Thursday, 31 October 2013

Re: [wanabidii] Samsoni mwigamba

Inashangaza sana

Jamani hekima ni muhimu sana katika uongozi.

Nadhani hii itasumbua sana chadema ytu, tafadhar zingayieni hayo viongozi wetu wakuu.

Tazama ilivyokuwa kwa shibuda alipuuzwa na viongozi dhidi ya mambo yake ndani ya chma ilikuwa busara leo yuko wapi!

Huyo zitto kama msaliti hekima itumike tu.

Nadhani cdm tumieni vikao katika katiba sio kukimbilia kupondana nje ya chama wapo viongozi wamapemda kufanya mambo kuonekana wao ndio chama hili ni tatizo

Nadhani viongozi wote mnajukumu kulinda kutetea chama hicho chama sio chenu ni chetu kama mmeshindwa mjiuzuru haijalishi nanibchanzo bali hata kushindwa kudhibitu ni tatizo

Mjiuzuru wenye nia ya kuheshimu katiba vikao na wazalendo waje washike msijione nyie ndio mnaweza

Jacob Ruvilo.
0717265298

On Oct 29, 2013 11:04 AM, "Magora Hassan" <magorah15@gmail.com> wrote:

Migogoro haijengi chama.historia inaonyesha ivo.kwenye migogoro hakuna maendeleo na ni njia nzuri kwa maadui kujipenyeza na kumwaga sumu itakayo wamaliza kabisa.Wapi NCCR,Ilifikia kuwango cha kuchukuwa dola ila kwa sababu ya migogoro leo inapumulia mashine.CUF pia imefuata njia ya migogoro leo imepoteza mvuto na kuwa chama  cha tatu baada ya chadema.kama kweli CDM imechaguwa migogoro kama njia ya kuimarisha chama ni wazi kuwa kifo chake kimewadia na kitabaki kuwa chama cha ruzuku na sio kuchukuwa dola.Ndg Zephania ndhani kauli yako haikuzingatia madhara ya Migogoro ndani ya chama.

Rgrds
Magora

On Oct 28, 2013 9:12 PM, "Zephaniah Mugittu" <zephymugittu@yahoo.co.uk> wrote:
Tofauti zao ndio uimara wao tena mi natamani itokeee mingi tu migogoro kama hii ndani ya CDM ni kipimo na tanuru tosha kuchuja na kusafisha chama... Baada ya wasaliti nyie kutwa je chama kiliyumba??? wacheni mchezo wenu nyieeee bwana kama mtu akiteleza lazima apewwe utamu wake.

CHAMA KINAJIJENGA HAYO LAZIMA YATOKE NA YANAYATEGEMEA SANA TU KWANI BADO YAJA ZAIDI PIA HAYATISHI KIIIVYO. NCHI HAIWEZI KUWA NA CHAMA KINACHOKUA KWA KASI KUUUUBWAAA HALAFU KIKOSE MATATIZO KAMA HAYA...

Regards,
Mugittu, Zephaniah,
Cell: +255 784 769 481
Fax2Email: 0736605633
Skype: Zephaniah N.N. Mugittu
 
No matter how high one is talented , business acumen still a necessity
"Poverty is a result of attitude ..."
 
On Monday, 28 October 2013, 19:13, Bollen n <gaudencia.ngetti@yahoo.com> wrote:
Ni wazi kuwa Chadema hakiwezi kuwa tumaini la Watanzania maana ingekuwa ni tukio la kwanza lkn inavyoonekana kwa Chadema back ni "zidumu fikra za mwenyeti Mbowe". Mwigamba kaa nao chonjo wasije wakaku-Pandambili. Kimbia uokoe nafsi yako nyumba hiyo inaungua.

From: mchangehabibu
Sent: 28/10/2013 18:48
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Samsoni mwigamba

Wakubwa.
Natanguliza pole dhati kabisa kwako mpiganaji mwigamba.

Nakupa pole kwa kuwa nawe umeingizwa kwenye kundi la wasaliti.
Kwenye chadema msaliti ni yule anayeweza kusimamia kweli na haki bila kujali reaction ya slaa Na mbowe,
CHACHA ZAKAYO WANGWE kabla hajafariki aliitwa msaliti na kwmba anatumiwa na ccm sisi tulipewa mpaka pesa tutoe tamko kumlaani(tamko alilotoa marehemu Kikoti aliyekuwa mwenyekiti wa chadema temeke kipindi cha uhai wake) japo matamko yote hayo yaliandaliwa Na mnyika na slaa.

Alipokufa hakuitwa tena msaliti, akageuka gafla na kuitwa kamanda, hata Tanzania daima nalo liliandika makala za kumsifia.

Akaja zitto kabwe naye akaitwa msaliti, na kwamba anatumika na ccm. Ni bahati tu zitto amejiwekea mizizi mikubwa sana kwa wananchi ndio maana mpaka Leo anaendelea kuwa mwanasiasa mwenye nguvu na mwenye kuaminiwa sana.

Marehemu Philip magadula shelembi aliyekuwa mwenyekiti was chadema mkoa w shinyanga naye aliitwa msaliti mpaka umauti unamkuta.

Mimi niliyekuwa nikiitwa  kamanda kipindi hicho nikaja kugeuzwa kuwa msaliti namba moja baada ya wangwe Na zitto.

Mwampamba akawa msaliti Na shonza naye akawa msaliti.

Leo umeongezeka mwigamba kwenye kundi la wasaliti.

Pole sana naamini hautakuwa wa mwisho. Bado watatokea wengine wasaliti zaidi na zaidi.

Habib Mchange
Futian District,
Shenzen, GuangDong
China.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment