Wednesday 5 December 2012

Re: [wanabidii] RAILA aungana na Kalonzo!!!!

Hii inabadilisha kabisa ramani ya ukampeni za urais Kenya. Binafsi nimefurahi sana.  Kwa nini hata mimi mwenyewe sijui!!

2012/12/5 Mashaka Mgeta <mgeta2000@yahoo.com>
Kwa wanaofuatilia siasa za Kenya, mahasimu na wanasiasa (pengine) wanaoongoza kwa kukashfiana, kudharauliana na kusutana, Waziri Mkuu, raila Odinga na Makamu wa Rais, Kalonzo wameungana kushirikiana katika Uchaguzi Mkuu wa 2013.

Kalonzo amekuwa kwa muda mrefu akimuita Odinga ni kiongozi Dikteta asiyeifaa Kenya wakati Odinga akimnasibu Kalonzo kama mwanasiasa Kigeugeu, asiyekuwa na msimamo wala uwezo wa kuwa kiongozi wa kijamii nchini humo.

Je, kwa kushiriki pamoja tena wakati Kalonzo, tangu awali akionekana kuwa upande wa Uhuru Kenyatta na William Ruto, nini mwelekeo wa Odinga kuingia Ikulu ya Nairobi?

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment