Monday, 2 March 2015

Re: [wanabidii] SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI HIVI?

swali zuri sana.
ukristo sio mwepesi kiasi hicho, ila tofauti ya ukristo na dini zingine, ukristo unajikita sana katika kugawana majukumu ya kuabudu na kutenda kazi ya Mungu.

ukienda makanisa yote kuanzia roma mpaka pentekost... utakuta kuna idara mbali mbali ambazo zinapeana nafasi ya kuhudumu na hitimisho au kilele huwa ni jumapili. kwa hiyo kuanzia jumatatu mpaka jumapili utakuta kuna shughuri zinaendelea hapo kanisani.
mfano: j.tatu maombi ya mitaa(jumuiya), jumanne idara ya vijana, jumatano maombi ya wanawake, alhamisi mazoezi ya kwaya. ijumaa kutembeleana, jumamosi mazoezi ya kwaya na maandalizi ya jumapili.

kikubwa cha tofauti pia wakristo tunaamini katika kuombeana. na maombi binafsi ya kuomba na kufunga ndo usiseme yapo kila kona.
 
Rwambogo E.J.
PO. BOX 66
NANSIO-UKEREWE
rwambogoedson@yahoo.com
mbogomunyama@rocketmail.com

On Thursday, February 26, 2015 7:48 AM, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Nadhani Wakristo hawana mahakama za kuamua juu ya watendao makosa ya kuvunja amri za Mungu, hukumu ya kutotii amri kumi za Mungu nahisi hawa watu wamemuachia Mungu mwenyewe; kwa maana imeandikwa usihukumu usije ukahukumiwa kwa kipimo kile ukitumiacho kuwahukumu wengine.

Hapo kale Wayahudi walikuwa wanawahukumu wanaozini kwa kuwapiga mawe hadharani, lakini baada yaYesu amri ya kupiga mawe wazinzi imejifuta yenyewe kwa kuogopa jicho la Mungu maana wengine walikuwa wakiwapiga mawewenzao wakati na wao waliyafanya hayo sirini. Tisho lilikuja baada ya Yesu kumuokoa mwanamke aliyetaka kuuawa kwa mawe kwa kuwaambia tu anayejiona hajawahi kutenda dhambi hii awe wa kwanza kutupa jiwe.

From: fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, February 26, 2015 6:27 PM
Subject: Re: [wanabidii] SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI HIVI?

Fred

Waislam wanawatambua mitume wote waliotangulia kabla ya Mohammad pamoja na vitabu vyao. Kwa maana hiyo basi hata hayo makatazo unayoyasema yanafundishwa na kufuatwa tena basi kuna na adhabu kwa wale watakaoyafanya. Nataka nitoe ufafanuzi kidogo tu kwa hiyo nitaomba mnistahmilie. Amri inasema usiibe je kwa Wakristo mtu akiiba adhabu yake ni nini? Kwenye Uislamu ipo na hukmu yake

Asanteni

Fatma

Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: "'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 26 Feb 2015 14:57:38 +0000 (UTC)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com

Subject: Re: [wanabidii] SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI HIVI?

Kila imani ina utaratibu wake ambao ndiyo msingi wa imani hiyo:

1. Ukristo
Wakristo ni wafuasi wa Yesu wa Nazareti amabaye kuzaliwa kwake ndiyo mwanzo wa hesabu ya sasa ya miaka, lakini imani yao imesimama katika amri kumi za Mungu alizomwamru Musa kuwafundisha Wayahudi kuzifuata nazo ni:

i). Kuamini kuwa Mungu ni mmoja tu anayestahili kuabudiwa nao
ii). kuikumbuka siku ya Bwana na kuitaksa ( wanasali jumapili)
iii). Kutolitaja bure jina la Mungu wako (matoleo)
iv). Kuwaheshimu baba na mama yako
v).Kutoiba
vi). Kutozini
vii). Kutoua
vii). Kutoshuhudia uwongo
ix). Kutotamani mke wa jirani yako wala mtumishi wake...............
x). Kumpenda jirani yako kama nafsi yako

2. Uislamu
Waislamu ni wafuasi wa Mohammad aliyezaliwa Makka 570 baada ya Yesu, imani yao imesimama katika mafundisho ya Mohammad kuwa kuna nguzo tano za kuwa Muislamu halisi nazo ni:

i). kukiri kuwa Mungu ni mmoja na mtume wake ni Mohammadi
ii). Kusali mara tano kutwa
iii). kufunga ramadhani
iv). kutoa zaka
v). kwenda hija

Ukiweza haya matano umekuwa muislamu safi kabisa, hakuna makatazo yasiyokuwa na maana ya kuzuia watu kutamani vya jirani zao, kuzini, kuiba, kuua n.k.

Angalizo:

Sijakusudia kumuumiza yeyote katika andiko langu, naomba radhi ikiwa andiko hili litamuudhi yeyote. Sasa pimeni wenyewe kwa imani zenu

From: 'weston mbuba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, February 25, 2015 10:03 PM
Subject: Re: [wanabidii] SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI HIVI?

Juma,
nitakupa ufafanuzi baadaye! Observation yako yaweza kuwa kweli ila inahitaji umakini kufikia hitimisho. Baadaye basi chalii wangu

On Tuesday, February 24, 2015 6:50 PM, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ndugu Juma, ukristo ni mgumu kuliko dini yeyote ile.....hebu chungulia haya mambo machache tu....ukristo unasema.....ukimwangalia mwanamke kwa kumtamani tu....umekwisha zini naye...ni dhambi .. ukitaka kutoa sadaka yenye dhawabu basi ni lazima iwe siri hata mkono wako wa kushoto usijue ulichokifanya. ..katika ukristo hakuna mizani ya mema na mabaya....bali ukikosea moja umekosea yote.. ...haturuhusiwi visasi sis....bali aliyekutendea mabaya bas we mtendee mema.....raha ya ukristo ni. msamaha....ukikosea unafuta....dhambi zetu zinaandikwa kwa pensil.. Ngupula.

mngonge franco <mngonge@gmail.com> wrote:

Juma
Binafsi ninaamini zaidi utekelezaji wa tunachokiamini kuliko kwenda mara nyingi kwenye nyumba za ibada. Wakristu wanayo amri kuu ambayo ni upendo, ukiwa na upendo huwezi kumfanyia mwenziyo baya. Kusali/kuswali mara nyingi sawa, kufunga funga sawa lakini swali la msingi ni je unawatendea mambo mema binadamu wenziyo? Kesha unaswali/unasali, funga ramadhani/kwaresima milele yote kama kufunga au kuswali kwako hakuendani na matendo mema ni bure.

2015-02-24 17:28 GMT+03:00 Juma Kongoro <jumakongoro@gmail.com>:
SIO KASHFA NI SWALI TU. MBONA UKIRISTO MWEPESI HIVI?
Mimi ninavyojua ili upate kitu lazima ujitume sana tu.
Kwa mfano ili ufaulu mtihani wa shule lazima usome sana, uhudhurie vipindi na usitegee vyenginevyo utafeli. Vyuo vikuu watu wanakessha madarasani, wanakesha matheater au vyumbani kutafuta first class au pass
Ili upate mazao. lazima ulime kwa bidii.watu wanahamia mashambani, wengine wanaliwa na simba ili kupata mazao mengi na bora
Ili upate uongozi kama ubunge lazima upige kampeni kwa sana tena bila ya kulala.ujitume sana.
Kwa upande wa dini waislam wao wanaswali mara 5 kwa siku bila ya kukosa, hata ukiwa mgonjwa lazima usali, wanafunga, wanatoa zaka na kila wakati unatakiwa usome quran. yaani ujitume kwa sana ili uingie peponi.kwa mwanamke lazima uvae hijab wakati wa baridi au Joto hio ni lazima,yaani muislam dunia imekuwa kwake kama jela. hii yote ni kufaulu maisha ya dunia ili kuipata pepo
Lkn kwa upande wa pili wa dini naona wao wanasali j2 hadi j2 tena atakae.
Sioni kwenda makanisani kila wakati wala majumbani siwaoni kusoma biblia, yaani sioni jitihada hasa kutafuta PEPO. kidogo wanaona walokole. Jee kweli biblia ndio inavyosema hivi kama pepo ni rahisi rahisi?
JEE NI KWELI PEPO RAHISI RAHISI HIVI?
hili sio kashfa ni swali tu
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment