Thursday, 12 March 2015

Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Kufukuzwa Kwa Zitto Chadema: Nimepokea Taarifa Kwa Masikitiko..

Kuondoka siyo issue ila issue ni kuwa ameondokaje? Ikiwa ataondoka bila kuhakikisha kuwa taratibu za kisheria zimezingatiwa na kuwekwa sawa kwenye rekodi kwa upande wangu naona hiyo ni kasoro, ila hata akiondoka lakini record iko sawa hasa kwa mambo ya kisheria ni sawa tu. Hata mume na mke wakishachokana kimsingi huachana hata wakilazimishwa waendelee na ndoa lakini ndiyo maana ili waachane salama na kila mmoja awe huru kufanya atakavyo kimahusiano ya kindoa  na mwenza mwingine Mahakama hutoa talaka kwa mujibu wa Sheria.Kwa kuwa taratibu za kimahakama zimeanza kwa upande wa Zitto na CHADEMA hebu tuliache hili kwa Zitto kama ataona inafaa kukata rufaa ili kupata ufafanuzi juu ya mambo kadhaa kama atakavyoona inafaa yeye na wakili wake Alberto Msando ambaye pia nina wasiwasi kwa chama kisicho na Demokrasia kama CHADEMA kinaweza kumuundia zengwe la kumwondoa katika Chama hicho!
Bob Leo.


On Thursday, March 12, 2015 8:39 AM, 'alexander chipalazya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Mimi binafsi sikutarajia Zitto aendelee kutaka kubakia ndani ya CHADEMA baada ya chama chake kumfukuza. Hii ni kwa sababu utetezi wa Zitto na maelezo yake wa siku za nyuma katika mitandao na vyombo vya habari (press) amedhihirisha kua anatofautiana itikadi na wenzake kwa sehemu kubwa sana. Je! wanawezaje kufanya kazi pamoja wakati hawapatani katika mambo ya msingi??. Busara ya kawaida ni yeye kuondoka.


On Wednesday, March 11, 2015 5:12 PM, 'leonard magwayega' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Katiba ya Chama chochote cha Siasa au kinginecho au sheria yoyote inayomzuia mtu yeyote kwenda Mahakamani kudai haki yake kwa kuona kama imekiukwa au inaelekea kukiukwa, katiba au Sheria hiyo ni batili tangu mwanzo wake (Null and void ab initio). Ieleweke kuwa sheria yoyote inayotungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au katiba ya Chama chochote kiwe cha Siasa au kijamii au kikundi chochote cha watu haipaswi kuwa juu ya/ au kukiuka matakwa yaKatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ibara husika ya Katiba ya CHADEMA ni kandamizi na imekiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1977 kama ilivyofanyiwa marekebisho ya mara kwa mara. Hata hivyo nawashangaa sana wachangiaji katika suala hili maana Mahakama haijatoa uamuzi juu ya uanachama wa Zitto Kabwe ndani ya CHADEMA bali imetupilia mbali kesi yake kwa kuunga mkono pingamizi la awli(P.O) la mawakili wa CHADEMA kwamba kulikuwa na makosa ya kisheria kufungua kesi hiyo kwenye Mahakama kuu ya Tanzania tena kwenye masjala kuu ya Mahakama kuu ya Tanzania (Main Registry of the High Court of Tanzania) badala ya Masjala ya Wilaya ya Mahakama hiyo (District Registry of the High Court of Tanzania), na kwamba kesi hiyo ingefunguliwa kwenye mahakama ya Hakimu Mkazi.
Mimi sipendi kuzungumzia uamuzi wa Mahakama kwenye forum hii maana maadili ya kazi zangu na taaluma yangu hayaniruhusu ila ninachotaka kufanya ni kumkosoa kaka yangu, msomi mwenzangu Tundu Lissu kwamba si kweli kwamba tangu Zitto alipofungua kesi yake mahakamani dhidi ya CHADEMA basi alikuwa si mwanachama tena wa CHADEMA kutokana na ibara ya katiba ya CHADEMA inavyosema, maana kama ingekuwa hivyo basi Zitto asingehudhulia Bungeni tangu tarehe 2/1/2014 lakini mbona ameendelea kuwa Mbunge hadi leo na hata siku zijazo mpaka utaratibu wa kisheria utakapofuatwa? yeye Tundu ni nani hadi kutamka kwamba Zitto si mbunge tena wa Kigoma Kaskazini kama alivyotamka jana mbele ya waandishi wa habari? why souldn't he leave this matter to the proper authorities? Hata kama Zitto akikoma kuwa Mbunge ni kwa mujibu wa katiba na Sheria za nchi na si kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA hasa kwa Ibara hiyo inayozuia mwanachama wa CHADEMA kwenda Mahakamani maana Ibara hiyo ni batlli na kinyume cha Katiba ya nchi. Zitto bado ana fursa kubwa ya kwenda mahakama ya Rufaa kupata tafsri sahihi juu ya uamuzi huo wa mahakama kuu na ni haki yake juendelea na ubunge wake wakati akisubiri uamuzi wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania ambacho ni chombo cha juu kabisa cha maamuzi juu ya haki za watu hapa Tanzania. Kwa msomi wa sheria na wakili mkongwe kama Tundu Lissu kukurupuka kwa hisia za kisiasa na kuropoka juu ya hatima ya Zitto ndani ya CHADEMA mimi naona kama ni tukano kwa taaluma hii ya kifalme (It is an abuse to this noble profession). Taaluma hii sasa imeingiliwa na wanasiasa uchwara ambao wanaweza kusimama na kutamka lolote ili mradi tu wakidhi hoja zao za kisiasa badala ya kwenda kwenye uhalisia wa kisheria. Ndiyo maana hata Ngereja ambaye kitaaluma ni mwanasheria alipohojiwa na baraza la tume ya maadili ya viongozi katika kutoa utetezi wake anajitetea kuwa eti siyo yeye tu aliyepokea hela za escrow bali pia hata Zitto kabwe naye alipokea kutoka sehemu kadha wa kadha. Uliona wapi mwanasheria wa kweli anatoa utetezi wa aina hiyo? Can somebody justfy wrongs because the same have been commited/done by somebody else? Unaua mtu kwa sababu fulani naye kaua? Hao ndo wanasheria dizaini ya Tundu Lissu, wanajua lakini wanajifanya hawajui ili kujustify position na kiu zao za kisiasa. Mwisho Zitto nakupa nguvu uamue mambo haya kwa utashi wako mwenyewe. Ikiwa unaona unahitaji kupata tafsri sahihi juu ya uamuzi wa mahakama kuu kutoka katika mahakama ya rufaa tanzania sisi tupo tayari kukusaidia hata bure kabisa tukiungana na Wakili Msomi Alberto Msando ili tafsri hiyo isiwe kwa manufaa yako tu bali kwa kizazi chote cha Tanzania. Ni katika Mahakama ya rufaa tunaweza kupata maelekezo juu ya katiba mbovu za vyama kama CHADEMA zinazofifisha haki za watu/ wanachama wake kukishitaki chama wakati hilo ni takwa na haki ya kikatiba. Kuwa mwanamapinduzi kunahitaji moyo na muda. Usikate tamaa, kama ni chama chao waachie kidizaini lakini twende Mahakama ya Rufaa tupate tafsri sahihi, na je Mahakama kuu kuendelea na kesi yako bila kutoa notisi kwako au kwa wakili wako kama tarehe ya kusikiliza ilibadilishwa kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari ilikuwa sahihi(kama ni kweli)?. Hayo ndo mambo ya muhimu watanzania wangependa kujua na si longolongo za kisiasa kama za Tundu Lissu na wenzake wenye mtazamo kama huo.
Aluta Continua Comrade Zitto Zuberi Kabwe. Demokrasia ya kweli lazima izingatie sheria na Katiba za Nchi zilizo nzuri zisizokiuka haki za watu. Si sheria zote ni Sheria!
Bob Leo (Leonard Elias).


On Wednesday, March 11, 2015 4:09 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Kama katiba hii ilifahamika kwa Zitto tukubali kuwa Zitto amevunja katiba ya chama chake kwenda mahakamani. Nilikuwa wa kwanza kuomba wakae pembeni wasameheane lakini ki ukweli kama katiba inasema mwanachama asiende mahakamani basi kwenda mahakamani ni kuvunja katiba na lazima itekelezwe hivyo. Nafasi ya Zitto kupinga kipengele hicho si sasa kinapoanza kumshughulikia ila kabla au asubiri akibahatika ku-reconsile aanzishe mjadala. Kifungu hiki hakikuanza kuwa kandamizi baada ya kumbana.
--------------------------------------------
On Wed, 3/11/15, Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Kufukuzwa Kwa Zitto Chadema: Nimepokea Taarifa Kwa Masikitiko..
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 11, 2015, 1:33 PM

Ambokege: Hebu twende
mbele kidogo na tujiulize maswali kadhaa katika muktadha wa
demokrasia. Je, unaunga mkono udola na ufalme wa chama cha
siasa dhidi ya wapiga kura? Kwamba vyama vimepewa mamlaka
makubwa dhidi ya wapiga kura? Ni sawa chama cha siasa kuwa
na kipengele kinachozuia wanachama wake kwenda mahakamani?
Ni sawa hiyo? Zitto alikata rufaa ndani ya vikao vya chama
lakini wakuu wa chama wakataa kuwasilisha rufaa yake katika
vikao husika. Mlitaka aende wapi kama sio mahakamani?
Tunashabikia chama cha upinzani kuwa na taratibu
na sheria za chama dola kama CCM? Huu ndio mbadala
tunaoutafuta?
 




2015-03-11 13:28
GMT+03:00 Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>:
jbifabusha: Unaamini mapinduzi yanaweza kufanyika
katika chama cha siasa? 
 




2015-03-11 11:15
GMT+03:00 amour chamani <abachamani@gmail.com>:
Kazi kweli kweli


Walewale
On Mar 11, 2015 11:13
AM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Watanzania tunaitarajia UKAWA iliyo
imara.

Hebu tujadili hili: Zitto akifukuzwa CHADEMA akaenda CUF. Na
CUF ikaja naye kama mgombea wa jimbo fulani. Nini mwelekeo
wa mjadala wa kumpitisha kwa mwelekeo huo au msimamo wa
CHADEMA wakati wa kuwajadili wagombea? Nini maana yake kwa
wanachadema kuendelea mgombea wa CUF ndani ya UKAWA? Mambo
haya yanahitaji kuangaliwa kwani yanaweza kutumiwa na hasimu
wao kuwavuruga wapiga kura.

--------------------------------------------

On Wed, 3/11/15, George Fumbuka <fumbuka1953@gmail.com>
wrote:



 Subject: Re: [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Kufukuzwa Kwa
Zitto Chadema: Nimepokea Taarifa Kwa Masikitiko..

 To: "Hildegarda Kiwasila khildegarda@yahoo.co.uk
[Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>,
wanabidii@googlegroups.com

 Cc: Wanazuoni@yahoogroups.com

 Date: Wednesday, March 11, 2015, 9:50 AM







             Pole kwa

 masikitiko. As a matter of fact Zitto anajiunga ‎na
CUF.

 Alitaka kwenda ACT lakini it seems wamemtibua waliposema

 Hamadi Rashidi ndiyo awe Mwenyekiti.











                                       
               
 Sent from my BlackBerry 10 smartphone.





                                       
                                       
 From: Hildegarda

 Kiwasila khildegarda@yahoo.co.uk

 [Wanazuoni]Sent: Wednesday, 11 March 2015

 07:55To:

 wanabidii@googlegroups.comReply To:

 Wanazuoni@yahoogroups.comCc:

 Wanazuoni@yahoogroups.comSubject:

 [Wanazuoni] Re: [wanabidii] Kufukuzwa Kwa Zitto Chadema:

 Nimepokea Taarifa Kwa

 Masikitiko..































  



















       Hapo sasa jimbo la Zitto Kabwe litachukuliwa na
CCM

 au chama kingine ili kulipiza kisasi kuikomoa Chadema.
Hii

 imetokea pia kwa CCM kupoteza uongozi ktk serikali ya
Mtaa

 katika Mitaa mbalimbali kwa kuweka viongozi au wagombea

 uongozi ambao hawakutakiwa na wananchi. Hivyo wana CCM

 wakaamua kumpigia kiongozi mwingine yeyote wa chama
kingine

 chochote kuikomoa CCM na vijambo vyake ingawaje
wanakipenda

 chama chao walifanya hivyo ili viongozi wake wabadilike

 wazingatie wanachama wao/raia wanataka nini ktk eneo lao
na

 wanamtaka nani wampendae. Tukiwasikia wapiga kura
wakisema

 hivi wakitoka kupiga Kura-Tumewakomoa, tumempigia CUF,

 Chadema eti wamemuweka fulani ambaye kura za awali

 hakushinda, hatumtaki mla rushwa, hatumtaki mbona huyu si

 mkazi wa mtaa huu hatumjui....Haya ya Mh Zitto-ni mazito;

 chuki binafsi na umimi zitatumaliza. Hapa CCM itavuna
Jembe.

 Kama budi aendelee na wadhifa wake bungeni jee
haitowezekana

 kuwa mbunge wa kuteuliwa na JK haraka sana? Hapa



  sasa Chadema imeruka tope la kinyesi Jangwani Mtaa wa
Sunna

 na kuangukia katika tope la mchanganyiko kinyesi cha

 nguruwe, mbuzi na ng'ombe Tandale kwa Mtogole.







 --------------------------------------------



 On Wed, 11/3/15, Maggid Mjengwa

 <mjengwamaggid@gmail.com>
wrote:







 Subject: [wanabidii] Kufukuzwa Kwa Zitto Chadema:
Nimepokea

 Taarifa Kwa Masikitiko..



  To: "wanabidii"

 <wanabidii@googlegroups.com>,

 "mabadilikotanzania"

 <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,

 Wanazuoni@yahoogroups.com



  Date: Wednesday, 11 March, 2015, 6:28







  Nimepokea



  kwa masikitiko taarifa kuwa ndugu yangu Zitto Kabwe



  amefukuzwa kwenye chama cha Chadema. Ni habari ya



  kusikitisha unapotafakari demokrasia tunayojitahidi



  kuijenga.Zitto



  amekuwa mwanachama wa Chadema tangu akiwa kijana mdogo.



  Mwenyekiti wa chama hicho , Freeman Mbowe, amenukuliwa

 mara



  kadhaa akikumbushia jinsi alivyoshirikiana na Zitto



  kuhamasisha vijana wengine waliokuwa vyuoni kujiunga na



  Chadema.Kwenye



  siasa za vyama kuna kutofautiana kifikra na kimitazamo.

 Na



  mara



  nyingine migongano huwa inahusu kugombania nafasi za



  uongozi. Haya ni mambo ya kawaida kwa chama cha siasa.



  Hayapaswi kuwa sababu za viongozi wa vyama kuwafukuza



  wanachama.Kwenye siasa tofauti humalizwa



  kwa hoja, kwenye vikao. Na anayekiuka taratibu za chama



  kumfukuza kwenye chama ni adhabu kubwa na kali kama ya

 kifo.



  Maana, anayejiunga na chama hufanya hivyo kwa mapenzi.



  Anapokosea anaweza kuonywa au kuadhibiwa, lakini,

 kufukuzwa



  kwa misingi ya kutofautiana kifikra na kimitazano si

 hulka



  njema.Zitto Kabwe ni



  mwanasiasa kijana na mahiri. Chadema ilipaswa imvumilie

 na



  ishindane nae kwa hoja, lakini, si kumtupa nje kwa

 staili



  tuliyoishuhudia.Chadema, kama



  chama cha siasa, isijiandalie mazingira ya wanachama

 wake



  kuwa na hofu ya kufukuzwa pindi wanapotofautiana na

 viongozi



  wa juu. Itapoteza kisiasa.Na



  hili la Zitto Kabwe linatukumbusha kile ambacho binafsi



  nimeandika mara kadhaa, juu ya udhaifu kwenye Katiba

 yetu.



  Kwamba Mbunge aliyechaguliwa na Wananchi anaishi kwa
hofu

 ya



  rungu la chama.Kwamba leo



  Wananchi wa Kigoma Kaskazini wanampoteza Mbunge wao



  waliyemchagua kwa maamuzi ya Chama anachotoka Mbunge

 wao.



  Haya ni mapungufu makubwa. Wananchi hapaswi kuadhibiwa

 kwa



  maamuzi ya vyama.Nachukua



  fursa hii kumtakia kila la heri ndugu yangu Zitto Kabwe,



  nikimuasa asikate tamaa, akipata fursa nyingine,
aendelee

 na



  siasa na hususan uongozi wa uwakilishi wa wananchi.

 Aendelee



  kuwa sauti ya wasio na sauti, popote pale.Maggid

 Mjengwa,Dar Es Salaam.















  --







  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







   







  Kujiondoa Tuma Email kwenda







  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya



  kudhibitisha ukishatuma







   







  Disclaimer:







  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility



  for any legal consequences of his or her postings, and

 hence



  statements and facts must be presented responsibly. Your



  continued membership signifies that you agree to this



  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.







  ---







  You received this message because you are subscribed to

 the



  Google Groups "Wanabidii" group.







  To unsubscribe from this group and stop receiving emails



  from it, send an email to

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.







  For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.



















     __._,_.___





















         Posted by: Hildegarda Kiwasila

 <khildegarda@yahoo.co.uk>









                           Reply

 via web post

                       •



                Reply to sender

           •



               Reply to group

           •

             Start a New

 Topic

           •

                             Messages in
this

 topic

                 (2)

































     Visit Your Group





       New Members

       5













    • Privacy • Unsubscribe • Terms of Use













































   .















 __,_._,___















 #yiv2382806505 #yiv2382806505 --

   #yiv2382806505ygrp-mkp {

 border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px

 0;padding:0 10px;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mkp hr {

 border:1px solid #d8d8d8;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mkp #yiv2382806505hd {

 color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px

 0;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mkp #yiv2382806505ads {

 margin-bottom:10px;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mkp .yiv2382806505ad {

 padding:0 0;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mkp .yiv2382806505ad p
{

 margin:0;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mkp .yiv2382806505ad a
{

 color:#0000ff;text-decoration:none;}

 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-sponsor

 #yiv2382806505ygrp-lc {

 font-family:Arial;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-sponsor

 #yiv2382806505ygrp-lc #yiv2382806505hd {

 margin:10px

 0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-sponsor

 #yiv2382806505ygrp-lc .yiv2382806505ad {

 margin-bottom:10px;padding:0 0;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505actions {

 font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505activity {

 background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505activity span {

 font-weight:700;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505activity span:first-child {

 text-transform:uppercase;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505activity span a {

 color:#5085b6;text-decoration:none;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505activity span span {

 color:#ff7900;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505activity span

 .yiv2382806505underline {

 text-decoration:underline;}



 #yiv2382806505 .yiv2382806505attach {

 clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px

 0;width:400px;}



 #yiv2382806505 .yiv2382806505attach div a {

 text-decoration:none;}



 #yiv2382806505 .yiv2382806505attach img {

 border:none;padding-right:5px;}



 #yiv2382806505 .yiv2382806505attach label {

 display:block;margin-bottom:5px;}



 #yiv2382806505 .yiv2382806505attach label a {

 text-decoration:none;}



 #yiv2382806505 blockquote {

 margin:0 0 0 4px;}



 #yiv2382806505 .yiv2382806505bold {

 font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}



 #yiv2382806505 .yiv2382806505bold a {

 text-decoration:none;}



 #yiv2382806505 dd.yiv2382806505last p a {

 font-family:Verdana;font-weight:700;}



 #yiv2382806505 dd.yiv2382806505last p span {

 margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}



 #yiv2382806505 dd.yiv2382806505last p

 span.yiv2382806505yshortcuts {

 margin-right:0;}



 #yiv2382806505 div.yiv2382806505attach-table div div a {

 text-decoration:none;}



 #yiv2382806505 div.yiv2382806505attach-table {

 width:400px;}



 #yiv2382806505 div.yiv2382806505file-title a,
#yiv2382806505

 div.yiv2382806505file-title a:active, #yiv2382806505

 div.yiv2382806505file-title a:hover, #yiv2382806505

 div.yiv2382806505file-title a:visited {

 text-decoration:none;}



 #yiv2382806505 div.yiv2382806505photo-title a,

 #yiv2382806505 div.yiv2382806505photo-title a:active,

 #yiv2382806505 div.yiv2382806505photo-title a:hover,

 #yiv2382806505 div.yiv2382806505photo-title a:visited {

 text-decoration:none;}



 #yiv2382806505 div#yiv2382806505ygrp-mlmsg

 #yiv2382806505ygrp-msg p a span.yiv2382806505yshortcuts {

 font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}



 #yiv2382806505 .yiv2382806505green {

 color:#628c2a;}



 #yiv2382806505 .yiv2382806505MsoNormal {

 margin:0 0 0 0;}



 #yiv2382806505 o {

 font-size:0;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505photos div {

 float:left;width:72px;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505photos div div {

 border:1px solid

 #666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505photos div label {

 color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505reco-category {

 font-size:77%;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505reco-desc {

 font-size:77%;}



 #yiv2382806505 .yiv2382806505replbq {

 margin:4px;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-actbar div a:first-child
{

 margin-right:2px;padding-right:5px;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mlmsg {

 font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,

 sans-serif;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mlmsg table {

 font-size:inherit;font:100%;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mlmsg select,

 #yiv2382806505 input, #yiv2382806505 textarea {

 font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mlmsg pre,
#yiv2382806505

 code {

 font:115% monospace;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mlmsg * {

 line-height:1.22em;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-mlmsg #yiv2382806505logo
{

 padding-bottom:10px;}





 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-msg p a {

 font-family:Verdana;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-msg

 p#yiv2382806505attach-count span {

 color:#1E66AE;font-weight:700;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-reco

 #yiv2382806505reco-head {

 color:#ff7900;font-weight:700;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-reco {

 margin-bottom:20px;padding:0px;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-sponsor
#yiv2382806505ov

 li a {

 font-size:130%;text-decoration:none;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-sponsor
#yiv2382806505ov

 li {

 font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-sponsor
#yiv2382806505ov

 ul {

 margin:0;padding:0 0 0 8px;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-text {

 font-family:Georgia;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-text p {

 margin:0 0 1em 0;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-text tt {

 font-size:120%;}



 #yiv2382806505 #yiv2382806505ygrp-vital ul li:last-child
{

 border-right:none !important;

 }

 #yiv2382806505























 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly. Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.








--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment