Monday 3 December 2012

Re: [wanabidii] NI ZAIDI YA UKATILI

Ni tabia mbaya na ya ukatili kuwafanyia watoto mambo haya na kimsingi hayana maana katika ulimwengu wa leo. Tatizo langu ni approach zinazotumiwa na wanaharakati kujaribu kuzuia tabia hizi. Utawakuta wapo Dar Es Salaam wametulia kwenye ofisi zenye viyoyozi wakipiga kelele kuhusu ukeketaji. Hawajajua namna ya kulimaliza. Huko Tarime msimu huu ni wa ukeketaji na watu wanaendelea kama kawaida, huku mijini watu wako busy kulaani kwenye magazeti tu. Why don't you people go there, learn the motive behind female genital mutilation and come up with a solution. Sheria hazisaidii kumaliza tatizo la mila as long as watu wanaamini ni kitu kizuri. Find a better approach, kwa mfano badala ya kung'ang'ania kuonesha ngariba kwenye runinga eti amaecha hiyo kazi wakati siku hizi hata hapa Kitunda wanakeketa, fanyeni campaign kwa vijana wa kikurya wasioe mabinti waliokeketwa. May be hiyo inaweza kusaidia. There is a lot of cultural attachment kwenye mila hii. People cannot just abandon it so easily. Inahitaji watu walio commited na sio hawa wanaotafuta misaada ya wafadhili na kwenda kupiga picha na kurudi kuonyesha kwenye tv

On Mon, Dec 3, 2012 at 12:07 PM, Demetria Kalogosho <demetria.kalogosho@tgnp.org> wrote:

Kailima, umeona nini pichani???????????????????????????

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of kailima kombwey
Sent: Monday, December 03, 2012 11:36 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] NI ZAIDI YA UKATILI

Siyo kwa kuweka picha hizo Kaka?

On Dec 3, 2012 11:06 AM, "Demetria Kalogosho" <demetria.kalogosho@tgnp.org> wrote:

Kalima, ni muda wa kutafakari na kuvunja ukimya na kuchukua hatua

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of kailima kombwey
Sent: Monday, December 03, 2012 10:48 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] NI ZAIDI YA UKATILI

Kwa hiyo hata picha ya kichwa cha mtu kilichochinjwa na kutenganishwa au watu wanaopigwa picha wakiwa wanazini nazo ziwekwe hapa ili watu wajifunze? Hujuwi Desturi za Mwafrika Mtanzania? Unadhani picha hizo kuwa hadharani kutasaidia? Suala la kusaidia ni kuelimisha kwa kadri inavyowezekana na vyombo vinavyosimamia sheria kutumiza wajibu wao kwa wote wanaofanya haya na siyo kuweka picha hizi hapa. Tudhani ni ndugu yako wa kike utajisikiaje?

On Dec 3, 2012 10:21 AM, "Lutgard Kagaruki" <lutgardk@yahoo.com> wrote:

Nadhani si vibaya; hata ambao hatujawahi kuona tushuhudie. Kuficha hakusaidii.  Hata hivyo desturi zetu zipi?? Hii ni kwa ajiri ya kuwasaidia hata wengine. Mwili wangu umesisimka kwa woga na uchungu!! LKK

From: kailima kombwey <kailima.kombwey@googlemail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: sophiawambura@yahoo.com; eneeso@pathfind.org; nathanielissa@ymail.com; tawla2000@yahoo.com; icnictz@gmail.com; envirocare_2000@yahoo.com; chesociety@yahoo.com; piastellah@yahoo.co.uk; info@hdt.or.tz; katri@kiwohede.org; markwambura@yahoo.com; mghambagrace@cdftz.org; envirocare@bol.co.tz; fchilimo@pactworld.org; netwo2002@yahoo.com; mewataa@yahoo.com; msangilaura@hotmail.com; Zumuni2008@yahoo.com; childrenwidows@yahoo.co.in; stella.mwambenja@yahoo.com; tomkiwala@yahoo.com; peacetanzania@yahoo.com; tahurifo1@yahoo.com; wofatatz@yahoo.com; adolfkissima@yahoo.com; fawetz@posta.co.tz; shivyawata@yahoo.com; mosesgasana@yahoo.com; Jansgar2002@yahoo.com; lrmbise@ywcatanzania.or.tz; MBetron@engenderhealth.org; elipunda@yahoo.co.uk; mwajey2003@yahoo.co.uk; berthaney@yahoo.com; mhinablandina@yahoo.com; mcharolydia@yahoo.co.uk; fnzema@hotmail.com; wlac@wlac.or.tz; info@tcib.or.tz; holmstrom@unfpa.org; lucy.merere@dfa.ie; eliza@yahoo.com; wildaf_tanzania@yahoo.com; tpfnet2007@yahoo.com; info@wat.or.tz; lucy.chamwi@yahoo.com; siltanmziray@yahoo.com; m.mshana@yahoo.com; laseha@gmail.com; murio@mst.org.tz; mawazochanya@gmail.com; children_widows@yahoo.com; judieus@yahoo.com; akaruwes@futuresgroup.com; merykessi@gmail.com; gearoid.loibhead@concern.net; mpungulez@yahoo.com; tawla_tawla@yahoo.co.uk; janethkeha@yahoo.com; mpangulez@yahoo.com; neemaduma@yahoo.com; deus.kibamba@tgnp.org; lhrc@humanrights.or.tz; gmtenga@unicef.org; khamar.kashoro@co.care.org; haitz@helpagetz.org; edacha2002@yahoo.com; gmunuo@yahoo.com; drkatanta@yahoo.com; b.ench@yahoo.com; ksimwanza@engenderhealth.org; floramasue@yahoo.com; merykessi@yahoo.com; stella.mwambeja@yahoo.com; fmakoye@yahoo.com; emajani@engenderhealth.org; lrmbise@ymcatanzania.or.tz
Sent: Monday, December 3, 2012 10:03 AM
Subject: Re: [wanabidii] NI ZAIDI YA UKATILI

Sidhani kama ilikuwa busara na kwa desturi zetu kuweka picha hii hapa.

Tuwe tunatumia busara walau kwa 23%  kabla ya ku uproad picha

On Dec 3, 2012 9:56 AM, "Demetria Kalogosho" <demetria.kalogosho@tgnp.org> wrote:

JAMANI WADAU WA GBV JIONEE UKATILI HUU

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Victor Caleb Mwita
Ministry of Livestock and Fisheries Development
P.O. Box 9152
Dar Es Salaam
Tel: 0766750673, 0789142275

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment