Wednesday 26 December 2012

Re: [wanabidii] PICHA - PADRE APIGWA RISASI ZANZIBAR

Inapofika makanisa yanachomwa hakuna kinachofanywa na serikali ktk kukamata na kuadhibu wahusika nawe unazidi kukaa huko mimi ninaona hujipendi.

Hata uende police jibu na msaada hupati unabaki huko unafanya nini?

Mfano mwingine ni wale kutoka Bara-unachomewa biashara, nyumba yako bado upo huko unaingia umasikini na kuhatarisha maisha-why hurudi kwenu ulikotoka?

Mfano mwingine-Ukiwa India-Mchumba humtaki ila yeye anakutaka umlipie mahari akuoe. anakumwagia sulphuric acid usoni anakuharibu sura, macho, pua, masikio. Familia inakulazimisha akuoe kwa vile uso umeshaharibika!! Unaishi na mtu usiyempenda na alihusika kukulemaza. Au unabakwa unapata mimba. Ukisha kuzaa na kunyonyesha-unapigwa risasi kwa vile ulibakwa. Mbakaji-anachapwa fimbo. Logic haipo hata ktk serikali na jamii ya haki za binadamu.

Sasa unaishi na watu wasiokutaka wenye hila za kila aina kukuangamiza na unang'ang'ana kuwa ni haki uwe huko-Itakula kwako utabaki huna mikono na uso umemwagiwa tindikali. Si wameanza kufanya hivyo pia? Unaishi huko watakani? Labda kama unataka uwe kama wale mashahidi wa Uganda  waliokubali kuuawa wakimkiri Yesu. lakini kusema hao watabadilika ubaki salama-si rahisi.

Fikiria ingekuwa Sheik au mwalimu wa madrasa gagongwa na gari na  padri sio kupigwa risasi kaumizwa tu sio kufa. ZNZ ingekuwaje?

Ukiangalia vurugu za Afghanistan na nchi nyingine za Kiislamu-wakimbiao nchi hizo ambao ni waislamu, wahamiaji kutoka nchi za Africa, Asia wanaotafuta maisha wengi wao hukimbilia Europe na USA ambazo nchi hizo ni za dini ya kikristu. Unajiuliza-why hawakimbilii zaidi nchi zenye dini inayofanana na yao? Hivyo hapa dini si issue kuna visingizio vingi na dini hutumika tu.

Mkihama-mtaona hayo yaliyojificha yataibuka. Wafunge makanisa, shule na colleges zao wahame ili wanusurike roho na miili yao. Ama sivyo-watakuja kutenda dhambi ktk kujihami-watua na kuuawa kabisa au kulemazwa. Realism inaonekana lakini ukweli hautakiwi maana tunaogopana kuambiana ukweli. Ni kama hayo ya Kagasheki na Huvisa.

--- On Thu, 27/12/12, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] PICHA - PADRE APIGWA RISASI ZANZIBAR
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 27 December, 2012, 5:07

Bi Kiwasila hivyo tu kirahisi? Haki yao ka kuabudu ipotee vile hakuna
uwezekano wa kuhakikishiwa usalama hapo nchi inakwenda wapi

On 12/26/12, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
> Suala liwe au lisiwe la dini, kwani kanisa au makanisa yakifungwa kule
> yahame kutakuwa na tatizo gani? Maisha gani hayo ya kuishi na wasiwasi na
> katika uzio kulinda uhai wako badala ya kuishi mahala pa usalama penye uhuru
> wa kuabudu? Yakihama yawe tu majumba ya makumbusho. Watakao kusali Jumapili
> au Jumamosi watapanda meli kuja na kurudi Dar. Labda wawawinde na hao
> kuwaua! Hameni. Labda kama alikuwa katenda makosa mengine ya kibinadamu but
> vema wahame.
>
> --- On Wed, 26/12/12, Deogratias Kawonga <deogratias.kawonga@gmail.com>
> wrote:
>
> From: Deogratias Kawonga <deogratias.kawonga@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] PICHA - PADRE APIGWA RISASI ZANZIBAR
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, 26 December, 2012, 5:44
>
> Yona hata wewe umeanza kuingiza hisia zako, kwanini usingoje Polisi walete
> ripoti yao? Kwasababu hiyo hata wale watakaohisi ni hujuma za kidini nao
> watakuwa sahihi. Kwasasa sidhani kama Zanzibar ni Salama, Huu ni mtazamo
> wangu tu.....
>
> Sent wirelessly from my iPhone device on the Airtel Network
>
>
>
>
> On Dec 26, 2012, at 1:20 AM, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
>
> Najua kuna ambao wataanza kuhusisha suala hili na dini , Mimi kwa upande
> wangu nasema Huyo Padre asiachiwe aende hivi hivi ahojiwe kwanza yeye na
> hata watu wake wengine wa karibu haswa katika huduma , pengine kuna mambo
> mengi zaidi yamejificha .
>
>
> On Tue, Dec 25, 2012 at 11:49 PM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
>
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
>
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
>
>
> CALL : 0786 806028
>
> Free Delivery in Dar es salaam
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment