Friday, 13 March 2015

Re: [wanabidii] ZITTO NDIO UJUE MUOSHA UWOSHWA TENA WAKATI WA KUOSHWA ULIPULIWA

Mimi nadhani huyu dada kama hana frustration  ya kuachwa na mwanaume (Siyo Mume) BASI maisha ya kawaida tu yamempiga. Kama si viwili hivyo basi ana stress (Msongo wa mawazo) wa kitu chochote kile katika maisha ya kawaida ya kila siku ya binadamu. Anahitaji msaada wa kitabibu zaidi na si wa kuelimishwa maana kama ni elimu ameelimishwa sana lakini hakuna mabadiliko chanya zaidi ni mabadiliko hasi zaidi. Mwanzoni nilidhani ni tabularasa (debe tupu-hamnazo tu) lakini sasa nabaini pia ni mgonjwa. Tumsaidie Hapiness Katabazi kwa kitabibu zaidi kuliko tunavyofikiri. Maana mimi nikiona maandiko yake nafikiri mbali sana. Simfikirii yeye tu bali pia nafikiria na walimu wake wote katika ngazi zote za elimu aliyowahi kupata na anayoendelea kupata. Hakika anawaaibisha wote. Ukiwa ni mwalimu wa mwanafunzi kama huyu ambaye hajui mpangilio wa sarufi wala wa yaliyomo kwenye habari yoyote anayoiandika kwa kweli shame on you! suala la ESCROW na Hukumu ya Mahakama juu ya maombi ya Zitto Kabwe vinaingiliana vipi? No critical thinker can relate the said two issues except for a mad person like Hapiness Katabazi. Kichwa cha habari na yaliyomo kwenye habari yenyewe hayahusiani kabisa. kama ametumwa na hao mafisadi basi yeye na hao mafisadi wajue ujumbe wao hauwezi kueleweka wazi kwa kuwa mtu aliyetumika kuufikisha hana uwezo wa kuongea na hadhira ya watu wenye uelewa makini kama hii.
Katabazi ni bora unyamaze kuliko kubwabwaja na kujiweka kwenye kundi la wasomi eti wa Sheria. Wewe una uwezo gani wa kumkosoa Wakili Alberto Msando? unadhani naye alivua chupi kupata digrii yake ya Sheria  pale Mlimani kama wafanyavyo wenzako hapo unapopaita chuo kikuu? SHUT UP YOUR DIRTY MOUTH.


On Friday, March 13, 2015 8:55 AM, 'eid omari' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Katabaziiiiiiiiiiiiii, hivi unafikiri alafu unaandika au unaandika then unafikiri?.....POLE SANA Comrade ZITTO.....


Omary Iddy,DAGROFORESTRY RESEARCH TANZANIA FORESTY RESEARCH INSTITUTE(TAFORI)P.O BOX 1257,SHINYANGATANZANIA.Tel:+255 28 276 3249MOBILE:+255 713 728 672FAX:+255 28 276 2198EMAIL:eidomari@yahoo.com

--------------------------------------------
On Fri, 3/13/15, 'vitalisy kisandu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] ZITTO  NDIO UJUE  MUOSHA  UWOSHWA TENA WAKATI WA KUOSHWA ULIPULIWA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, March 13, 2015, 8:50 AM

Duuh,hivi mpaka leo hawajakupa Udc wa
Wilaya yoyote Mpya,Bibie?.Yaani mpaka wakiondoka Madarakani
hawajakupa Ukuu wa Wilaya,watakuwa wamekuonea sana,maana
ajaye hatumjui kama atapenda Mbwembwe na maneno yako au
hapana.
--------------------------------------------
On Fri, 3/13/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] ZITTO  NDIO
UJUE   MUOSHA  UWOSHWA TENA WAKATI WA
KUOSHWA ULIPULIWA
  To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Friday, March 13, 2015, 12:16 AM
 
  katabazithe lady
  who always write millions of pontless words, we hate
  youuuuuuuuuuuuuu
 
     
   From: 'frank
  chalamila' via Wanabidii
  <wanabidii@googlegroups.com>
  To:
  "wanabidii@googlegroups.com"
  <wanabidii@googlegroups.com>

 
  Sent:
  Thursday, March 12, 2015 9:08 AM
  Subject: Re:
  [wanabidii] ZITTO  NDIO
UJUE   MUOSHA  UWOSHWA TENA WAKATI
  WA KUOSHWA ULIPULIWA
   
  duniani kuna mambo
 
 
      On Thursday, March
  12, 2015 5:49 PM, 'Happiness Katabazi' via Wanabidii
  <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
 
   
 
  ZITTO 
  NDIO UJUE   MUOSHA  UWOSHWA TENA WAKATI WA KUOSHWA
  ULIPULIWA
 
  Na Happiness
  Katabazi
 
  MACHI 10 Mwaka
  huu, Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Mziray
  alitoa uamuzi wa kumfukuza mahakamani kwa gharama ombi la
  Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Zitto Kabwe
lililokuwa
  Linaomba Mahakama hiyo itoe amri ya Kuzuia CHADEMA isiketi
  vikao Vyovyote kumjadili wala Kumvua uanachama.
 
  Jaji Richard  Mziray Katika
  uamuzi wake Katika Kesi hiyo ambayo mlalamikaji ni Zitto
  Kabwe dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya Chadema na Katibu Mkuu
  wa Chadema ambapo Madai ya Msingi  ya Zitto  alikuwa
  anaiomba   Mahakama hiyo itoe amri ya Kuzuia Chadema
  isifanye vikao Vya kumjadili na kutoa maamuzi uamuzi
wowote
  dhidi yake.
 
  Jaji Mziray
  alisema Kabla ya Kesi hiyo ya Msingi kuanza kusikilizwa
  wadaiwa hao waliwasilisha jumla ya mapingamizi ya awali
  matano.
 
  Jaji Huyo alisema
  mahakama yake imeamua kutolea uamuzi mapingamizi mawili tu
  Kati ya matano na kwa Sababu hiyo Mahakama yake
imekubaliana
  na mapingamizi mawili ya Mawakili wa wadaiwa na ndiyo
  itayatolea uamuzi na mapingamizi yaliyosalia haitaitolea
  uamuzi.
 
  Pingamizi la kwanza
  lilowasilishwa na Wakili wa wadaiwa Peter Kibatara na John
  Malia ,waliomba Mahakama hiyo iifute Kesi ya Zitto .
 
  Pingamizi la pili kesi ya
  Zitto  ilifunguliwa Katika Mahakama hiyo kimakosa
kwasababu
  Kesi yake hiyo Zitto Alipaswa aka ifungue Katika masijala
ya
  Wilaya ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam  kwa maana
  kwamba Zitto alipaswa kufungua kesi yake msingi katika
  Mahakama ya Hakimu Mkazi na siyo Kuifungulia Masijala Kuu
ya
  Mahakama Kuu (main registry)
 
  Jaji huyo alisema (Main Registry) zilianzishwa
  kwaajili  ya kuendesha Kesi Maalum na zaidi zaidi  Kesi
za
  Kikatiba , hivyo akatupilia mbali kesi ya Zitto kwa
  gharama.
 
  Jaji Mziray 
  amesema amekubaliana na pingamizi la Chadema lililotaka
  mahakama hiyo iifute kesi ya Zitto kwasababu haikupaswa
  kufunguliwa Mahakama Kuu na kwamba ilipaswa kufunguliwa
  katika mahakama za ya Hakimu Mkazi(Subordinate Court).
 
  Ikumbukwe  kuwa, mwaka jana
  Zitto Kabwe aliweka pingamizi mahakamani kuzuia kikao cha
  Kamati Kuu ya  chama  hicho  kumjadili  mpaka  pale 
  shauri  lake  litakaposikilizwa  na  Baraza  Kuu 
la 
  Chama  hicho.
  Zitto hukujua Hilo.
 
  Binafsi nimefurahishwa na
  uamuzi huo wa Mahakama Kwani uamuzi wa haki na uliokidhi
  matakwa ya kisheria na pia uamuzi huo pia umetoa Funzo kwa
  Mawakili wakurupukaji kama Wakili wa Zitto, Albert Msendo
  ambao wanatabia ya kukurupuka Kufungua Kesi mahakamani
bila
  kwanza kujipa muda wa kutafari kisheria Je Kesi hiyo hiyo
  anayotaka kwenda Kuifungua Katika Mahakama anayokusudia
  Kuifungua, Je Mahakama hiyo Ina mamlaka ya kusikiliza Kesi
  hiyo ya mteja wake?
 
  Pia
  uamuzi wa Jaji Mziray pia umetoa Funzo wasomi wa Sheria wa
  kufahamu madhumuni ya kuanzishwa Masijala Kuu ya Mahakama
  Kuu na kwamba masijala ile ni Maalum kwaajili ya
  kushughulika na Kesi Maalum Kama za Kikatiba na nyingine
  zenye upekee.
 
 
  Licha Ibara ya 13(5)(a) ya Katiba ya Jamhuri ya
  Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, inakupa haki ya kukata
  rufaa Mahakama ya rufaa kupinga uamuzi huo wa Mahakama
  Kuu.
 
  Mimi binafsi siku
  shauri ukate rufaa kwasababu ni wazi  Chadema tena
wakiwemo
  viongozi wa juu wa Chama hicho na baadhi ya wafuasi wake
  hawakutaki na hawakuitaji tangu muda mrefu kwa kile
  wanachokidai Kuwa muda mrefu wamekubaini wewe sisi watoto
wa
  mjini tunakuita wewe ni sawa na   ' Chaja ya Kobe'
  kila simu unaichaji, yaani Simu ya Nokia ,Huwawei na simu
  nyingine zote Betri zake unaichaji yaani umekuwa
ukiisaliti
  Chadema kwa Chama ambacho wanapingana nacho kimtazamo na
  kisera.
 
  Kwanini
  unang'ang'anie Mpenzi asiyekupenda?Chadema
  hawakutaki, wamekuchoka kwa kile wanachodai wewe
  unawavurugia Chama chao, achana nao endelea na ule 
mipango
  yako ambayo unafikiri ni Siri wa kwenda kujiunga rasmi na
  Chama chako ulichokiasi kwa siri cha ACT.
 
  Taarifa zilizopo ulikuwa
  umejipanga   umejipanga kuama Chadema kwa mbwembwe na
Lundo
  la wanachama na taarifa hizo zinaenezwa na baadhi ya
  wanachama wa ACT na watu wako wa karibu na baada ya kuama
  ufanye Kama anavyofanya Nape Nnauye na Abdulahaman Kinana
  kuzunguka nchi nzima kuinanga Chadema.
 
  Kwa hiyo Kama taarifa za Mpango huo  wa kuama
  Chadema ni za kweli  basi huna  budi kuipongeza Mahakama
  Kuu kwa uamuzi wake wa Jana Katika Kesi yako 
  iliyotupwa.
 
  Kwani uamuzi
  huo ni Kama umekurahisishia kukufunganisha  virago
Chadema
  au uende kukata kupinga  Katika Mahakama ya Rufaa, au 
  uende  Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam,
  ukafungue Kesi hiyo iliyotupwa Jana na Mahakama Mahakama
Kuu
  maana Jaji Mziray Kasema Kesi yako Ulipaswa  ukaifungulie
  Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na siyo Katika
  Masijala Kuu ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Kama
  Huyo Wakili wako Albert Msendo alivyokuingiza
  'Chaka' utafikiri sio msomi wa Sheria Akaamua
  Kufungua Kesi yako iliyotupwa Jana Katika Mahakama
iliyokuwa
  haina mamlaka ya kuisikiliza Kesi yako.Kihoja cha aina
  yake.
 
  Uamuzi wa Mahakama
  Kuu wa Kuitupa Kesi ya Zitto na uamuzi wa Chadema wa
  kumfukuza uanachama Zitto binafsi naufananisha  na '
  Kumkata Ng'ombe Mapembe na mwisho wa siku Ng'ombe
  anayekatwa mapembe anabakia kuonekana kama Sungura.
 
  Namuuliza Zitto hivi wale
  waliokuwa 'wanakubust' kwenye Sakata la Escrow Mbona
  wameshindwa kukusaidia 'kufanya maghumashi ' ili 
  Kesi yako hii isitupwe na Mahakama? Na Mbona wale
waliokuwa
  wanakubusti wameshindwa kuizuia Chadema isikuvue
uanachama?
 
 
  Tambua sasa Ndio
  wameishakubwaga sasa wamekaa pembeni wanakutazama unavyo
  zama Baharini kisiasa wanakucheka wala hawakuokoi,wanaenda
  Kutafuta mwanasiasa mwingine ambaye bado haja chafuka
waanze
  kumtumia.Kweli Ndege Mjanja unasa Katika Tundu bovu.Zitto
  alijifanya mjanja sasa Kanasa Kwenye mtego.Kiko wapi?
 
  Maana Tayari baadhi ya wabunge
  na wewe Katika majadala wa Escrow mlipayuka sana bungeni
na
  kuushambulia Mhimili wa Mahakama wazi wazi tena bila
  vielelezo Kuwa Mahakama inanuka na majaji wake ni
  wachafu.
 
  Tufanye basi ni
  kweli Mahakama imeoza na Majaji wake ni wachafu ,iweje
yeye
  na wale waliokuwa 'wakimbust Zitto' Kwenye Escrow
  wameshindwa kumhonga Fedha Jaji Mziray ili atoe uamuzi wa
  kumpendelea Zitto?
 
  Zitto na
  Mbunge wa NCCR- Mageuzi , David Kafulila Ubunge wao
ulikuwa
  umeshikiliwa na Mahakama na Kafulila ameshitakiwa na
  Lugemalila Mahakama Kuu kwa kesi ya madai ya fidia na bado
  Kesi zao zinaendelea ila Kesi hiyo ya Zitto imemalizika
  Jana.
 
  Lakini ndiyo walikuwa
  vinara wakuu paka matope Mhimili wa Mahakama na kuwaundia
  watu mashitaka kuhusu Escrow kuwa ni wezi ,mafisadi
  mashitaka ambayo mwisho wa siku Taasisi ya Kuzuia na
  Kupambana na Rushwa iliwafikisha watu katika Mahakama ya
  Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la kupokea rushwa kutoka
Katika
  akaunti ya  Tegeta  Escrow  kinyume na Kifungu  cha
  15(1) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na.11 ya
  Mwaka 2007.
 
  Zitto,Kafulila
  ,Deo Filikunjombe kupitia vinywa vyao kila kona walikuwa
  waliaminisha umma Kuwa Fedha zile ni za umma na zimeibwa
na
  baadhi ya watu waliowataja  Kwenye ripoti ya PAC ambayo
  Mwenyekiti wa Zitto Kabwe.
 
  Wasomi wa Sheria nikiwemo Mimi niliandika
  makala za kupinga wazi wazi kiwa Katika Escrow Hakuna kosa
  la wizi  kisheria baadhi ya watu wenye akili timamu
  walinielewa ila kwa wale Bendera Fuata upepo Hawakutaka
  kunielewa.
 
  Lakini Desemba
  Mwaka Jana , Rais Jakaya Kikwete Katika mkutano wake na 
  wazee wa Dar es Salaam Katika hotuba yake alisema Fedha za
  Escrow Si mali ya umma na Kama siyo mali ya umma umma
  haiwezi kuwashitaki wa nafariki wa Fedha zile kwa makosa
ya
  wizi Kama tulivyokuwa tumeaminishwa Ujinga na baadhi ya
  wabunge na Kamati ya Zitto na Kafulila Kuwa Fedha za
Escrow
  ni mali ya umma na zimeibwa kwa Magunia.
 
  Watu wenye akili timamu na tunaoona mbali na
  kufahamu mhimili wa Mahakama ni nini na unafanyaje kazi ,
  tulipowaona hao wabunge wa Mahakama wanapoteza muda mwingi
  kupayuka majukwaani badala kuongeza nguvu katika kesi zao
  tuliishia kujisemea moyoni msemo huu:  ' Usimtukane
  Mamba Kabla ujavuka Mto.
 
  Binafsi Nina Imani na Mhimili wa Mahakama hapa
  nchini Kama kuna watendaji wake wanafanya vitendo Vya
utovu
  wa Maadili ,wanafanya vitendo hivyo wao Binafsi na
  hawajatumwa na mahakama hivyo haikuwa vyema  kwa baadhi
ya
  wabunge wetu wakati wa kujadili ripoti ya PAC kuusisha
  Mhimili wote wa Mahakama Kuwa unalea na kukumbatia
mafisadi
  wa Escrow na kwamba majajaji Wawili ni mafisadi  pale
  Mahakama Kuu ilipotoa amri ya Kuzuia suala la Escrow
  lisijadili we bungeni.
 
  Ibara ya 107A(1) ya Katiba ya nchi ambayo
  inasema Mhimili wa Mahakama ndiyo una jukumu la kutoa
  maamuzi ya haki Katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
  Kwa Kuwa Mahakama haifanyi
  Kazi zake kwa mashinikizo , siasa chafu au kutazama sura
au
  Cheo cha Mtu Bali inafanyakazi kwa kufuata Sheria na
Kanuni,
  tusubiri uamuzi wa Mahakama Kuu katika Kesi ya Madai ya
  Kashfa ya Lugemalila dhidi ya Kafulila, Kesi ya
Mwanasheria
  Mkuu wa Serikali mstaafu ambaye Enzi alikuwa Mwanasheria
  Mkuu alishiriki kikamilifu kuandaa Mabadiliko makubwa ya
  Sheria  za nchi hii na Kada wa CCM, Andrew Chenge '
  Mtemi Chenge ambaye anakusudia Kuwasilisha ombi lake la
  Mahakama Kuu la kuomba Mahakama hiyo iseme Je Sekretarieti
  ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ina mamlaka ya kusikiliza
  shauri linalomkabili la kuvunja Maadili ya uongozi wa umma
  au laa.
 
  Kwani Licha ya
  Chenge kuwasilisha amri ya zuio iliyotolewa Mahakama Kuu
  mwaka Jana  inayokataza Taasisi zote za umma zisijadili
  suala la Escrow hadi Kesi za Msingi zilizofunguliwa na
  kampuni ya IPTL  mahakamani hapo zitakapotolewa uamuzi.
 
  Sisi  wasomi wa Sheria
  tunasubiri kwa shahuku kubwa uamuzi huo wa Mahakama
  utakaotolewa Kwenye Kesi hiyo ya Chenge kwasababu 
  utaandika historia mpya ya kisheria (Precedent) Kuwa Je ni
  kweli Bunge au Taasisi zao zote za kiserikali zina mamlaka
  ya kisheria ya kukataa kutekeleza amri hiyo ya Mahakama
  iliyotolewa na Mahakama Kuu Katika Kesi ya IPTL iliyozuia
  Bunge na Taasisi zote za kiserikali zisijadili suala la
  Escrow hadi Kesi za Msingi zilizofunguliwa na Escrow
  zitakapomalizika mahakamani au la.
 
  Pia tunasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya
  Dar es Salaam, Katika Kesi iliyofunguliwa na Kampuni ya
  Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kumfungulia
  mashtaka Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR- Mageuzi), David
  Kafulila.
 
  Kafulila
  amefunguliwa kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya
Dar
  es Salaam na IPTL kwa kushirikiana na Kampuni ya Pan
African
  Power Solutions (T) Limited (mlalamikaji wa pili) na
  Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni hizo, Harbinder Sigh Seth
  (mlalamikaji wa tatu).
 
  Katika kesi hiyo namba 131 ya mwaka 2014,
  walalamikaji kwa pamoja wanaiomba mahakama imwamuru mbunge
  huyo awalipe fidia ya jumla ya Sh.bilioni 310  kwa madai
ya
  kutoa kashfa dhidi yao kwa kuwatuhumu kujipatia Fedha 
  kutoka Akaunti ya Escrow, kwa njia zisizo halali.
 
  Siku Mahakama Kuu itakapotoa
  uamuzi wa Kesi hii , ndipo tunafahamu Alichokuwa akikisema
  Kafulila kuhusu kampuni ya IPTL Kuwa imepita Fedha Kwa
njia
  haramu hadi kusababisha Baraza la mawaziri kubadilishwa
  kwasababu waziri mmoja alitimuliwa Kazi ambaye ni Profesa
  Anna Tibaijuka na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini
  ,Professa Sospeter Muhongo ,Mwanasheri Mkuu wa Serikali
Jaji
  Fredrick Werema na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na
  Madini Eliachim Maswi kusimamishwa kazi kwa kashfa ya
  Escrow.
 
  Muhongo Katika
  hotuba yake ya kujiudhuru alisema anajiudhuru kwasababu ya
  fitna, majungu, Chuki za kisiasa na wafanyabiashara ila
  anaimani aliifanya Kazi yake kuitumikia taifa kwa uzalendo
  wa Hali ya juu ni ukweli au uzushi. Ni suala la muda tu,
  Tuipe Mahakama nafasi ifanyekazi yake.
 
  Niitimishe kwa kukubaliana na Msemo wa msomi wa
  Sheria Tundu Lissu na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe
  Kuwa Hakuna aliye maarufu kuliko Chama chao.
 
  Lissu alikuwa akimaamisha
  Zitto siyo maarufu kuliko Chadema na Msemo huo
umethibitika
  Kuwa ni kweli Zitto siyo maarufu kuliko Chadema Kwani
tangu
  walimpomvua Zitto Cheo cha Naibu Katibu Mkuu, Chama hicho
  hakijafa na Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa
imeongezeka
  idadi ya mitaa na vitongoji Kwa kupata ushindi.
 
  Hivyo Zitto ambaye zaidi ya
  makala zangu Tatu nilishakutaadhalisha Kuwa Umaarufu wako
  umeporomoka kwa kasi ya ajabu na  uamuzi huo wa Mahakama
  Kuu ambao umeitupa Kesi yako Katika Hatua za awali
kwasababu
  ya makosa ya kiifundi wa Sheria ' Technicalities' ,
  taarifa ya Chadema iliyotolewa kwa waandishi wa Habari
  kupitia Mwanasheria wa Chadema kuwa.
 
  Uamuzi wa Jaji Mziray umeipata tiketi Chadema
  ya kutangaza Kumvua  rasmi uanachama kwasababu moja ya
  Ibara ya Katiba ya Chadema, inasema masuala yanayohusu
chama
  ,mwanachama yoyote wa Chadema hataruhusiwa kwenda
Mahakamani
  kushitaki, na endapo mwanachama yoyote atafungua kesi
  mahakamani basi Mwanachama Huyo Atakuwa amejifukuzisha
  uanachama.
 
  Na Kama Ibara ya
  Katiba ya Chadema inasema hivyo basi Zitto Aliyataka
  Mwenyewe kwa kuamua kuvunja Katiba ya Chama Chake na
  kukimbilia
  Mahakamani.
 
  Pole Zitto uliipenda Chadema lakini Chadema na
  Katiba Yao hawakutaki hata kukuona kwasababu ulivunja 
  Katiba ya Chadema. Lissu,Freeman Mbowe, Peter Kibara,
  Dk.Slaa na wana wana Chadema wengine waliapa  kuilinda
  Katiba ya Chadema hivyo Hawakuwa Tayari kuiona Zitto na
MTu
  mwingine akiifunja   Katiba ya Chadema halafu
wasimchukilie
  hatua.
 
  Nakutakia kila
  lakheri  Zitto.Hiyo ndiyo Sheria imetumika kuitupa kesi
  yako na Chadema kukuvua uanachama  kwasababu umevunja
  Katiba  kama leo sheria ni mbovu minasema hata kama
sheria
  ni mbovu ndiyo sheria zilizopo tunataka wa tuziheshimuwa
  .
 
  Na sisi Wenyeji wa Mkoa
  wa Kagera tunasemaga ' Sheria Timzano' , yaani
  sheria siyo mchezo.
 
  Zitto
  umekuwa mahiri sana na mstari wa Mbele kushupalia wenzio
  Wafukuzwe uwaziri, madaraka mbalimbali na kweli kupitia
  Kauli zako na ripoti zako zimeumiza Wengi wakiwemo wakina
  Profesa Muhongo, Profesa Anna Tibaijuka, William Ngeleja
  ,Eliachim Maswi ambaye alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya
Nishati
  ,Mwanasheria Mkuu wa zamani Andrew Chenge na Mwanasheria
  Mkuu aliyejidhuru kwa Sakata la Escrow ambalo ulililishia
  Bango Kuwa kukusanya taarifa ambazo zingine zimetiwa
  mashakama hadi sasa Jaji Fredrick Werema na wengine
  Wengi.
 
  Mbunge wa Mtera,
  Livingstone Lusinde Katika mjadala wa Escrow Bungeni
alisema
  anashangazwa na ripoti ya PAC ambaye Mwenyekiti wake Zitto
  imeshindwa kumtaja Zitto naye alipata mgao wa Escrow na
  vielelezo akavitoa Bungeni na Mbunge wa Sengerema(CCM),
  William Ngeleja naye hivi karibuni amenukuliwa akisema
Zitto
  naye alipokea Fedha za Escrow lakini cha ajabu hajajitaja
  wala kuchukuliwa Hatua Kama wao.
 
  Na baadhi ya walioumizwa na ripoti zako ambazo
  wengine wanadai  baadhi ya ripoti zako zimekuwa na nia
  Mbaya dhidi Yao  wamekuwa wakikulalimikia sana na Kusema
  wakati ukifika na wewe utaadhibiwa na Mungu hapa hapa
  Duniani.
 
  Na kweli kwa tamko
  la Jana la Chadema lilotolewa na Lissu ni wazi kabisa
Mungu
  amejibu Maombi ya watu wale ambao wanadai uliwahumiza kwa
  uzushi na wengine sikufichi nikiwemo Mimi uamuzi wa
Chadema
  wa kukuvua uanachama umenifurahisha sana Kwani kupitia
  makala zangu ikiwemo makala
  Yangu ya Aprili
  12 mwaka 2012 gazeti la Tanzania Daima lilichapisha makala
  yangu iliyokuwa na kichwa cha habari kisemacho 'Zitto
  Kabwe ,Mbona U msahaulifu?
 
  Maudhui ya makala hiyo nilikuwa namuelezea
  Zitto  kumbe na yeye ni jamiii ile ya baadhi ya wanasiasa
  wale wale wenye hulka za kinyang'au ambao wanakasumba ya
  kuzungumza uongo mbele ya umma, ili umma uwapende na
uamini
  kuwa kiongozi huyo ni mtu safi na mtetezi wa wanyonge,ana
  heshimu sheria na Katiba ya vyama vyao kumbe siyo kweli.
  Ieleweke wazi hapo nyuma Zitto alipata bahati ya kupata
  umaarufu  ndani ya jamii kwa kile kilichoelezwa ni
  mwanasiasa kijana ambaye ana misimamo thabiti na
asiyeyumba
  katika kile anachikiami.
 
  Sisi waumini wa sheria tunasema tuhuma zitabaki
  kuwa tuhuma hadi pale zitakapothibitika na mahakama au
vikao
  husika vya chama chake.Lakini kwa kuwa mungu ni mwema
kadri
  siku zinavyozidi kwenda mbele atazidi kutuonyesha kama
kweli
  Zitto ni mwanasiasa msafi ,mhadilifu kuliko wanasiasa
  wenzake wanaotoka katika vyama mbalimbali vya siasa.
 
  Na kweli utabili wangu huo
  umetimia  hivi karibuni Kamati Kuu ya Chadema,
ikatangaza 
  kumvua nyadhifa zote ndani ya chama hicho kwa kile
  kilichodaiwa kuwa wamebaini kuwa Zitto anakisaliti chama
  chao.Hali iliyosababisha baadhi ya wanananchi kuanza
  kumtazama tofauti Zitto.
 
  Itakumbukwa kuwa Zitto alikuwa msatili wa mbele
  kushinikiza baadhi ya watumishi wa serikali na viongozi
  wakiwemo mawaziri na Waziri Mkuu Mizengo Pinda
wawajibishwe
  kwa kile alichokuwa akikidai kuwa wameshindwa kutekeleza
  majukumu yao na wengine wamekuwa wakikabiliwa na tuhuma
  mbalimbali na kweli kuna mawaziri waliondolewa kwenye
baraza
  la mawaziri kwasababu ya tuhuma hizo zilizokuwa
zikiibuliwa
  na Zitto na mwisho wa siku zikaungwa mkono na wananchi.
 
  Waswahili wanamsemo wao usemao
  'linalomkuta Boko na Mamba pia litamkuta kwasababu wote
  wanaishi majini'. Kwa  hiyo yaliyowakuta baadhi ya
  mawaziri kwa kuondolewa kwenye  baraza la mawaziri kwa
  kigezo cha tuhuma tu...ndicho ambacho kimemkuta Zitto 
  mwaka jana kwa Kamati Kuu ya chama chake kumvua nyadhifa
  zake zote kwa tuhuma kuwa ni msaliti, na Jana Chama Chake
  kumtimua rasmi uanachama.
 
  Katika makala yangu iliyochapishwa Katika
  Gazeti la Tanzania Daima Jumapili, Desemba 15 Mwaka 2013)
  ilikuwa na kichwa ha Habari kisemacho ( ZITTO KABWE
  UNAJIANDALIA ANGUKO) . Katika makala hiyo nilimuomba sana
  Zitto aache tabia ya Kuzusha mambo yanayolitikisa taifa
  wakati akaitwa na mamlaka husika anashindwa kutoa
  ushahidi.
 
  Niliandika makala
  hiyo baada ya Zitto kushupalia Kuwa Una ushahidi wa Majina
  ya baadhi ya viongozi walioficha mabilioni ya Fedha Kwenye
  Akaunti nchini Uswiss Lakini aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa
  Serikali ,Jaji Fredrick Werema alimuita ofisini kwake ale
  kiapo na Kisha atoe hivyo vielelezo alivyonavyo ili
serikali
  Iweze kuchukua Hatua, Zitto alikuwa akimkwepa Jaji Werema
na
  alishindwa kutoa vielelezo hivyo na kuhesabika ni mtu
Mzushi
  na anayejitafutia Umaarufu wa kisiasa kwa kuchafua wenzie
  kwa tuhuma za uzushi.
 
  Gazeti la Tanzania Daima Jumapili toleo la
  Novemba 28 mwaka 2011, ilikuwa na kichwa cha habari
  kisemacho ;ZITTO AWALIPUA MAWAZIRI :ASEMA HAWAFANYIKAZI
  ,WANAWAUWAZA URAIS.
 
  Lakini
  Gazeti la Mwananchi Jumapili la Machi 25 mwaka 2012,
  lilichapisha habari iliyokuwa na kichwa habari kisemacho 
  ZITTO: NITAGOMBEA URAIS 2015.
 
  Leo  kikowapi? Chadema imekupiga Ngumi za uso
  kwa kukufukuza rasmi uanachama na umeshindwa kuzikwepa.
 
  Mbona wale waliokuwa
  wakikutumia ovyo ovyo HIvi sasa wamekutelekeza Jangwani
  Unatakiwa na Jua hawakupi hata Maji ya Kunywa ili usife na
  kiu?
 
  Maana ulikuwa Hodari
  sana wakushawishi na Kuzusha na kutaka wanasiasa wenzio na
  watendaji wa serikali wachukuliwe Hatua ikiwemo kufukuzwa
  Kazi.
 
  Nimalizie kwa
  kumwambia Zitto hivi, 'Muosha ,uwoshwa' tena wakati
  wa kuoshwa ulipuliwa'. Sasa na wewe sasa umeoshwa maana
  ulizoea kuosha wenzio.
 
  Sasa
  na wewe Zitto ulikuwa mahiri sana wa kuosha wenzio yaani
  kuwafukuzisha kazi watu sasa na wewe jana Chadema kupitia
  wanaume wasomi wa sheria yaani Lissu, Peter Kibatara na
  Mallia wamekuingiza jando la wanaume la ukubwani siyo
jando
  lile la watoto wadogo wa Kiume.Hongereni Mawakili
waliokuwa
  wakiiwakilisha Chadema mahakamani Katika Kesi hii.
 
  Na hiyo ni rasharasha, Mvua
  kubwa Kama ile iliyonyesha kule Nzega ikasababisha taifa
  kutikisika  inakujia Katika medani ya siasa maana
sikufichi
  Zitto kaa utambue kuwa una maadui wengi na umeumiza baadhi
  ya watu  bila hatia .
 
  Na
  ukumbuke wale uliowaumiza nao wana Mungu na walikuwa
  wakikishe wakisali kumuomba Mungu alipe kisasi kwa watesi
  wao.
 
  Nafikiri ulisahau kuwa
  wale watu uliosababisha wakapoteza ajira zao kwa mdogo na
  makelele yako na uzushi wako kuwa nao wana Mungu  na
Mungu
  wao siyo kilema anayetembelea baiskeli ya walemavu yenye
  miguu mitatu na ni kipofu.
 
  Kwa taarifa yako Mungu wao ni Mungu mwenye Siha
  nyema siyo kilema wala kipofu anaona na kusikia na
anatembea
  kwa kutumia miguu yake na ni kijana pia anafanyakazi
zake 
  kisayansi na anatembea na IPAD iliyounganishwa Internate
  anajibu maombi haraka ,amesikia kilio chao na sasa Mungu
  ameanza kuwalibia kisasi kwako kupitia Mahakama na Chadema
  ambapo kesi yako imetupwa na uanachama wa Chadema
umevuliwa
  kwahiyo hivi sasa siyo Mbunge mwanachama wa Chadema,na
  umaarufu wako uliokuwa mao kipindi kile ulitokana na wewe
  kwanza kuwa mwanachama wa Chadema na kisha majukumu
mengine
  ambayo uliwahi kuyafanya.
 
  Na kwa uamuzi wa Chadema wa jana dhidi yako ni
  wazi hata yale mawazo yako uliyoyatoa bungeni wakati
  ulipomaliza kuwasilisha ripoti ya PAC kuhusu Escrow
  ulivyosema eti umeimiss UKAWA, ifute mara moja kwani kwa
  uamuzi wa Chadema wa kukuvua uanachama ,hawakutaki
  usiwafuate fuate na UKAWA yako weendelea na ACT yako
ambayo
  siyo Mwanachama wa UKAWA.
 
  Mwisho Niitimishe kwa kumtaka  Zitto arejee
  Msemo arejee Msemo usemao(Yaliyomkuta Mamba na Boko pia
  yatamkuta kwasababu wote wanaishi Kwenye Maji.
 
  Kwa maana kwamba yaliyowakuta
  wanasiasa wenzake na viongozi wa serikali kwa kuvuliwa
  madaraka makelele yake na yeye Jana yamemkuta kwa Kesi
yake
  kutupwa na kufukuzwa uanachama kwasababu na yeye pia yupo
  Kwenye siasa na anaishi Duniani,usikasirike ,furahia Kwani
  ni wakati wa Mungu sasa kukulipa kutokana na mambo
uliyokuwa
  unawafanyia wenzio wakaumia kwa namna yoyote ile.
 
  Nakushauri nenda kafanye Kazi
  za taaluma uliyosomea achana na siasa maana hadhi yako na
  Umaarufu uliokuwa nao wakati upo Chadema haurudi tena.
 
  Zitto siasa uliifanyia papara
  na daima mwenye pupa hadiriki kula tamu kwasababu kwa umri
  wako ikasababisha ukawachua wengine wanalazimisha
kuaribiwa
  mustakabali wa Maisha Yao kutokana na siasa zako za
  kuwalipualipua watu,siasa zilizojaa utashi
  binafsi,ubabe,Umaarufu wa haraka haraka Pasipo kuzingatia
  Kuwa siasa ni Uwanja uliojaa kila aina ya Mabadiliko
yasiyo
  tabirika Kama Mabadiliko ya Hali ya hewa.
 
  Sasa wewe hakutaka kukuubali
  ukweli Kuwa siasa zile ulizokuwa unafanyia  wenzio Je
  ulitarajia na wewe yangekukuta kama yaliyowakuta wahanga
wa
  siasa zako Kama Waziri Mkuu Mizengo Pinda ambaye Kutwa
  ulikuwa unashinikiza Atukuzwe Kazi Kwani ameshindwa Kazi
na
  unakusanya saini ya kumng'oa bila mafanikio,  Lowassa,
  Ngeleja, Muhongo, Tibaijuka na wengine.
 
  Vilio ,masikitiko na maombolezo Yao binafsi na
  vya watu wao wa karibu dhidi yako hukunisikia Je Leo nani
  atakufariji kwa yaliyokukuta ?
 
  Ama kweli Leo yametimia Muosha Uwoshwa tena
  wakati wa kuoshwa ulipuliwa.
  Yaani yule
  Muosha maiti kule Mochwari ipo siku nayeye ufariki Dunia
na
  maiti yake inaoshwa wana watu wengine.
 
  kuwapungumza wenzio kwa  Mabaya huku ukiwa
  umeleta Katika Kiti cha Enzi ambayo wewe ulifikiri Enzi
hiyo
  haina mipaka wala mwisho kuwajenga hisia za Utawala wako
  Kwenye hisia zako
  Ukajenga   nchi ya
  kusadika yaani wewe ndiyo mtawala, na wala Ukawa siyo
  msikivu ,hisia zako ndizo zikawa zinakutawala na kufanya
  maamuzi ya Moja kwa  Moja ya kuwathiri  wale wote kwa
  Bahati Mbaya Katika fani zao za Maisha wakawa ni wenye
  kukutana na wewe Mithili  ya kimbunga sasa na wewe Leo
  Imefika siku yako.
 
  Pengine
  hili litakuwa nifundisho kwa wanasiasa vijana wenye hamu
ya
  kupata Umaarufu na utashi binafsi katika medani ya kisiasa
  chini ya kisingizio cha uzalendo wa nchi hii Kumbe ni
  wanafki na wao ni wachafu wanatuhumiwa kwa ufisadi.
 
  Hukuwafaa Chadema, Chadema
  ndiyo Chama Kikuu cha upinzani,Kama Zitto angelikuwa ni
  Msafi na kwa hayo aliyokuwa anawaaminisha Watanzania Kuwa
  yeye ni Mtetezi wa wanyonge  na Mpenda haki kikweli kweli
  basi Chadema wangemkumbatia na wasinge mfukuza uanachama.
 
  Zitto akufaa  Chadema ,ACT
  mnatarajia atawafaa kwa  lipi ? Watanzania Tujiulize
sasa 
  Zitto alikuwa mbunge, Mwenyekiti wa kamati ya PAC, Naibu
  Katibu Mkuu Chadema   Kwani sasa vyeo vyote
vimponyoke Mara
  Moja wakati alikuwa akijitapa yeye ni Mpinga ufisadi na
  anayeshimu Katiba ya Chadema?
 
  Mfano mzuri leo hii nani atasikiliza nyimbo
  zako na midundo yako ni sawa na miziki ya ilipendwa ambapo
  miziki ya zilipendwa mtu usikilizwa wakati anataka
  kujikumbuka enzi za muziki ule ulivyotamba lakini siyo 
  kama muziki mpya.
 
  Historia  itakukumbuka kwa mazuri na mabaya
  yako utambukwa nayo, itakuwa ni vizuri zaidi ukapumzika
  siasa wewe ni kijana msomi unafani yako ya uchumi ni
ushauri
  wa bure rudi nyumbani kwenu kazungumze na wazee wakupe
  ushauri na wakuombee dua uende ukaanze Maisha katika Kazi
  mpya isiyo ya kisiasa kwani siasa imeishakupa mkono wa
  buriani. Buriani Zitto siasa kwa kheri.
 
  Aidha Bendi ya Wananjenje ina wimbo wao maarufu
  wa mduara unamaneno yafuatayo ( Boko wala wa wenziooo
,Tiii
  ....Boko nawe utaliwa weee) Sasa Zitto ulizoea kula vya
  wenzio yaani kufukuzisha wenzio kazi na kuwapatia kadhia
  kwenye majukumu yao sasa na wewe jana umeliwa yaani
  namaanisha (Chadema) imekufuta uanachama na Mahakama Kuu
  imetupa kesi yako.Naomba  kutoa hoja.
 
  Mungu ibariki Tanzania
  Chanzo:
  Facebook: Happy Katabazi
  Blogg:
  www.katabazihappy.blogspot.com
  Machi 11
  Mwaka 2015
  0716 774494.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
  Sent from my iPad
 
  --
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:
  Everyone posting to
  this Forum bears the sole responsibility for any legal
  consequences of his or her postings, and hence statements
  and facts must be presented responsibly. Your continued
  membership signifies that you agree to this disclaimer and
  pledge to abide by our Rules and Guidelines.
  ---
  You received this message
  because you are subscribed to the Google Groups
  "Wanabidii" group.
  To unsubscribe
  from this group and stop receiving emails from it, send an
  email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
  For more options, visit
  https://groups.google.com/d/optout.
 
     
 
 
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
  Disclaimer:
 
  Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences of his or her postings, and
hence
  statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree to this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
 
  ---
 
  You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups "Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this group and stop receiving emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 
 
   
 
 
  --
 
  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 
  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
  kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
  Disclaimer:
 
  Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
  for any legal consequences of his or her postings, and
hence
  statements and facts must be presented responsibly. Your
  continued membership signifies that you agree to this
  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
  Guidelines.
 
  ---
 
  You received this message because you are subscribed to
the
  Google Groups "Wanabidii" group.
 
  To unsubscribe from this group and stop receiving emails
  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment