Wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu, wote wanakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band.
Karibuni sana tuanze weekend yetu na burudani ya muziki wa Live
Come and experience good music from our young talented singers #AnethKushaba #John music & #Ashura #Sony Masamba #Sam Mapenzi bila kumsahau baba lao Joniko Flower mkongwe kwenye burudani ya muziki wa Live...ni balaaaaa na si ya kukosaa.. Hii ni ijumaa ya amsha amshaa# una kila sababu ya kusogea Thai village na bila kusahau Jumapili hii Escape1#
See you there #goodmusic #goodpeople
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akishusha mistari huku waimbaji wenzake Sony Masamba (katikati) na Sam Mapenzi wakisebeneka Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Vijana wa Skylight Band wakitikisa jukwaa kwa 'style' za aina yake.
Mashabiki nao hawakubaki nyuma katika miondoko.
Majembe ya Skylight Band yakijembeka ndani ya kiunga cha Thai Village, Masaki jijini Dar.
Twende sawa......
Sam Mapenzi aki-'feel' ala za gitaa alipokuwa akifanya Kolabo na Aneth Kushaba AK47 ya wimbo wa Elani wa 'Kookoo' unaobamba kwenye chati za muziki nchini Kenya. Kushoto ni Ashura Kitenge akipiga back vocal.
Aneth Kushaba AK47 akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita ndani ya viunga vya Thai Village, Masaki jijini Dar.
Ijumaa iliyopita alizaliwa binti mrembo sana Super Model, Neema Mbuya mdau mkubwa wa Skylight Band. Pichani akitoka kuimbiwa wimbo wa 'Happy Birthday' na bendi ya Skylight.
Birthday Girl Super Model, Neema Mbuya na mashosti zake wakisheherekea sikukuu yake ya kuzaliwa iliyoangukia akiwa batani Skylight Band na ma-surprise kibao kunogesha siku yake.
Mmoja wa marafiki wa birthday girl akitaka kumwogesha na kinywaji.
Mwanadada mrembo na mdau wa Skylight Band akipozi kwa Ukodak.....
Aneth Kushaba AK47 akisebeneka na shabiki wake back stage.
Mdau wa Skylight Band Mule mtoto wa Sinza kwa wajanja akipata ukodak na binti mrembo ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar.
Murembo figure namba nane....hapana chezea Skylight Band.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment