Salha,
Najua nitakufa siku moja lakini kuandika wosia ni jambo lingine, natamani sana kuandika wosia ila sina cha kuwaachia watakaobaki nyuma yangu. Kwa hali niliyonayo inatosha tu kuwausia mambo mema wanaonitegemea kwa mdomo. Kuandika ni kama kuharibu karatasi
From: 'Salha Bakari' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, March 2, 2015 5:31 PM
Subject: [wanabidii] Re: UHALISIA WA KIFO CHA MHE: CT JOHNDAMIANO MTOKAMBALI KOMBA.
Kaka Fred
Mambo yote ya mheshimiwa marehemu CT Komba ambayo umeainisha, umesema vema sana, ila, wewe umesahau kitu kimoja, au umekosea kitu kimoja.Huenda wakati jana unaandika, ulijua atazikwa Dar( Kwa kuwa walishajenga nyumba za/ya mpito huku. Pia najua ulibase kuwa Mbunge sio issue, wabunge wote nchi hii, wanaishi kwenye majimbo ya wabunge wa Dar). Hivyo, kakaangu, ukajua atazikwa hapa Dar, kimujini mujini, ili tuendelee kupata habari za mujini.
Kumbe, sivyooo!!Kenda zikwa msituni, kuleee Kwao unyasani.Huko kakaangu, ni msituni kwa kiukweli.Kwa maana hiyo, , ametimiza maono yake, kuwa yawezekana kasoma alama za nyakati, kufuatia uchaguzi wa serikali za mitaa, kaona katiba pendekezwa haitapita. , na au, serikali mbili hazitakubalika.Sasa kwa mtaji huu, ukiwa kama mpiga debe mkuu, wa vita vya nduli Idd Amini, kisha, toka chama kimoja, hadi chama tawala, lazima presha itapanda, presha itashuka!
Kwa aliyesema hakutunga wimbo wa siku ya msiba wake, bado tuupongeze ubunifu wa wasanii waliufanya leo, akiwemo Nape Nnauye,kwa kuedit nyimbo zilezile alizoziimba marehemu CT Komba wakati wa maombolezo ya kitaifa yaliyopita.
Naamini hata wewe huamini kama utakufa.Kama unaamini, tafadhali kama hujaandika wosia, andika leo.Ni muhimu, ni vizuri.
Na kama alivyosema Kikwete kwa familia ya marehemu CT Komba, tuwe tunapopanga kuonana tena , tuseme , tukijaaliwa!!
Nami namalizia kwa kusema, inshallah, tukijaaliwa, tutaonana tena kwenye mtandao.
SB
--------------------------------------------
On Sun, 3/1/15, 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] KIFO CHA MHE: JOHN KOMBA.
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, March 1, 2015, 6:12 PM
Nitamkumbuka Ct John Komba kama askari shupavu
aliyekuwa tayari kumkabili yeyote kwa mdomo wake ili
kuitetea nchi yake na chama chake cha CCM.Nakumbuka wakati
wa vita dhidiya Iddi Amini alitumia ulimi wake kumbeza na
kumkejeri dikteta huyo wa Uganda huku akiwapa moyo makamanda
waliokuwa mstari wa mbele kumfukuza nduli nje ya mipaka yetu
na hatimaye nje ya Uganda.
Nitamkumbuka John Komba kwa nyimbo za huzuni
alizoziandaa wakati wa kifo cha Mwalimu kipenzi cha
Watanzania hayati Julius Kambarage Burito Nyerere. Sauti
yake ya huzuni iliwaliza mamia kama si maelfu marabaada ya
rais wa wakati huo Bebjamin Mkapa kutangaza kifo hicho.
Wengi hatuamini hadi leo kama John alitunga nyimbo zote na
kuzirekodi ndani ya dakika kumi tu baada ya tangazo la kifo
cha Nyerere. Pamoja na mashaka yetu hayo ukweli unabaki kuwa
John alimlilia mwalimu kwa nyimbo nzurina
kusikitisha.
Nitamkumbuka John kwa nyimbo zake za kuvutia ili
kuvuta hisia za wapiga kura wamchague mgombea wa chama
chake. Bahati mbaya zaidi amefariki wakati chama chake
kimepoteza mvuto miongoni mwa wapiga kura hasa vijana,
amekufa wakati akihitajika sana kuokoa jahazi la chama
lisizame kwenye uchaguzi ujao. Safari hii jogoo litawika
Dodoma bila kuwapo John
John Komba amefariki kabla ya kuiona kura ya maoni
ya kupitisha au kuikataa katiba mpya aliyoiapia kuwa
isipopita alikuwa tayari kwenda msituni. Ni bahati mbaya
ameondoka hatakuwapo itakapopitishwa au kukataliwa,
hatawaona wanaoipinga wakipita mitaani kunadi mapungufu ili
ikataliwe.Hatapata nafasi ya kutunga nyimbo za kuwakejeri
ukawa na Jaji Joseph Warioba.
Sina uhakika kama John aliwaaachia hata wimbo
mmoja kundi lake TOT wa kumwimbia wakati wa msiba wake. Ni
masikitiko John amelala milele, taa imezimika na mwangaza
umepotea. Ameiacha CCM ikiwa kwenye makundi makubwa kuliko
wakati mwingine wowote tangu kuanza kwa vyama vingi nchini
Tanzania. Ameiacha TOT ikiwa haivumi kama zamani
From: 'frank
patrick materu' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
To:
"wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday,
March 1, 2015 2:59 PM
Subject: Re:
[wanabidii] KIFO CHA MHE: JOHN KOMBA.
Bishop, ni
kweli, ila sio wasanii tu ambao hawakumbuki kuyaandaa maisha
yao ya umilele, bali ni karibu watu wote. Maandalizi
yanaanza leo. Yesu alisema katika sala ya Baba
yetu..."...Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe hapa
duniani [leo hii 1/3/2015] kama mbinguni" [leo hii
1/3/2015]. (Mathayo Mtakatifu 6:9-10). Ni wangapi wanaishi
katika Ufalme wa Mungu na kutimiza mapenzi ya Mungu hapa
duniani leo jumapili kama vile angeishi katika Ufalme wa
Mungu na kutimiza mapenzi ya Mungu mbinguni leo jumapili?
From: 'ngupula'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To:
wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, March 1,
2015 2:11 PM
Subject: Re:
[wanabidii] KIFO CHA MHE: JOHN KOMBA.
Ni kweli Bishop....ni pigo kubwa kwa lowassa na
ccm kwa ujumla. Hata hivyo coz kaz ya Mungu hainaga
makosa...ccm tutajipanga.....hata hivyo ni muhimu sana
kuandaa maisha ya baadae...
'Bishop Kulwajz' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>Kufariki kwa
msanii mahiri John Komba ni pigo kubwa kwa ccm,wana Mbinga
na timu ya
>mtarajiwa mhe Lowassa kwani
alikuwa tegemeo la kufanikisha kukusanya watu kwenye kampeni
za chama cha ccm,muhimu kujua wasanii wanakumbuka kuyaandaa
maisha yao ya umilele?au wanabweteka na umaarufu wa
duniani.TAFAKARI.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email
kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the
sole responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are
subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
group.
>To unsubscribe from this group
and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment