Wednesday 26 December 2012

Re: [wanabidii] Katiba Ndani ya Siku 100 – Dr Slaa V/S Dr Mursi wa Misri

Yona Maro
 
Wewe kweli ni chichiemu
 
2012/12/26 Flano Mambo <flein47@yahoo.com>
Hapana Yona nadhani aidha hukumuelewa vizuri au unapindisha kwa makusudi Dr. Slaa kipindi cha kampeni.

Mimi ni mmoja ya watu waliofuatilia kampeni kwa umakini mkubwa.

Dr.Slaa aliahidi kuanzisha mchakato wa kuandika katiba mpya hakusema itaandikwa katiba mpya kwa siku 100 naomba kukurekebisha hapo.

Flano
Download the latest BlackBerry® applications from Zantel on www.zantel.com/zantelapps

-----Original Message-----
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 26 Dec 2012 07:41:31
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Katiba Ndani ya Siku 100 – Dr Slaa V/S Dr Mursi wa Misri

Ndugu zangu

Tujikumbushe kauli ya Dr Slaa aliyoitoa Mwaka 2010 katika kampeni za
urais pale alipotoa ahadi ya kiandika katiba ndani ya Siku 100 tu .

Kisa hiki kinafanana na cha Mkuu wa Nchi ya Misri Mhe Mohamed Mursi
ambaye ndani ya siku 100 amefanikiwa kuandaa katiba hiyo lakini
amezidisha kwa kufanya majaribio kadhaa ya kujiongezea madaraka .

Matokeo yake ni maandamano kurudi tena nchini humo , watu kuuwawa ,
baadhi ya watunga sera na viongozi kujiuzuru au kukimbia nchi hiyo .

Alichojaribu kutuahidi Dr  Slaa wakati ule inawezekana ni Mfano halisi
tunaouona nchini Misri kwa sasa kwa watu kutoa ahadi ambazo
hazitekelezeki na amba ambazo hazina maslahi kwa nchi bali kwa
wanasiasa binafsi .

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment