Thursday, 31 October 2013

Re: [wanabidii] UFISADI WA ZITTO ZUBERI KABWE

Nakubaliana nawe Jesse unajua kuna watu wanaendesha siasa za kijinga zilizojaa utoto mwingi. Wanadhan wakiwachafua wenzao watatakasika na uchafu wao wenye uvundo na harufu chafu
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Jesse Kwayu <jessekwayu@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 31 Oct 2013 19:37:26 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] UFISADI WA ZITTO ZUBERI KABWE

Huu nao ni upuuzi mwingine wa kupuuzwa kwa nguvu zote dhidi ya Zitto!. Nani anapokea fedha kijinga kijinga hivyo. Haya yote ni mambo yanayoitwa mikakati ya kuvuruga chama. Nasisitiza hata NCCR ilitendwa hivyo hivyo, bahati mbaya kina Marando na wenzake hawakugundua mapema ndiyo maana leo Mbatia kaachiwa kazi ngumu ya kujenga chama upya. Kama watu hawajui wajiulize ilikuwaje NCCR-Mageuzi kwa zaidi ya miaka minne ilikaa kwenye mgogoro usioisha, kwa faida ya nani? kwa faida ya watawala tu ili isijijenge. Dozi ile ile haitafanya kazi tena safari hii kwa vyama vingine. Tuache vyama vikue kwa siha ya taifa na watu wake. CCM wanataka kubaki pekee yao ili walale. Umma lazima ukatae hili.

2013/10/30 Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
Mheshimiwa Aman Walid Kaburu Mwenyekiti wa Chama Mkoa wa Kigoma? Kuna uhusiano wa kikazi au kiushikaji maana wana fanana fanana hawa?.

Lakini tukubali kuwa kila penye ushindani mbinu hizi zipo na virusi kuwekwa kwenye kila chama na ni mbinu za kawaida sana. Ujanja ni kupata kwa hiyo tusiwaogope watu hawa kwani ni muhimu wawepo. 

Mtu kulipwa kiasi hicho cha fedha kinaonyesha umuhimu wa taarifa alizozitoa ambazo vile vile zinaonyesha Chadema kina nguvu kiasi gani kushindana na CCM.   Kwa taarifa yenu hata ndani ya CCM kuna virusi vilivyopandikizwa na Chadema kuchota taarifa muhimu kutoka CCM na ndio maana siri nyingi za Chama Tawala Zinavuja.

Ahsante

Herment A. Mrema

Date: Wed, 30 Oct 2013 15:01:23 +0300
Subject: [wanabidii] UFISADI WA ZITTO ZUBERI KABWE
From: fkarume@gmail.com
To: wanaBidii@googlegroups.com

kauli yake inadhihirsha tabia zake za kisaliti.
anataka kuficha maovu yake ya kupokea Million 250 CRDB na zile Dolla laki 2 na ushee kupitia German.
Huyu bwana ni msaliti na kwa wajuzi wa mambo mtaona ni kwanini hakuandamana na dr slaa wakati wa kampeni za urais
CCM wana mtumia na walishamtumia siku nyingi na innafaa atemwe cheo chake kabla ya 2015 atakiangamiza chama.
Zito your finished man, nlikuamini lakini baada ya kusoma post inayokuhusu wewe sina imani nawe kanisa
Umethamini hela kuliko maisha ya sisi walalahoi tunaotegemea ukombozi wa kweli...... 

Riporti ya siri inaeleza ukweli 23/6/2008 saa 07:52 ulikutana na kina Wassira na mtu wa usalama wa Taifa sea cliff
30/6/2008 Ulipokea mshiko wako CRDB Bank kiasi 250Tsh Million.
Kisha Jumatano ya tarehe 16/12/2009 majira ya saa 13:12 za mchana
kwa Ujerumani akaunti namba .............................,
ziliingizwa dola za kimarekani 266,000 pesa hizi katika
uchunguzi zimebainika kuwa zilitoka Tanzania katika Benki ya
NMB Dar katika akaunti namba
.............................. ... yenye jina la TSA,

Fedha hizo alizichukua ili kutoa taarifa za siri za chadema na aliezipokea kwa niaba yake huko germani ni mwana mama alisoma nae nae akapewa Dola 25,000 kama ahsante...kweli tanzania hatuna wazalendo

wakatoa na evidence hii Mfano tarehe 7/9/2010 siku ya jumanne saa 11:21 asubuhi,
...............kupitia namba yake ya simu ya kiganjani
......................, alimpigia Zitto kupitia simu ya kiganjani namba
.............................. waliongea mambo mengi japo kwa muda mfupi, na
jambo kubwa lilikuwa ni "vipi kuna kipya ndani ya Chadema?"
Zitto alijibu "yapo mengi lakini hayana impact kwa ccm" 

LISEMWALO LIPO NA KAMA HALIPO LAJA, MIMI SINA UHAKIKA WA HIZI HABAR LAKINI NI HABARI ZA KIUCHUNGUZI.
NIWAULIZE MOOD KWANINI WALITOA HABARI NZIMA ISIACHWE IKASOMWA NA JF TUKAMPIMA ZITO????
nlibahatika kukariri chache.

KAMA SIO MSALITI IWEJE alalamike mambo ya chama nje ya chama?
kwanini asiwaite wahusika wa chama wakafanya vikao vya ndani
sina chama ila kwa CHadema nawashauri huyu bwana ni kirusi ndani ya chama chenu.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment