Wednesday 5 December 2012

Re: [wanabidii] KAULI ya CHADEMA juu ya watumishi wa umma kutoa taarifa katika mikutano ya CCM

Mgonge,

Soma posting zangu vizuri, acha kurukia bila kutafakari!


Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

-----Original Message-----
From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 5 Dec 2012 13:24:20
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] KAULI ya CHADEMA juu ya watumishi wa umma kutoa
taarifa katika mikutano ya CCM

Ndugu Tony PT
Naona unatuchanganyia habari hapa, hakuna mtumishi wa serikali ata
mmoja (serikali kuu, serikali za mitaa na parastatals) aliyesaini
mkataba wa ajira na CCM. Kama yupo nitaomba utupe ushahidi, watumishi
wote ni waajiriwa wa serikali na ndiyo maana ata CCM ikipigwa mwereke
kwenye uchaguzi mkuu ujao watumishi wa serikali watabaki na ajira zao
kwa masharti yaleyale. Pengine ndugu Tony PT na wapambe wengine wa
kundi linalojiita nambari wani watapoteza ajira zao maana fedha ya
kuchota toka kwenye mfuko wa walahoi ili kuwalipa nyinyi haitakuwepo.

Naomba tuwaheshimu wafanyakazi wa umma maana kuwaambia waende kwenye
mikutano ya bla bla ni kuwavunjia heshima zao. Wao ni wataalamu wa
fani mbalimbali kama vile waalimu, madaktari, wahandisi, wahasibu,
wachumi, makatibu muhitasi, manesi, mabibi na mabwana shamba na mifugo
nk. Hawa si watu wa kupoteza muda wakisikiliza mambo yasiyokuwa na
mashiko na wala hawajajifunza kuongopea watu wanachojua ni kufanyakazi
kwa kanuni na sheria. Ni kosa kubwa kuwalazimisha wahudhurie mikutano
isiyokuwa na uhusiano na kazi zao, hizo ni moja kati ya dharau
wanazofanyiwa watumishi.

Kama ni mikutano ya vyama itangazeni kwamba ni mkutano wa chama fulani
kama yupo mtumishi mwenye muda na mapenzi na chama hicho atakuja
mwenyewe kwa hiari yake.
Narudia kusema huyo mtu aliyetoa tangazo hilo aache dharau kwa
watumishi, aelewe kwamba wapo watumishi ambao wanaweza kuwa wazazi
wake, kakazake, dadazake au wakwezake



2012/12/5 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>:
> Binafsi sidhani kama Watendaji wana wajibika moja kwa moja kwenye Chama.
> Naomba mwongozo kwenye hili. Ninachofahamu ni kwamba watendaji wanawajibika
> kwa viongozi wa kisiasa katika maeneo husika kwa mfano: Mkuu wa Wilaya na
> kuendelea anao uwezo wa kumuita DED na kumtaka atoe maelezo, hii ni hata kwa
> ngazi ya RC na kuendelea mbele. Lakini sioni mantiki ya Mwenyekiti wa Wilaya
> wa CCM kumtaka DED atoe maelezo wakati kama ni kuisimamia Serikali basi
> anapaswa kumuita Mkuu wa Wilaya atoe maelezo. Ndiyo maana hata kwenye
> Mkutano Mkuu wa CCM hakuitwa CS atoe maelezo bali waliitwa PM, Makamu wa
> Rais - Zanzibar na mawaziri husika lakini siyo Makatibu Wakuu. Kama
> utaratibu uko hivi katika ngazi za juu ndivyo unavyoshuka hadi ngazi za
> chini.
>
>
> 2012/12/5 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>>
>> Jones,
>>
>> Serikali ni ya ccm, hata upinzani watakapotawala uongozi wake utasimamia
>> serikali yake. Mkataba wa wananchi kwa sasa ni kati yao na ccm, sio
>> upinzani. Lakini pia usione kila kitu kinachoonekana hovyo kwa macho
>> unahitaji mhandisi kukosoa! Kuna mambo na wizi mkubwa sana unaofanyika
>> hususani kwenye ngazi ya halmashauri zetu waziwazi kwa kinga ya utendaji na
>> utalaamu. Sidhani kujua daraja au jengo limejengwa kwa saruji kidogo
>> unahitaji digrii!
>>
>> Acheni checks and balance zifanyika kwa njia zozote! Watendaji mmezidi
>> wizi na ufisadi na mnapoparanganya mambo mnasingizia serikali ya sisiemu!
>> Wakomae nanyi labda mtapunguza wizi.
>> Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
>> Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
>> ________________________________
>> From: Jones Nyakwana <jonesn1478@yahoo.co.uk>
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Wed, 5 Dec 2012 08:32:15 +0000 (GMT)
>> To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: Re: [wanabidii] KAULI ya CHADEMA juu ya watumishi wa umma kutoa
>> taarifa katika mikutano ya CCM
>>
>> Hili jambo limenikera muda mrefu. Niliwahi kuhoji hapa mamlaka ya Nape
>> kwenda UDOM kukagua na kutoa mashinikizo kwa uongozi wa chuo kuhusiana na
>> ubora wa majengo ya chuo. Juzi nimemsikia mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita
>> akitamka katika mkutano wa CCM huko Bukombe kuwa amelikataa bwawa la
>> umwagiliaji ambalo lilikuwa linajengwa na mkandarasi chini ya usimamizi wa
>> Halmashauri ya wilaya ya Bukombe. Hili nalo likanishangaza maana Mwenyekiti
>> wa CCM wa mkoa si lazima awe muhandisi sasa sijui alishauriwa na nani na
>> hata kama ameshauriwa, hayo mamlaka kapewa na nani....jibu lake naona ni
>> kwasababu ni MBUMBUMBU wa taratibu za uendeshaji wa Serikali katika mfumo
>> tuliopo.
>>
>> Hawa watu wakiachwa waendelee na UMBUMBUMBU wao watawalazimisha walimu
>> kurejesha maswali katika mitihani ya shule za misingi yaliyokuwa yakitutaka
>> kutaja CCM imezaliwa lini, Makamu mwenyekiti wake wa taifa ni nani, katibu
>> wa CCM wa taifa anaitwa nani n.k n.k.
>>
>> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>> To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>> Sent: Wednesday, 5 December 2012, 9:54
>> Subject: [wanabidii] KAULI ya CHADEMA juu ya watumishi wa umma kutoa
>> taarifa katika mikutano ya CCM
>>
>> TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
>>
>>
>> Kwa niaba ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) natoa mwito
>> kwa watumishi wa umma kote nchini kupuuza maagizo yaliyotolewa na
>> Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Katibu wake wa Itikadi na Uenezi
>> Nape Nnauye ya kuwalazimisha kuhudhuria mikutano ya CCM na kutoa
>> taarifa za kiserikali kama yalivyotolewa katika baadhi redio na
>> televisheni tarehe 2 Disemba 2012 na kunukuliwa na magazeti mbalimbali
>> tarehe 3 Disemba 2012.
>>
>> Pia namshauri Rais Jakaya Kikwete kwa mamlaka yake ya mkuu wa nchi na
>> kiongozi wa Serikali ambaye ndiye mwajiri wa watumishi wa umma wenye
>> kulipwa mishahara kwa kodi za wananchi wasio na vyama na ambao ni
>> wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa kukemea kauli kama hizo zilizo
>> kinyume na haki za kikatiba, misingi ya utawala bora, sheria na waraka
>> wa utumishi wa umma.
>>
>> Aidha, CCM kutaka kujitwalia mamlaka ya Serikali kutoa maagizo kwa
>> watumishi wa umma badala ya vyombo vya usimamizi kwa niaba ya wananchi
>> kama bunge, baraza la mawaziri, mabaraza ya madiwani, kamati za
>> ushauri za wilaya, kamati za ushauri za mikoa, bodi za mashirika
>> mbalimbali na mamlaka nyingine ambapo wapo viongozi waliotokana na
>> chama hicho ni ishara ya udhaifu na uzembe wa viongozi wanaotokana na
>> chama hicho katika mikutano ya vyombo hivyo.
>>
>> Maagizo hayo ya CCM yanazidi kuongeza sababu za wananchi kufanya
>> mabadiliko ya kweli kwa kuunga mkono CHADEMA ikiwa ndicho chama
>> mbadala chenye kuweza kuleta uongozi bora, sera sahihi, mikakati
>> makini na oganizesheni thabiti kwa maendeleo endelevu ya taifa.
>>
>> Maagizo haya ya CCM yanaashiria 'ulegelege' wa chama hicho na kuzidiwa
>> na vuguvugu la mabadiliko linaloongozwa na CHADEMA na madai ya
>> uwajibikaji toka kwa umma kwa kiwango cha kutaka kuirejesha nchi
>> katika maagizo yamfumo wa siasa wa chama kimoja ambapo kundi lote la
>> watumishi wa serikali na vyombo vyake walikuwa wakilazimishwa
>> kushiriki katika shughuli za CCM wakati ambapo kwa sasa watumishi hao
>> wengine ni wanachama wa CHADEMA na wapo ambao sio wanachama wa chama
>> chochote cha siasa.
>>
>> Rais Kikwete aikumbushe CCM kuwa mapendekezo ya Tume ya Nyalali ya
>> mwaka 1991 na marekebisho ya Katiba ya mwaka 1992 kuingia katika mfumo
>> wa vyama vingi na marekebisho ya sheria yaliyofuata yameweka uhuru wa
>> watumishi wa umma katika kujiunga na vyama vya siasa (isipokuwa
>> watumishi wa kada maalum) na mipaka ya mahusiano kati ya kazi zao za
>> kiserikali na shughuli za vyama vya siasa kikiwemo chama
>> kinachotawala.
>>
>> Naitaka CCM izingatie kuwa utumishi wa umma katika nchi yetu
>> unaongozwa na Sheria ya Utumishi Serikalini namba 16 ya mwaka 1989 na
>> Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma Toleo la 1994 pamoja na
>> marekebisho yake. Kifungu cha 4(1) cha Sheria hiyo kinampa mamlaka
>> Mkuu wa Utumishi wa Umma, ambaye ni Katibu Mkuu kiongozi kutoa waraka
>> kuhusu taratibu mbalimbali za utumishi wa umma.
>>
>> Chini ya Mamlaka hayo, aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Martem Y.C.
>> Lumbanga tarehe 26 Juni, 2000 alitoa Waraka wa Mkuu wa Utumishi wa
>> Umma na. 1 wa mwaka 2000 wenye kumb. Na. SHC/C.180/2/113 uliohusu
>> maadili ya Watumishi wa Umma katika mfumo wa vyama vingi vya siasa.
>>
>> Waraka huo unawataka watumishi wa umma kutekeleza wajibu wao wa
>> utumishi bila kufanya upendeleo wala ubaguzi wa chama chochote cha
>> siasa. Waraka huo unawakataza watumishi wa umma kuzungumza na kutoa
>> taarifa kwenye mikutano ya vyama vya siasa na haujatoa ruhusa kwa
>> watumishi hao kuzungumza katika mikutano ya CCM pekee; hivyo maagizo
>> yaliyotolewa na chama hicho ni kinyume maagizo ya Serikali
>> inayoongozwa na chama hicho hicho.
>>
>> Ikiwa Rais Kikwete atahalalisha maagizo hayo haramu ya CCM, watumishi
>> wa umma watawajibika pia kuitwa na kutoa taarifa kwenye mikutano ya
>> CHADEMA na vyama vingine vya upinzani nchini.
>>
>>
>> Imetolewa na:
>>
>> John Mnyika (Mb)
>>
>> Mkurugenzi wa Habari na Uenezi
>>
>> 04/12/2012
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>> CALL : 0786 806028
>> Free Delivery in Dar es salaam
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>> CALL : 0786 806028
>> Free Delivery in Dar es salaam
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
>> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>> CALL : 0786 806028
>> Free Delivery in Dar es salaam
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
>
>
>
> --
> Bariki G. Mwasaga,
> P.O. Box 3021,
> Dar es Salaam, Tanzania
> +255 754 812 387
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment