Tunapoelekea uchaguzi wa Viongozi ndani ya CWT hebu wadau wote kwa heshima kubwa tunaomba muoneni mambo ya ajabu ya hila yanayofanywa na Nd Oluwoch ambaye kwa sasa kabla ya uchaguzi yeye ni Naibu katibu Mkuu CWT
- kwa nini umeamua kutuma barua kwa makatibu mikoani ikiwataka kubadilisha fomu za uchaguzi (katikati ya zoezi la kuchukua fomu?) Rejea barua yako yenye saini yako kwa makatibu wa Mikoa ya tarehe 23.february 2015 Kifungu (b) inasomeka hivi….Fomu za mwanzo zimefutwa na zitakazotumika ni hizi ambazo zimeambatanishwa na barua hii. Swali, kwa nini uamue kufanya mabadiliko ya fomu ili hali wengine wamekwisha jaza na wadhamini tayari wamesaini? Kumbuka idadi ya wadhamini katika ile fomu ni wengi sana idadi yao ni kati ya 25-30 sasa unapokuja na mabadiliko haya (up hazard changes) bila msingi wowote una maana ipi?
- Je unamfahamu vizuri Stela Kiyabo? ni nani kwako? Unamfahamu D. Mathamani? Ni nani kwako? Unamjua Kabeja? Hawa ni nani kwako? tunakuonya kupanga safu za watu tena wa ajabu iwe iliishia mwaka 2010 sio mwaka huu. naz uwambie watu wako wachunge.
- Mpaka mwaka juzi mtaji wa bank ilikuwa tayari Bil 15 zipo ikiwa ni mali ya walimu, mbona hizo pesa hazipo CRDB ambapo baraza liliamuru zikae huko? unakiri kwamba umezihamisha kwenda bank fulani kwa jina lako? na huku faida yote ikija kwa jina lako?
- Amempa kienyeji tu (bila kutangaza gazetini ili walimu wenye chama waombe) ajira mtoto wa Msajili wa vyama vya wafanyakazi ajira ya kuwa mwana IT wa CWT akilipwa zaidi ya Tsh 3.2 Milioni kwa mwezi na wakati huo yeye si mwalimu? Hiki ni chama cha nani?
- amekuwa akitoa hongo kubwa kwa msajiri wa vyama vya wafanyakazi ili kuzima zima mambo mazito na machafu yanayofukuta ndani ya CWT sasa msajiri na wewe unajuakuwa umefika ukingoni na mwenzio huyo? afu ni aibu kwa mama mzima kupokea hongo.
- NECTA wewe upo kama nani?
- kwa nini unatumia jina la Chama cha walimu katika miradi yako binafsi juzi juzi hapa umetuma taarifa kwa makatibu wa mikoa wakuletee taarifa za walimu viziwi ukijifanya unazihitaji kwa matumizi ya chama hata aibu huna kumbe una fanya kazi na shirika fulani kwa manufaa yako.
- amesema wilaya ambazo ni mpya eti mwaka huu zisifanye uchaguzi (bila hata sababu) hivi huyu mtu ana wezo gani wa kufikiri? is like Id amin dada by the way
Ushauri
Jipime uone kama unafaa kuwa Mgombea mwaka huu, kwa kweli unatakiwa upimwe akili na uwezo wa kufikiri tumeongozwa na mtu dikiteta kama wewe mwenye hila kwa kila unachokifanya kwa muda mrefu sasa inatosha vinginevyo mawe yatakutoa ofisini sisi hatukutaki urudi hapo aisee tena utuelewe tafadhali
0 comments:
Post a Comment