Thursday, 31 October 2013

Re: [wanabidii] MWANAMKE APIGWA RISASI KATIKA OFISI ZA TRA ARUSHA

Mwema

Kwa vyovyote vile ilivyokuwa, hata kama hapakuwa na parking au kuna mambo alifanyiwa huyo mama yakamuudhi bado alitakiwa kuelewa kwamba wale askari wana bunduki na hivyo hakutakiwa kutoa pistol. Kama unamiliki pistol au bunduki aina nyingine nakuhasa usidhubutu kutoa pistol kwa adui ambaye tayari amekuonyesha bunduki unless una uhakika wa timing. Ile ni bunduki na hivyo risasi ikitoka aina cha msalie mtume. Nasisitiza kwamba ipo haja ya kupata mafunzo ya kutosha kabla ya kumilikishwa silaha. Hebu jiulize alitoa silaha ili afanye nini? Ajilinde na majambazi au awaadhibu hao waliotoa upepo kwenye taili za gari lake?  Na hata kama hao maaskari walitaka kumpola bado alitakiwa kuangalia uai wake kwanza.

2013/10/30 Fidelis Francis <fidel80.francis@gmail.com>
Hawara ya mkubwa jiji ndo maana alikuwa na kibri.

On Wednesday, October 30, 2013, Barnabas Mlyuka <barnabasmmlyuka@ymail.com> wrote:
> Hiyo ndiyo kiburi cha fedha!With money there is no law or rule. That is where we have reached.
>
>  
> -------------------------------
> Barnabas Eliab Mlyuka
> P.o Box 671
> Morogoro
> Phone 0752578211/ 0716619326
>
> On Wednesday, October 30, 2013 2:57 PM, Fakhi Karume <fkarume@gmail.com> wrote:
> Mwanamke mmoja amepigwa risasi ya mkononi kutokana na uzembe wake mwenyewe.
>
> Mwanamke huyo alifika maeneo ya TRA ambako kuna tawi la CRDB - Mapato eneo lisiloruhusiwa. Askari walimuelekeza eneo hilo haliruhusi lakini alikataa na kuingia ndani ya bank kwa ajili ya shughuli za bank anazozijua yeye.
>
> Askari hao walimfuata tena ndani na kumwambia akatoe gari lakini mwanamke huyo kwa nyodo alimjibu askari huyo aachane nae.
>
> Kuona hivyo askari walikwenda kutoa upepo kwenye matairi ya gari yake ili kama alikuwa na watu wengine wenye nia mbaya wahindwe kutekeleza mpango wao.
>
> Yule mwanamke aliporudi na kukuta gari yake imetokewa upepo alikwenda moja kwa moja kwenye gari na kutoa bastola kisha akaenda kwa walinzi walipo huku akiwatisha atawaua. Katika hali ya taharuki yule mwanamke akakoki bunduki kwa lengo la kuitumia na ndipo askari akipomuhai risasi ya mkononi.
>
> Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio mwanamke huyo hajulikani alipata wapi ujasiri wa aliyoyafanya.
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment