Tuesday 4 December 2012

Re: [wanabidii] RAILA aungana na Kalonzo!!!!

Kalonzo hana lake akisimama yeye binafsi, kete muhimu ni kumtegemea jembe Raila amwokoe ili aupate huo U-VP hao wengine wataishia kuunganisha nguvu lakini watachofanikiwa ni kupunguza kwa uchache makali ya Raila. Raila is the new President of Republic of Kenya. But do i say???

2012/12/5 Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
Kalonzo ni kete muhimu kwa raila, kumbuka kalonzo anatoka ukambani watu ambao wanaweza chagua mtu bila kutizama kabila yake, ukizingatia tayari uhuru amesha team up na Ruto na msalia mudavadi. Kwa upande mwingine kalonzo haaminiki sana kwani uchaguzi uliopita alimtosa raila dakika za mwisho!

2012/12/5 Mashaka Mgeta <mgeta2000@yahoo.com>
Kwa wanaofuatilia siasa za Kenya, mahasimu na wanasiasa (pengine) wanaoongoza kwa kukashfiana, kudharauliana na kusutana, Waziri Mkuu, raila Odinga na Makamu wa Rais, Kalonzo wameungana kushirikiana katika Uchaguzi Mkuu wa 2013.

Kalonzo amekuwa kwa muda mrefu akimuita Odinga ni kiongozi Dikteta asiyeifaa Kenya wakati Odinga akimnasibu Kalonzo kama mwanasiasa Kigeugeu, asiyekuwa na msimamo wala uwezo wa kuwa kiongozi wa kijamii nchini humo.

Je, kwa kushiriki pamoja tena wakati Kalonzo, tangu awali akionekana kuwa upande wa Uhuru Kenyatta na William Ruto, nini mwelekeo wa Odinga kuingia Ikulu ya Nairobi?

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment