Thursday 27 December 2012

Re: [wanabidii] HAKI ZA BINADAMU : CHADEMA ILIVYOBORONGA MWAKA 2012

Naomba kama mnanifungia mnifungie tu.huyu yona sasa anatuona wajinga wenziye.jamani tangu jana mfululizo anatoa post za kipumbavu tu kwa kila hali.nadhani ameona sisi ni wajinga wenziye.jamani huku ni zaidi ya kujipendekeza.huu sasa ni USHOGA.ama hakika yona ni shoga wa CCM RIP in advance(shoga hapa limetumika kwa maana ya rafiki mkubwa) msije mkaanza kudhani anashikishwa ukuta.
Mtu huyu anaona tuna akili kibaba kimoja? Yawezekana vipi akaleta UHARO kila mara nasi tukachangia? Anatudharau mjinga huyu.
PENDEKEZO;TUGOME kuchangia wala kujadili vitu vya kiwendawazimu hivi.naomba kutoa hoja.na ajadili na wazungu wenziye(wa reli) akina HK
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 27 Dec 2012 14:17:23
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] HAKI ZA BINADAMU : CHADEMA ILIVYOBORONGA MWAKA 2012

Nilikuwa naangalia suala la haki za binadamu kwa chama kikuu cha
Upinzani nchini Tanzania kwa mwaka 2012 .

Hivi ndivyo kilivyoboronga kwa mwaka 2012 .

1 – Kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi ( Iringa )
Mwandishi huyu alipatwa na mauti alivyokuwa kwenye shuguli zake za
kawaida ambazo zimechangia kupaisha chama hiki juu lakini akapatwa na
mauti .

2 – M4C na Maandamano Morogoro Mjini
Kulifanyika mkutano wa M4C na baadaye kufanyika maandamano ambayo
yalisababisha kifo cha mtu mmoja ambaye inasemekana ni mdau wa sekta
ya habari ni muuza magazeti wa msamvu morogoro .

3 – Kifo cha Kada wa UVCCM Singida
Ulitokea ugomvi kati ya vijana ambao ulisababisha kada wa UVCCM
kupoteza uhai wake na kesi hii iko mahakamani ambapo baadhi ya vigogo
wa CHADEMA ndio washtakiwa .

4 – Uporaji wa Maiti North Mara
Hili ni tukio ambalo lilisababisha baadhi ya maiti kususiwa na ndugu
na kada mmoja wa CHADEMA kuwekwa rumande kwa masaa kadhaa kabla ya
kuachiwa huru .

5 – Viongozi kadhaa haswa Dr Slaa ametamka mara kadhaa na kutisha
kwamba nchi haitotawalika na mwisho wa mwaka huu mhe freeman mbowe
akatoa kitisho hicho hicho kuhusu mwaka 2013 .

Hiki ni chama kikuu cha upinzani tulitegemea kikawa mfano bora wa
kufuata sheria na taratibu za nchi sio aibu hii tunayoiona wenyewe .

MWISHO
Mpaka sasa hivi Makad wa CHADEMA ndio kundi la kisiasa lililokuwa na
kesi nyingi kuliko yote nchini Tanzania bara na visiwani , wanakesi
mikoa mingi ambazo bado zinaendelea zinazohusiana na matukio hayo au
mengine yanayohusisha harakati za kisiasa .

Sasa wananchi wenyewe waangalie na kupima , ingawa kwa Tanzania suala
la haki za binadamu sio ishu maana raia wengi wamezoea kujichukulia
sheria mkononi .

Wengi watasingizia CCM wakati CCM haiko ndani ya mfumo wa CHADEMA .

NB : Kama nimekosea tarehe na majina ya watu au matukio samahanini

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment