Wednesday 26 December 2012

Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

mimi naongea nimelewa ushabiki naona nina uafadhali.wewe naona umelewa chimpumu.mimi siyo nimeongelea hiyo cliff,lakini wewe katika ulevi wako wa vitu fulani na sigara kubwa(naibu spika) umeniletea hayo maneno.lakini pia kwani huoni chadema walivyoteka siasa za bungeni? uliza mtoto yeyote hapo ulipo kuhusu wabunge maarufu kama hatakutajia akina mdee,mnyika,lissu.silinde,wenje,sugu,LEMA naye karudi na wengi wa chadema,na akataja wasinziaji akina komba,sitta,mrema,sophia simba,nk.kisha si unajua zile habari za kususia dhaifu,hoja binafsi za juzi masuala ya meremete,kutokuwa na imani na waziri mkuu,na kadhalika.unataka chadema wafanye namna gani siasa za bungeni ndo hata wewe ujue? kisha wanakuja huku nje wanaendelea maana mle ndani wabunge wa magamba wanasinzia wakiamuka wanakurupuka tu kuzomea.sasa kwa nini wasiende kuwaambia watu kuwa wassira ni msinziaji

2012/12/26 Yachama Gabriel <yachama2012@gmail.com>
Ludovik naona unaongea ukiwa umelewa ushabiki. Pole sana sana maana America ile Fiscal Cliff inapiganiwa bungeni na sio kwenye operesheni M4C. Jitahidi kujenga hoja na ondosha ushabiki wako wa kisiasa na kiitikadi.

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

From: Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
Date: Wed, 26 Dec 2012 18:28:12 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

sasa kati ya watu wa ajabu ni huyu Yachama.yaani dhaifu alipokuwa akisanifu kuwa wapinzani ni vyama vya msimu ulikuwa bado mdogo mno kutoelewa kilichoongelewa? sasa wameamua kuwa wa wakati wote wewe unalalamika.pole sana,ukikuwa utaelewa maneno ya mwenyekiti wako

2012/12/26 Yachama Gabriel <yachama2012@gmail.com>
Ni frustration za kupoteza Urais 2010. Dunia iliyotufundisha utawala na demokrasia hutenga muda wa kampeni, na kupiga kura. Kwa wenzetu hawa hata uchaguzi umekwisha wanaendeleza kampeni tu, mara sangara, mara m4C utadhani tuko Libya. Muda gani watu wataachwa wafanye kazi. Hivi umemsikia Mitt Romney anahutubia mkutano wa kisiasa? Baada ya chaguzi, siasa huhamia nyumba ya wawakilishi (bungeni). Hii inadhihirisha watanzania tulivyo limbukeni. Siasa imekuwa ndiyo kazi, kazi za uzalishaji tutafanya lini? Kupanda kwa hali ya maisha kunasababishwa na kudekeza siasa badala ya kazi. Huu ni ulimbukeni na tunaliua taifa letu. Wanasiasa tuacheni tufanye kazi. Kampeni nje ya muda uliowekwa kisheria ni uvunjifu wa sheria na sijui polisi wanafanya nini, au nao wamekuwa wanasiasa. Watu muda wote wapo kwenye mtandao kuandika utumbo mtupu, hata siku za kazi wanatumia muda wa waajiri kuandika mitandaoni tu. Tofauti yenu na ufisadi ni nini au kwavile hamjakamatwa tu? Siasa imefika kwa limbukeni. Acheni wananchi wafanye kazi. Ni karaha tupu kwa sasa.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.

-----Original Message-----
From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 26 Dec 2012 06:06:12
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: RAIS J.M.KIKWETE ANATAKIWA AMPISHE DR.SLAA IKULU

Mheshimiwa Nanyaro,

wakati mwingine unaongea kama mpiganaji aliyeko msituni tayari kwa mapambano. HIVYO ndivyo mlivyo karibu wote isipokuwa wachache tu. Wakali, wafanya fujo basi yaani kila aina ya vurugu nyie mwafanya.

Tunataka amani nyie mliozoea fujo shauri yenu. Kuna siku nilikuona ukijenga hoja kwenye BARAZA la madiwani ukiwa mtulivu lakini ukija hapa sijui unakuwaje Mheshimiwa.

Najua hamtapata nafasi ya kuongoza nchi hii. Wewe utaumia sana. Watakaoleta fujo na vurugu watadhibitiwa tu, anggalia usije kuwa mmojawapo kwa kauli zako hizi zinazohamasisha uvunjifu wa amani eti "Atake asitake". Wewe ni mwasiasa bwana haya si maneno yanayosyahili kutumika hapa.

Pole.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment