Tuesday 25 December 2012

Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Dr. HK,
 
Nimeuliza swali tu. Kwa nini isiwe CHADEMA? Kwa nini Dr. Slaa? Hii ya JK mimi sijaichangia kabisa.

From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, December 26, 2012 8:47 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Pete, hata na wewe unaingia kwenye kundi la akina Bart Mkinga wanaoamini kwenye siasa uchwara za kupiga kelele bila kuwa na hoja? Ati Slaa Slaa Slaa Rais Rais, hivi ana sera na mikakati gani ya maana ya kumlinganisha na Rais aliyemshinda kwenye uchaguzi na kuchaguliwa na wananchi kihalali? Ana nini haswa huyu mpaka mseme ati aachiwe Ikulu, Ikulu wamekuwa wanaachiwa tu, kama anaitaka apigane kuipata, atuaminishe kwamba yeye ni Mwanasiasa makini na mwenye uwezo wa kuwa Amiri Jeshi Mkuu na Mkuu wa nchi yetu...tena bila mashaka mashaka! JK alifanya hivyo na alipewa nafasi na watanzania, hakuachiwa na mtu! Zaidi ya mkumbo wa watu wachache tu wa mijini wanaodhani watapata maisha bora kwa Slaa kuingia Ikulu bila wao kufanya kazi kubadili maisha yao, sioni lolote la maana sana la kuwafanya wasomi kama wewe mhangaike sana Slaa, honestly! Hivi ana nini haswa? Alipokuwa Mbunge, kweli alikuwa ana impact, lakini siku hizi sioni chochote cha maana anachoongea zaidi ya propaganda za chama chake! Sijui labda mnielimishe kwa kweli, no offence, nafikiria huru kabisa nje ya itikadi ya chama changu, lakini sioni jibya la huyu chalii aisee!

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
From: Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 25 Dec 2012 21:31:48 -0800 (PST)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Kigwa,
 
Kwa nini Dr. Slaa tu? Zito??!!
 
Na msukuma mikokoteni Nzega vipi??!!

From: Bart Mkinga <bmkinga@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, December 25, 2012 12:06 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Kigwangala,
 
Uliwahi kuwa mwimbaji wa taarabu wakati wowote ule wa maisha yako? Naona kama unafifisha kipaji chako kwa kung'ang'ania ubunge. Ungejitahidi kukuza kipaji chako kwenye tasnia ya mipasho nina hakika ungekuwa maarufu zaidi na yumkini ungeweza kujipatia wapenzi wengi kwenye kumbi za miziki.
 
Bart

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, December 24, 2012 11:45 PM
Subject: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Ndugu Ephata Urais ni Taasisi inajumuisha mambo na watu wengi sana
ikiwemo wabunge ambao Chama chenu pia kinao , ikijumuisha halmashauri
ambazo chama chenu kinaongoza sasa hawa nao tuwaweke wapi nao
wameshindwa waondoke pamoja .

On Dec 24, 11:14 pm, Ephata Nanyaro <nanyar...@gmail.com> wrote:
> Yona Maro
> CHADEMA haikuwa inapigania udiwani au uenyekiti wa mtaa au Ubunge kwenye
> ofisi zake makao makuu Kinondoni,CHADEMA ni chama cha kitaifa,na
> kinakubalika maeneo mengi,hoja yako hii ni mufilisi na ni kielelezo cha
> kutotaka kufikiri kwa kina.Hata kama wewe Yona hutaki Jk ikulu
> imemshinda,na ndio maana hata Waziri mkuu wake alipata kusema kuwakamata
> mafisadi nchi itayumba.Unapomwona Rais anawabembeleza waizi ujue ni
> dhaifu,na hajui alitendalo.Kwa kipindi ambacho Dr Slaa amekuwa Katibu mkuu
> wa CHADEMA ambaye ndiye mtendaji wa shughuli za kila siku za chama,umeona
> kasi ya kukua kwa CHADEMa ambayo ndio HOFU yenu,ameweza kusimamia maamuzi
> sahihi ya CHAMA,amedhubutu,swala la JK kuondoka sio hiari yako wewe Yona
> wala HK ni lazima,au mnataka au hamtaki
>
> 2012/12/24 Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>
>
>
>
>
>
>
> > Wewe na yule ndio mnaona hoja nyepesi sio mimi na wengine tuliochangia
> > moja au mbili - Hebu niambie kwanini CHADEMA haina diwani kwenye kata
> > ya Makao makuu ya chama ?
>
> > On Dec 24, 10:50 pm, josephludov...@gmail.com wrote:
> > > Kwani wewe yona ni ngumbaro? Umeambiwa kuwa hiyo ni hoja kioja hautaki
> > kuelewa.jamani kama unalo tumbo kubwa si ukale ulale, JK mwenyewe anajua
> > ukali na uzito wa mtu huyu.wewe masalia utaweza mfupa uliomshinda chui?
> > > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> > > -----Original Message-----
> > > From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>
> > > Sender: wanabidii@googlegroups.com
> > > Date: Mon, 24 Dec 2012 11:46:53
> > > To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> > > Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> > > Subject: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU
>
> > > Kiongozi wa Chama ambaye anashindwa kushawishi wananchi kumpigia kura
> > > mgombea wake angalau wa udiwani kwenye Makao makuu ya chama chake hata
> > > urais haumfai , acha hoja yangu ionekane nyepesi na uzushi ila msimamo
> > > wangu utabaki kuwa ule ule haijalishi nini kilitokea , halafu
> > > ameshindwa hata kumtambua aliyemshinda katika mashindano ambayo yeye
> > > alikuwa mshindani na alikula viapo mbalimbali .
>
> > > On Dec 24, 10:34 pm, Laurean Rugambwa <rugam...@hotmail.com> wrote:
> > > > Mh.Kigwangalla,
> > > > Nakubaliana na wewe kuwa hoja ya chini na kichwa cha habari ni ya
> > kitoto. Lakini na wewe, je unayeijibu na kwa majibu yako hapa chini na
> > mipasho huoni kuwa ni sawa na yule mtu alimkimbiza kichaa akiwa uchi kisa
> > nguo zake zimechukuliwa na huyo kichaa?
>
> > > > Tafakari!
>
> > > > LR
>
> > > > On 23 Des 2012, at 20:01, hkigwanga...@gmail.com wrote:
>
> > > > > Kumekuwa na tabia ya watu kuleta hoja dhaifu sana na za kitoto hapa
> > jukwaani, hivi Yona hawa wanachama wa hivi huwa unawatoa wapi?
>
> > > > > Slaa amechoka na hana hoja tena siku hizi, awaachie vijana makini
> > kama akina Zitto wafanye kazi ya kueleweka, yeye akalee watoto wake tu na
> > mchumba wake Jose.
>
> > > > > Kama hana kazi nyingine ya kufanya arudi shuleni akasome Bachelor
> > degree ili ahalalishe ile Ph.D yake aliyoipata akitokea Diploma!
>
> > > > > Urais wa nchi haupewi pewi tu, unatafutwa kwa wenye nchi. Mwambieni
> > Slaa akatafute walau Urais wa NGO kama anatamani sana hiyo title
> > > > > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> > > > > From: GILL DAVID <gilldav...@yahoo.co.uk>
> > > > > Sender: wanabidii@googlegroups.com
> > > > > Date: Sun, 23 Dec 2012 09:29:17 +0000 (GMT)
> > > > > To: <h...@muhas.ac.tz>; <m...@mum.ac.tz>; <i...@mzumbe.ac.tz>; <
> > i...@out.ac.tz>; <i...@ruco.ac.tz>; <mfumb...@yahoo.com>; <
> > vcs...@saut.ac.tz>; <admiss...@saut.ac.tz>; <stmarksad...@sjut.ac.tz>; <
> > gchel...@sjut.ac.tz>; <ad...@sjut.ac.tz>; <s...@suanet.ac.tz>; <
> > v...@suanet.ac.tz>; <d...@suanet.ac.tz>; <dvcadmin...@suanet.ac.tz>; <
> > f...@suanet.ac.tz>; <i...@suanet.ac.tz>; <sua...@suanet.ac.tz>; <
> > sc...@suanet.ac.tz>; <pest...@suanet.ac.tz>; <p...@suanet.ac.tz>; <
> > p...@suanet.ac.tz>; <supp...@suza.ac.tz>; <i...@teku.ac.tz>; <
> > dpacade...@duce.ac.tz>; <elctsmm...@smmuco.ac.tz>; <
> > i...@butmaninternational.com>; <sematangoto...@cybernet.co.tz>; <
> > serenacarh...@habari.co.tz>; <sgres...@yahoo.com>; <s...@habari.co.tz>; <
> > to...@albatros.co.tz>; <m...@albatros.co.tz>; <i...@chadema.or.tz>; <
> > rassing...@pmoralg.go.tz>; <mhar...@habarileo.co.tz>; <
> > advertis...@dailynews.co.tz>; <jen...@albatros.co.tz>; <
> > shido...@yako.habari.co.tz>; <sssafa...@cybernet.co.tz>; <
> > s-s.kol...@web.de>; <wanabidii@googlegroups.com>; <
> > unasem...@radiofreeafricatz.com>; <mwananchipap...@mwananchi.co.tz>; <
> > globalpublish...@dar.bol.co.tz>; <educ...@intafrica.com>; <
> > cost...@costech.opc.org>; <i...@satif.or.tz>; <i...@satf.org>; <
> > e...@raha.com>; <e...@cats-net.com>; <zi...@chadema.or.tz>; <
> > worldtourstanza...@hotmail.com>
> > > > > ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> > > > > Subject: [wanabidii] RE: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA
> > IKULU
>
> > > > > Kama CCM inakubali kuwa Dr. Slaa ana kadi ya CCM na ni mwanachama
> > hai basi Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete anapaswa apumzike kipindi hiki
> > kilichobaki cha uongozi ampishe Dr Slaa aingie ikulu amsaidie kumalizia mda
> > huu uliobaki kusafisha uchafu uliopo ndani ya chama na Serekali kwani yeye
> > mheshimiwa Kikwete ameshindwa.Kama Dr Slaa aliweza kuwataja Mafisadi  pale
> > Mwembe Yanga tuna imani naye zaidi kuwa ataweza kupambana nao kuliko
> > Mheshimiwa Kikwete ambaye ametajiwa kabisa Wezi wa mali za Umma lakini
> > anakaa nao meza moja na kula bila kuwachukulia hatua zozote.
>
> > > > > Watanzania wengi tungelijua hilo Mapema kuwa Dr Slaa anayo kadi ya
> > CCM tungeandamana mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asiingie Ikulu kwani
> > hata kwenye kura za uchaguzi vyombo vingi vya kusimamia uchaguzi kutoka nje
> > ya nchi vilishatamka kuwa Dr Slaaa ndiye alikuwa anaongoza kwa kuwa na kura
> > nyingi lakini Serekali ikachakachua matokeo. Uwezo wa kiutawala wa Dr Slaa
> > ni bora mara mia moja kuliko wa mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na ndio
> > maana hata midahalo anaikwepa. Dr Slaa ndiye anafaa kuiongoza nchi mara
> > dufu kulikoni JK.
>
> > > > > Ukiangali sana kila Kiongozo yeyote wa Upinzani wote wametokea CCM
> > na kuanzisha vyama vingine. Wote lazima walikuwa na Kadi za CCM. Sasa
> > inaelekea wengine walitupa kadi zao ama kwa kuwa walikuwa hawazilipii au
> > pengine wanadaiwa na CCM kuzilipia kadi hizo jambo ambalo Katibu Mkuu wa
> > CCM Ndugu Nape Mnauye anatakiwa afuatilie madeni badala ya kupiga kelele
> > hovyo kwa mtu aliyelipia kadi yake na hana deni kama Dr Slaa. CCM ni chama
> > Mama wa vyama vyote. Hivyo mimi sioni sababu ya wao kupiga kelele eti Dr
> > Slaa ana kadi ya CCM. Kadi ile inaweza kuwekwa kwenye jumba la Makumbusho
> > ya chama cha CHADEMA kila mtu ajue jinsi gani Katibu wao alivyokuwa
> > mwadilifu kwa kulipia kadi yake ya uanachama kwa miaka zaidi ya 20 kwa
> > wakati mmoja.
>
> > > > > Serekali ya CCM ina tabia ya kuwafanya Watanzania kuwa wajinga na
> > pengine wapumbafu. Nchi ina mjadala wa fedha zilizofichwa nje. Fedha ambazo
> > zimeyumbisha uchumi mzima wa Taifa. Badala viongozi wa CCM na Serekali yake
> > kujadili jinsi ya kuzirudisha fedha zile zisaidie kuongeza madarasa ya
> > watoto wengi waliofaulu na hawana madarasa wao wanaingiza nchi kwenye
> > mijadala isiyo na tija. Dr Slaa kuwa na kadi ya CCM hata kwenye pochi yake
> > kunamuathiri nini mkulima na mfanyakazi wa Tanzania, au mtoto wa Kitanzania
> > au mfanya biashara wa Kitanzania. CCM acheni mijadala isiyo na tija.
> > Tumewachoka. Porojo mingi sana. Kama mnataka mbaki madarakani jadilini
> > yafuatayo mjinusuru mwaka 2015.
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye mashirika ya umma mliyoyauza ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye viwanda vya umma mlivyouza ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye wanyama mliowawinda na kuwauza nje ziko
> > wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye shamba za umma mlizouza ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye nyumba za umma mlizouziana ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana kwenye migodi ya umma zimefanyia kazi gani?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana baada ya kuuza Ranch za Taifa ziko wapi?
>
> > > > > -Fedha zilizofichwa nje ya nchi mnazirudisha lini ziongeze madarasa
> > na maabara ya wanafunzi?
>
> > > > > -Fedha za mapato na matumizi ya Serekali ya miaka yote 51 mliyokaa
> > madarakani lini mtaziweka wazi kwenye magazeti ya umma kama Uhuru, Mzalendo
> > na Daily News.
>
> > > > > -Fedha zinazopatikana kwenye Hifadhi zetu za Taifa na Milima iliyopo
> > Tanzania lini mtaziweka wazi kwa Watanzania?
>
> > > > > -Fedha mlizopata baada ya kuuuza ardhi ya Tanzania kule Loliondo
> > lini mtaziweka wazi?.
>
> > > > > -Fedha mlizopata baada ya kuuza Bandari ya Mtwara lini tutazijua
> > sisi Watanzania?
>
> > > > > -Fedha zilizopatikana baada ya kuwekeza Viwanja vyetu vya Ndege lini
> > mtaziweka hadharani tuzijue?
>
> > > > > -Vitalu mnavyowinda wanyama mtatujulisha lini mapato yake?.
>
> > > > > -Mtatutajia lini Wabunge na Mawaziri wanaofanya biashara wakiwa
> > kwenye nyadhifa za umma. Tunawajua wanaojenga mahoteli, wanaofanya biashara
> > za mafuta, Usafirishaji nk.
>
> > > > > Mkiweza kuweka mambo haya bayana nina uhakika mtabaki madarakani
> > vinginevyo 2015 jitoeni tu wagombea wabaki ya vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR,
> > TLP, SAU nk. CCM Tanzania mmepoteza uelekeo na imani kwa Wananchi. Mkiona
> > mtu anawashabikia labda ni mmoja wenu, au mpambe, au ana hisa na kampuni
> > zenu, au ni muwekezaji, au mkwepa kodi, au mtoto wenu, au Zuzu, au mchumia
> > tumbo, au anawapa mahirizi maana ndio zenu, au Mkweo, au Hawara, vinginevyo
> > tumewachoka sana tu.
>
> > > > > Maswala ya kuongelea kadi ya Dr Slaa hayana tija kwetu. Tunataka
> > muongelee yote niliyoyataja hapo juu tutawaelewa. Kumuongelea mtu
> > anayependwa na Watanzania walio wengi mnapoteza mda wenu wakati tunajua
> > kabisa ni wivu na husuda tu juu yake na alikuwa ameshinda uchaguzi wa 2010
> > mkamuibia kura.
>
> ...
>
> read more »

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment