Nitamkumbuka Ct John Komba kama askari shupavu aliyekuwa tayari kumkabili yeyote kwa mdomo wake ili kuitetea nchi yake na chama chake cha CCM.Nakumbuka wakati wa vita dhidiya Iddi Amini alitumia ulimi wake kumbeza na kumkejeri dikteta huyo wa Uganda huku akiwapa moyo makamanda waliokuwa mstari wa mbele kumfukuza nduli nje ya mipaka yetu na hatimaye nje ya Uganda.
Nitamkumbuka John Komba kwa nyimbo za huzuni alizoziandaa wakati wa kifo cha Mwalimu kipenzi cha Watanzania hayati Julius Kambarage Burito Nyerere. Sauti yake ya huzuni iliwaliza mamia kama si maelfu marabaada ya rais wa wakati huo Bebjamin Mkapa kutangaza kifo hicho. Wengi hatuamini hadi leo kama John alitunga nyimbo zote na kuzirekodi ndani ya dakika kumi tu baada ya tangazo la kifo cha Nyerere. Pamoja na mashaka yetu hayo ukweli unabaki kuwa John alimlilia mwalimu kwa nyimbo nzurina kusikitisha.
Nitamkumbuka John kwa nyimbo zake za kuvutia ili kuvuta hisia za wapiga kura wamchague mgombea wa chama chake. Bahati mbaya zaidi amefariki wakati chama chake kimepoteza mvuto miongoni mwa wapiga kura hasa vijana, amekufa wakati akihitajika sana kuokoa jahazi la chama lisizame kwenye uchaguzi ujao. Safari hii jogoo litawika Dodoma bila kuwapo John
John Komba amefariki kabla ya kuiona kura ya maoni ya kupitisha au kuikataa katiba mpya aliyoiapia kuwa isipopita alikuwa tayari kwenda msituni. Ni bahati mbaya ameondoka hatakuwapo itakapopitishwa au kukataliwa, hatawaona wanaoipinga wakipita mitaani kunadi mapungufu ili ikataliwe.Hatapata nafasi ya kutunga nyimbo za kuwakejeri ukawa na Jaji Joseph Warioba.
Sina uhakika kama John aliwaaachia hata wimbo mmoja kundi lake TOT wa kumwimbia wakati wa msiba wake. Ni masikitiko John amelala milele, taa imezimika na mwangaza umepotea. Ameiacha CCM ikiwa kwenye makundi makubwa kuliko wakati mwingine wowote tangu kuanza kwa vyama vingi nchini Tanzania. Ameiacha TOT ikiwa haivumi kama zamani
From: 'frank patrick materu' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, March 1, 2015 2:59 PM
Subject: Re: [wanabidii] KIFO CHA MHE: JOHN KOMBA.
Bishop, ni kweli, ila sio wasanii tu ambao hawakumbuki kuyaandaa maisha yao ya umilele, bali ni karibu watu wote. Maandalizi yanaanza leo. Yesu alisema katika sala ya Baba yetu..."...Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe hapa duniani [leo hii 1/3/2015] kama mbinguni" [leo hii 1/3/2015]. (Mathayo Mtakatifu 6:9-10). Ni wangapi wanaishi katika Ufalme wa Mungu na kutimiza mapenzi ya Mungu hapa duniani leo jumapili kama vile angeishi katika Ufalme wa Mungu na kutimiza mapenzi ya Mungu mbinguni leo jumapili?
From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, March 1, 2015 2:11 PM
Subject: Re: [wanabidii] KIFO CHA MHE: JOHN KOMBA.
Ni kweli Bishop....ni pigo kubwa kwa lowassa na ccm kwa ujumla. Hata hivyo coz kaz ya Mungu hainaga makosa...ccm tutajipanga.....hata hivyo ni muhimu sana kuandaa maisha ya baadae...
'Bishop Kulwajz' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Kufariki kwa msanii mahiri John Komba ni pigo kubwa kwa ccm,wana Mbinga na timu ya
>mtarajiwa mhe Lowassa kwani alikuwa tegemeo la kufanikisha kukusanya watu kwenye kampeni za chama cha ccm,muhimu kujua wasanii wanakumbuka kuyaandaa maisha yao ya umilele?au wanabweteka na umaarufu wa duniani.TAFAKARI.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment