma mlizouziana ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye migodi ya umma zimefanyia kazi gani?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana baada ya kuuza Ranch za Taifa ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizofichwa nje ya nchi mnazirudisha lini ziongeze madarasa
> > na maabara ya wanafunzi?
>
> > > > > -Fedha za mapato na matumizi ya Serekali ya miaka yote 51 mliyokaa
> > madarakani lini mtaziweka wazi kwenye magazeti ya umma kama Uhuru, Mzalendo
> > na Daily News.
>
> > > > > -Fedha zinazopatikana kwenye Hifadhi zetu za Taifa na Milima iliyopo
> > Tanzania lini mtaziweka wazi kwa Watanzania?
>
> > > > > -Fedha mlizopata baada ya kuuuza ardhi ya Tanzania kule Loliondo
> > lini mtaziweka wazi?.
>
> > > > > -Fedha mlizopata baada ya kuuza Bandari ya Mtwara lini tutazijua
> > sisi Watanzania?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana baada ya kuwekeza Viwanja vyetu vya Ndege lini
> > mtaziweka hadharani tuzijue?
>
> > > > > -Vitalu mnavyowinda wanyama mtatujulisha lini mapato yake?.
>
> > > > > -Mtatutajia lini Wabunge na Mawaziri wanaofanya biashara wakiwa
> > kwenye nyadhifa za umma. Tunawajua wanaojenga mahoteli, wanaofanya biashara
> > za mafuta, Usafirishaji nk.
>
> > > > > Mkiweza kuweka mambo haya bayana nina uhakika mtabaki madarakani
> > vinginevyo 2015 jitoeni tu wagombea wabaki ya vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR,
> > TLP, SAU nk. CCM Tanzania mmepoteza uelekeo na imani kwa Wananchi. Mkiona
> > mtu anawashabikia labda ni mmoja wenu, au mpambe, au ana hisa na kampuni
> > zenu, au ni muwekezaji, au mkwepa kodi, au mtoto wenu, au Zuzu, au mchumia
> > tumbo, au anawapa mahirizi maana ndio zenu, au Mkweo, au Hawara, vinginevyo
> > tumewachoka sana tu.
>
> > > > > Maswala ya kuongelea kadi ya Dr Slaa hayana tija kwetu. Tunataka
> > muongelee yote niliyoyataja hapo juu tutawaelewa. Kumuongelea mtu
> > anayependwa na Watanzania walio wengi mnapoteza mda wenu wakati tunajua
> > kabisa ni wivu na husuda tu juu yake na alikuwa ameshinda uchaguzi wa 2010
> > mkamuibia kura.
>
> ...
>
> read more »

--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
0 comments:

Post a Comment