Wana bidii. Mtu akielezwa asipoelewa tunamwitaje? Hii haitakuwa mara ya kwanza humu jamvini kufafanua kuwa Dr Slaa hakuwahi kusema ataandika Katiba ndani ya siku 100. Aliwahi kusema ataanzisha mchakato wa kuandika katiba mpya ndani ya siku 100. Mtu asiyeelewa jambo hili na kuendelea kusema Slaa alisema atatengeneza Katiba ndani ya siku 100 amejitambulisha mwenyewe kuwa ana kipaji hicho (ajitukane mwenyewe kwa kujibu swali lango hapo juu). Elisa Muhingo
--- On Wed, 12/26/12, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> Subject: [wanabidii] Katiba Ndani ya Siku 100 – Dr Slaa V/S Dr Mursi wa Misri To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Wednesday, December 26, 2012, 7:41 AM
Ndugu zangu Tujikumbushe kauli ya Dr Slaa aliyoitoa Mwaka 2010 katika kampeni za urais pale alipotoa ahadi ya kiandika katiba ndani ya Siku 100 tu . Kisa hiki kinafanana na cha Mkuu wa Nchi ya Misri Mhe Mohamed Mursi ambaye ndani ya siku 100 amefanikiwa kuandaa katiba hiyo lakini amezidisha kwa kufanya majaribio kadhaa ya kujiongezea madaraka . Matokeo yake ni maandamano kurudi tena nchini humo , watu kuuwawa , baadhi ya watunga sera na viongozi kujiuzuru au kukimbia nchi hiyo . Alichojaribu kutuahidi Dr Slaa wakati ule inawezekana ni Mfano halisi tunaouona nchini Misri kwa sasa kwa watu kutoa ahadi ambazo hazitekelezeki na amba ambazo hazina maslahi kwa nchi bali kwa wanasiasa binafsi . -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com DELL LATITUDE D 620 & D30 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH . TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY CALL : 0786 806028 Free Delivery in Dar es salaam Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+ unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
|
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
DELL LATITUDE D 620 & D30
80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment