Friday 28 December 2012

Re: [wanabidii] Katiba Ndani ya Siku 100 – Dr Slaa V/S Dr Mursi wa Misri

Vince,Achana nao hao ambao kila kukicha huona furaha kwa kumzushia
mwenzao kwa kisingizio cha kuwasilisha hoja.Kweli UKUU WA WILAYA
wakati mwingine unatafutwa kwa njia za Ki-"SADISTI"

On 12/26/12, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:
> Kama tumekosa hoja ni bora tunyamaze; kwani ukimya nao ni busara. Sasa
> mfano huu unakuja je? Mbona havina uhusiano.By the way, Je, Dr. Slaa
> amepata Urais, na je, aliahidi katiba mya au mchakato wa kupata katiba
> mpya?
> Vin
>
> 2012/12/26 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>
>> Ndugu zangu
>>
>> Tujikumbushe kauli ya Dr Slaa aliyoitoa Mwaka 2010 katika kampeni za
>> urais pale alipotoa ahadi ya kiandika katiba ndani ya Siku 100 tu .
>>
>> Kisa hiki kinafanana na cha Mkuu wa Nchi ya Misri Mhe Mohamed Mursi
>> ambaye ndani ya siku 100 amefanikiwa kuandaa katiba hiyo lakini
>> amezidisha kwa kufanya majaribio kadhaa ya kujiongezea madaraka .
>>
>> Matokeo yake ni maandamano kurudi tena nchini humo , watu kuuwawa ,
>> baadhi ya watunga sera na viongozi kujiuzuru au kukimbia nchi hiyo .
>>
>> Alichojaribu kutuahidi Dr Slaa wakati ule inawezekana ni Mfano halisi
>> tunaouona nchini Misri kwa sasa kwa watu kutoa ahadi ambazo
>> hazitekelezeki na amba ambazo hazina maslahi kwa nchi bali kwa
>> wanasiasa binafsi .
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> DELL LATITUDE D 620 & D30
>>
>> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
>> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>>
>> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>>
>> CALL : 0786 806028
>> Free Delivery in Dar es salaam
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment