Monday 3 December 2012

RE: [wanabidii] KIFUA KIKUU CHA NG’OMBE (BOVINE TUBERCLOSIS)-TB

Hildegarda,
asante kwa maelezo yako mazuri yenye mafundisho yanayotutaka tubadili tabia zetu za maisha hasa kuhusu vyakula na ulaji wake.

-----Original message-----
From: Hildegarda Kiwasila
Sent: 03/12/2012, 18:28
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KIFUA KIKUU CHA NG'OMBE (BOVINE TUBERCLOSIS)-TB

TB imezagaa ni kweli na TZ tusipojiangalia tutaisha. Asilimia 52 ya walio HIV positive wameonekana kuwa na TZ. Cha kuhudhunisha ni zile tabia zetu za kula mama na baba  ntilie ambapo mtu anakula na kutemea mezani au katika sahani mifupa. Kitambaa cha kufutia meza hiyo hufutia sahani anayoletea chakula na mikono yake aliyofutia mate ya wengine anashika sahani bila kunawa. Kisha pamoja na sheria za afya-haoshei vyombo vichangiwavyo kwa kusuuza kwa maji ya moto. Anaoshea maji ktk ndoo moja na kusuuza vyombo hvyo ndoo moja maji hayo hayo. Yaani anachanganya TB ndoo ya mwanzo anasuuza humo vyote bila kubadili maji au kuosha kimoja kimoja ktk maji mchirizi-yaani anatawanya TB kwa kuoshea vyote tena mara ya mwisho maji ndoo moja vyombo vyote. Vijana na wafanyakazi hula huko ntilie na wengine mobile food vendors mitaani na maofisini uoshaji ndio hivyo. Chanjo za TB kwa watoto au mashuleni twakimbia.
Mnyama-Nyegele (Badger) ambaye hucheua katika majani alayo ng'ombe ndio host wa TB na kutusambazia wote tunywao maziwa bila ya kuchemsha, nyasi tuwapazo mifugo na kuacha mifugo ilambe vyombo vyetu. basi la abiria madirisha kufungwa yote na tunakoholeana toka Dar-Arusha, tunalinda nywele zisipeperuke. Mbanano wa majumba mitaani na haya magorofa yanayozuka na kubana nyumba fupi hewa safi hakuna.

Hata cafeteria za vyuo vya wasomi utaona vyombo vinatolewa uvungu wa meza huoni maji ya moto kutiririka kutoka bomba akisuuza kikombe anachokuwekea chai. Yet, kuna wasomi, mamlaka za uwekezaji na afya lakini kichemsha maji cha maji ya hakuna na kila mtu anaona na huyo ni investor hapo kwa wasomi. Koto ni " Changanya TB-Tawanya/sambaza TB". Mungu ibariki bongoland.

--- On Sat, 1/12/12, Augustino Chengula <achengula@gmail.com> wrote:

From: Augustino Chengula <achengula@gmail.com>
Subject: [wanabidii] KIFUA KIKUU CHA NG'OMBE (BOVINE TUBERCLOSIS)-TB
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, 1 December, 2012, 19:28

Ugonjwa wa kifua kikuu cha ng'ombe ni
ugonjwa hatari sana wenye madhara makubwa kiafya kwa ng'ombe, mwanadamu na hata
katika biashara ya kimataifa. Ni ugonjwa unaosababishwa vimelea vya bakteria
wanaojulikana kwa jina la kitaalamu kama Mycobacterium bovis.  Kimsingi
ni ugonjwa wa mfumo wa upuuaji unaochukua muda mrefu (kuanzia wiki chache hadi
maisha yote) kujijenga ndani ya mwili tangu maambukizi hadi kuanza kujitokeza
dalili za ugonjwa na kuanza kuambukiza wanyama wengine. TB yaweza kuwapata
wanyama wengi lakini mara nyingi ni ng'ombe na nyati. Mwanadamu hupata ugonjwa
wa kifua kikuu kutoka kwa ng'ombe au mazao yake, lakini pia mwanadamu anauwezo
wa kumuambukiza ng'ombe. Maambukizi yameonekana pia kwa kondoo, mbuzi, farasi,
nguruwe, paa, mbwa na paka. Kwa maelezo zaidi (dalili, utambuzi, tiba na
uzuiaji) juu ya ugonjwa huu soma hapa http://achengula.blogspot.com/

--

To all the questions of your life YOU are the  most possible answer. To all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself

--

Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com

nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com

Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM

DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028

Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment