Monday 3 December 2012

Re: [wanabidii] NI ZAIDI YA UKATILI

Sawa Kalogosho nimekuelewa. Calling a spade a spade inaweza kusaidia kufikisha ujumbe! Lakini tuangalie pia haki za huyu mtoto pamoja tunajua kwamba zimeisha vunywa na hawa watu wenye unyama. Mifano ni mingi tu tukitaka kuitoa. Ndiyo maana kwenye uganga hawaonyeshi uso wa mtu, hasa kama atafahamika, wanaonyesha ugonjwa au tatizo. Kama mtu amekuwa raped hawaonyeshi uso wa mtu! Na hii mimi naiweka sawa na kuwa raped!
Idriss Mussa
Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana

From: "Demetria Kalogosho" <demetria.kalogosho@tgnp.org>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 3 Dec 2012 13:28:20 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] NI ZAIDI YA UKATILI

Tunahitaji kubadilika ndio maana tunaamini katika kuvunja ukimya. Wenye maboriti machoni mwao daima huona vibanzi ndani ya macho ya wenzao. Weka mambo hadharani ili uponyaji upatikane. Piga vita na kataa ukatili huu.

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Lushengo Lutinwa
Sent: Monday, December 03, 2012 12:52 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] NI ZAIDI YA UKATILI

Ndio maana tunabaki kulalamika kila mara, kwa sababu mnafichaficha viini vya matatizo yetu. Mtu yoyote mwenye akili timamu akiona hii picha lazima a-sympathize maumivu anayoyapata huyo mtoto. Hakuna kinachofurahisha hapa.

Kiukweli hii technology haisaidii kitu chochote, mbona makabila yanayofanya haya mambo wanawake wake ni maji mara moja, pengine zaidi ya hao tuliozoea kuwanyooshea vidole?

LL

JAMANI WADAU WA GBV JIONEE UKATILI HUU

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment