Thursday 27 December 2012

Re: [wanabidii] Re: MTWARA WAFANYA MAANDAMANO YA KUPINGA GESI KUPELEKWA DAR

Hii ni ishara ya kwa nini tunataka serikali za majimbo

On 12/27/12, Yachama Gabriel <yachama2012@gmail.com> wrote:
> Suala hapa naona ni kweli kwa kupeleka gesi Dar wao hawatapata kazi maana
> ufuaji umeme na mambo yyote yatafanyika Dar. Busara ingewatuma serikali
> wazalishie umeme hukohuko na viwanda vya plastiki navyo vijengwe huko ndio
> suluhisho la kuzalisha ajira Mtwara na kupunguza msongamano wa watu Dar.
> Umeme utakaozalishwa usafirishwe tu kwenda Dar, Dodoma, Iringa na Mbeya au
> Songea. Suala la mufindi kuzuia umeme kuletwa kwa watumiaji naona kidogo
> lipo tofauti na gesi.
>
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Zantel Etisalat Tanzania.
>
> -----Original Message-----
> From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thu, 27 Dec 2012 13:25:05
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Re: MTWARA WAFANYA MAANDAMANO YA KUPINGA GESI
> KUPELEKWA DAR
>
> Jee, wanavijiji wa Tarafa ya Mapanda Mufindi Mkoa wa Iringa nao wangekataa
> umeme wa Kihansi usifike Dar maana unatoka kwao wengine hawana hata na
> wamezuiwa kufanya shughuli zao katika catchment forest za huko ingekuwaje?
> Wakati huo huo walio wengi  wao hawana umeme au unapita juu angani katika
> kamba, lakini Chura wa Kihansi kapanda ndege kwenda USA na karudi baada ya
> miaka kadhaa analelewa kwa hela za mvuja jasho!!
>
> Wale wa Mtera nao na wa Pangani River Basin wa mto Pangani kupeleka maji
> Hale Pangani 1 na Pangani 11 umeme unakuja Dar na miji mingine, wao
> kuvuaBwawa la maji la Pangani 11 utata. Wale wa Kidatu huko Kilombero vije?
> hata pantoni ya kuvuka mto tatizo lakini hawajaandamana kuzuia umeme
> wanaishi kwa mategemeo tutapata kesho pantoni keshokutwa!!. Mbunge wao
> kacharuka na tatizo hilo kila mtu kamshuhudia. Na wa Mtera huko Dodoma vipi?
> Jee na matatizo ya Bwawa la Nyumba ya Mungu kila siku msuguano kuhusu uvuvi
> kujipatia chakula visamaki vidogo utata kuvua na Ujenzi wa nyumba kando ya
> bwawa ili watu wavue jirani tata.
>
> Kote huko umeme unasambazwa`miji mbali mbali ya Tanzania na wana mulikiwa
> Lindi na Mtwara kabla ya gas kugundulika. wangekosa umeme Ligula hospital
> ingekuwaje?
>
> Zamani Mtwara ikitumia diseli na generator kutoa umeme. Hata nyama
> ikipelekwa kwa ndege kutoka DSM. Kwa sasa miradi mingi (FAO, CONCERN, Aga
> Khan, DADPs, Jane Goodal etc) imepeleka hela na kusaidia kilimo etc). jee,
> serikali iliwachukia si ikitoa mafao kwingine kupeleka huko? Na bandari
> inaboreshwa na barabara ya lami, madaraja hadi nchi jirani. Hela zote hizo
> zilizalishwa Mtwara-Lindi? Tuache ubinafsi.
>
> Muhimu ni kuingia mikataba ya benefit sharing.  Vijiji kupitia kamati zao za
> mazingira, finance and planning waelekezwe upangaji mipango hiyo au kati ya
> ile ya O&OD ipi inaweza kuhisaniwa na hela zitokanazo na mauzo ya gas
> kuwafaidisha kwa ujumla na kwa mmoja mjoja wale needy-Yatima. Kuwa na
> ubinafsi hakufai. Mbona wamachinga wengi wamehamia DSM na kufaidika na
> biashara huko, umeme, maji ya mto Ruvu etc. Mbona huko Kilombero wananchi
> mabonde yao yamechukuliwa yanalimwa miwa na sukari inabwiwa nchi nzima wao
> wamekosa mabonde ya kulima ubwabwa waliozoea kula? wapo ktk mpambano na
> wafugaji ambapo mpunga wamegeuza majani ya kulishia mifugo? Kila mtanzania
> alipo popote pale anachangia maendeleo ya nchi hii kwa kuteseka.
>
> Kwa sasa kusini (Lindi, Mtwara) kumejaa wapendao kuwekeza. Ardhi bwerere,
> mabonde mazuri lakini, kilimo cha mazao ya biashara kinahamasishwa na
> organizations mbali mbali (ufuta, mtama, mihogo dwarf, mbuzi na ng'ombe wa
> maziwa hybrid). Maembe na nazi kibao pia korosho. Sustainable farming na
> vikundi ya kusafirisha mazao to Dar-Msumbiji, Zimbabwe vitawakwamua badala
> ya kubweteka na kuona mtafaruku ndio solution.
>
> Wachangamkie mipango na uwekezaji uliopo wafaidike. Diwani, Wabunge na
> viongozi wao, na watumishi wa sekta mbali mbali wahusike na bottom up
> planning na majadiliano na wawekezaji na mipango ya gas etc kuboresha na
> kufaidisha maisha ya waishio huko. wasije wakatoboa mabomba wakadhani
> wanaikomoa GVT-moto utawaka utawamaliza.
> Dialogue na proper planning ya corporate responsibility and benefit sharing
> hiyo itasaidia sio vurugu na uharibifu.
>
> --- On Thu, 27/12/12, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
>
> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
> Subject: [wanabidii] Re: MTWARA WAFANYA MAANDAMANO YA KUPINGA GESI KUPELEKWA
> DAR
> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, 27 December, 2012, 12:51
>
> Wajadiliane maandamano hayasaidii kitu chochote , ingawa hili
> tulishawahi kutabiri hata zile vurugu za mbagala hazikuwa dini ilikuwa
> ni suala la gesi na mafuta .
>
> On Dec 27, 3:46 pm, Ipyana Lwinga <ipyanalwi...@gmail.com> wrote:
>> Maandamano yamefanyika leo Mtwara mjini kukataa Gas kupelekwa dar!
>> Zaidi ingia kwenye link hii hapa chini'
>>
>> http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/374880-maandano-makubwa-mt...
>>
>> --
>> Ipyana Lwinga
>>
>> Email:    ipyanalwi...@gmail.com
>> Mob:     +255 757 065577
>> Skype:   ipyana.plwinga
>>
>> "Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>


--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment