Sunday 2 December 2012

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Mh.Lowassa Apata Mlo Na Timu Ya Bunge

Unless otherwise explained, mheshimiwa Lowassa alijiuzulu baada ya
kamati kumuona kuwa na hatia ya kuingilia mikataba ya RICHMOND
iliyoiletea TANESCO hasara kubwa na kutuletea umaskini mkubwa kwa
kulipishwa bill kubwa za umeme mpaka leo. Mazingira yaliyomtia hatiani
yalionyesha dalili za kulihujumu taifa kwa kurespond kosa hilo
ikatangazwa amejiuzulu, baada ya tume kumtia hatiani. Tungemuona
muungwana kama angejiuzulu kabla ya tume iliyoundwa kumchunguza lakini
ili la kujiuzulu baada ya kuonekana una kosa halikubaliki. Ni sawa na
mwizi kukamatwa na kitu cha wizi ukasema unakirudisha kwa mwenyewe
alafu tukuite mtu safi. Na mbaya zaidi yeye ata hicho alichotuibia
hajaturudishia. bado tunataabika na hilo litanesco lao

Mtu wa kwanza kumtuhumu Lowassa ni hayati mlm J.K. Nyerere. Kwamba
anamiliki mali nyingi isiyojulikana ameipata vipi? Hatukumsikia
Lowassa akipinga au kumfikisha Nyerere kwa Pilato. Au akijitokeza
hadharani kupinga kauli ya Nyerere. Na baadaye tume ikamuona ana hatia
ya kuingilia swala zima la kusaini mikataba ya kitapeli kati ya
RICHMOND na serikali, hakujitokeza hadharani kulaani kusingiziwa au
kuipeleka tume kwenye vyombo vya sheria. Baadaye sana ndo alijitokeza
na kuongea ongea kwenye vyombo vya habari baada ya kuona moto umepoa.
Nani amguse swahiba?

Hivi inakuwaje katika watanzania zaidi ya millioni arobaini tuambiwe
kwamba mgombea safi na mwenye uwezo ni huyo Lowassa? Munataka nchi
ikauzwe au muna maana gani? Acha ulafi wa mali na madaraka watanzania
waliosafi na wanaofaa kugombea urais wapo wengi. Tuwashawishi
wajitokeze kugombea na ikibi kama tunawajua ni safi na uwezo wanao
tuwaendee na kuwaomba wagombee. Hao wanaojipigia debe kupitia wapiga
debe wao ni hatari kuliko ukoma. Siku zote kiongozi mzuri hawezi
kujinadi yeye ni watu wanaoweza kumpima na kumwambia anafaa kuwa
kiongozi.

2012/12/2 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>:
>
> tuseme ni kweli alifukuzwa,ni nani aliyemfukuza?
>
>
>
> ------------------------------
> On Sun, Dec 2, 2012 14:42 EET mngonge wrote:
>
>>acheni masihara, inawezekana vipi mtu ajiuzulu kwa kashfa ya uhujumu
>>uchumi na ufisadi aitwe mstaafu? Potelea mbali ata kama swahiba yake
>>likwepa lugha ya amefukuzwa ata hii ya mtu kuacha kazi mwenyewe aitwe
>>mstaafu? Acheni kuaribu kiswahili. Iwe amefukuzwa au ameachishwa
>>hatuwezi kumuita mstaafu, kama angekuwa mstaafu basi ingetajwa wazi
>>kwamba muda wake wa uwaziri umeisha na hivyo anastaafu.
>>
>>Kipo kiswahili fulani cha kueleza kiongozi mkubwa kama huyu akifukuzwa
>>kazi. Huwa tunaficha kidogo na kusema amestaafishwa kwa manufaa ya
>>umma. Kikitumika kiswahili kama hicho nitakubaliana na anayemuita
>>waziri mkuu mstaafu pale atakapoongeza neno amestaafu kwa manufaa ya
>>umma
>>
>>2012/12/2 <manonga2003@gmail.com>:
>>> Kwani hadhi ya kustaafu inatokana na nini?
>>> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>>> ________________________________
>>> From: Alain <baitilwaki@yahoo.com>
>>> Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> Date: Sun, 2 Dec 2012 11:35:58 +0300
>>> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com<mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>>> ReplyTo: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> Cc:
>>> mabadilikotanzania@googlegroups.com<mabadilikotanzania@googlegroups.com>;
>>> wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>>> Subject: Re: [Mabadiliko] Mh.Lowassa Apata Mlo Na Timu Ya Bunge
>>>
>>> Nadhani ni waziri mkuu aliyejiuzulu!
>>> Lkn wanaoona inafaa wanawaza kumuita mstaafu kwa kazi maalum walionayo!
>>>
>>> Sent from my iPhone
>>>
>>> On Dec 2, 2012, at 10:26, hamisi kilimba <matyois@yahoo.co.uk> wrote:
>>>
>>> Huyu hakustaafu bali alijiudhuru baada ya kutuhumiwa.
>>>
>>>
>>> From: Augustine Rukoma <arukoma66@gmail.com>
>>> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>> Cc: wanabidii@googlegroups.com
>>> Sent: Sunday, 2 December 2012, 9:36
>>> Subject: Re: [Mabadiliko] Mh.Lowassa Apata Mlo Na Timu Ya Bunge
>>>
>>> Mstaafu kivipi
>>>
>>>
>>> On 12/2/12, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:
>>> Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (
>>> Pichani juu wa pili kushoto) akijumuika pamoja na Baadhi ya Wabunge
>>> wanaounda timu ya Bunge Sports inayoundwa na wabunge kutoka Baraza la
>>> Wawakilishi na Bunge la Jamhuri,wakati wa Chakula cha Mchana
>>> alichowaandalia Nyumbani kwake,Ngarashi Wilayani Monduli juzi.Wengine
>>> kwenye picha ya kwanza juu kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Habari,Vijana
>>> Utamaduni na Michezo,Mh. Amos Makalla,Mbunge wa Jimbo la Kinondoni,Mh.
>>> Iddi
>>> Azzan pamoja na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Monduli, Reuben ole Kunai. (
>>> Picha: Othman Michuzi)
>>>
>>> Mimi siongezi neno.wapinzani wa Lowassa wajinyonge tu.Rais kutokea ccm ndo
>>> huyu.
>>>
>>> --
>>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>>
>>> TEMBELEA Facebook yetu:
>>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>>
>>> For more options, visit this group at:
>>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>>
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Mabadiliko Forums" group.
>>> To unsubscribe from this group, send email to
>>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> --
>>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com

>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>>
>>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>>> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>>
>>> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>>
>>> CALL : 0786 806028
>>> Free Delivery in Dar es salaam
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>
>>--
>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>>DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>>80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>>DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>>TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>>CALL : 0786 806028
>>Free Delivery in Dar es salaam
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment