Tuesday, 1 October 2013

Re: [wanabidii] new- kwa msuguriz

Wanajanvi haya sasa!!
Viwanja vinapatikana Kinyerezi kwa kanga bei poa kabisaa 20 x 20 kwa shs 9m na 50 x 60 kwa 50m kipo kwa juu upepo wa kutosha unaweza kuona sehemu mbali mbali za jiji kwa urahisi, hakuna dalali piga +255762954921
Wahi kabla havijaisha. Kizuri matie na mwenzio. Kwa heri kwa leo
 
M. Bagile
P O Box 1280 Dar es Salaam
Mobile: +255 718 31 41 58
+255 762 95 49 21

From: lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, September 29, 2013 7:35 PM
Subject: [wanabidii] new- kwa msuguriz

ndg wapendwa leo nina v2 vipyaaa as follows: kimara kwa msuguri eneo la bwaloni kuna nyumba kali sna modern house for sale....bei m 300 had 250 mwisho na title deed unapewa kabla ya mwezi kuisha as for now ipo ktk hatua za mwisho....ina 4 rooms moja ni self ikiwa na office hum humo....ina dinning , kichen na sebule kuuuubwa, parking nzuri na kwa njee ina frame 4 za maduka ila pembeni kdg zoote inclusive ndio bei hy......nna video yake kwa takae taka anitafute na ajiunge na mtandao wa whatsApp nimrushie ajionee mwenyewe nadhani akishaona atakimbia bank achomoe pesa akalipe...nyumba ni kali sana kwa bei hy...no yangu 0652 314181 text me thru whatsApp or call/text 24 hours ntakujibu
hii ndio mpya kwa leo
zingine ni: yard ya eka moja for rent sinza pale mapambano, houses for sale in various parts of the city for cheap, ipo moja tabata segera nyumba za m 35, million 80, 250 hadi 200
Plots na mashamba vipo kibao....kuna masshamba ya tsha laki 5 tu kule kijiji cha boko mbele ya tumbu hosp.....gari aina ya toyota corrola ltd japa ths m 5 nk
piga tuzungumze kibiashara, agiza pia utafutie for cheap, kua serious usije kama unajaribu bse vipo jiandae the uje ukiwa umejipanga huwez kujutia muda wako
kwetu wateja ni lulu...karibuni sana na mbarikiwe wapendwa
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


0 comments:

Post a Comment