Wednesday, 30 October 2013

Re: [wanabidii] Samsoni mwigamba

Poleni sana na ajali za Kisiasa,ila amenishangaza sana Ndugu yangu Mwigamba kwa kukashifu viongozi wenzake na Chama kwa kupitia Mitandao ya Kijamii tena kwa kutumia Account Fake.Labda niulize,huwa hamna vikao vya kujadiri tofauti zenu ndani ya Chama mpaka mtumie njia isiyo rasmi,hivi Mtu kwa nini unatumia Account fake kumuattack Mwenzako,unakuwa hujiamini au ni uoga?.Vijana tuna safari ndefu sana katika kufika mafanikio ya Uongozi wa Taasisi yoyote ile kama hatutofuata taratibu na sheria tulizojiwekea zaidi ya kuendeshwa na hisia pamoja na Mihemko ya Kisiasa,ndiyo maana huwa nawashauri CCM warudishe Vyuo vyao vya Itikadi ili wawafunde Viongozi wajao,maana hawa wa Kizazi kipya bila kuwaelekeza njia,majanga matupu.
 
From: mobini sarya <mobinsons@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, October 29, 2013 6:46 PM
Subject: Re: [wanabidii] Samsoni mwigamba

acha damu ya     Marehemu wangwe iwatafune, nimewahi kusoma jamii forum, hata zitto mwenyewe akitubu namna alivyotumika kumsaliti wangwe leo huyu naye anaweka zake hapa ,tubuni kwa Mungu chacha alishamiliza kazi yake duniani!!!!!!!!!!

From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, October 28, 2013 6:54 PM
Subject: Re: [wanabidii] Samsoni mwigamba

Duh! Sheikh Mchange...umeweka orodha ndefu...acha tuitafakari kwanza! Wasalimie huko Shenzhen
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: mchangehabibu <mchangehabibu@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 28 Oct 2013 23:45:33
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Samsoni mwigamba

Wakubwa.
Natanguliza pole dhati kabisa kwako mpiganaji mwigamba.

Nakupa pole kwa kuwa nawe umeingizwa kwenye kundi la wasaliti.
Kwenye chadema msaliti ni yule anayeweza kusimamia kweli na haki bila kujali reaction ya slaa Na mbowe,
CHACHA ZAKAYO WANGWE kabla hajafariki aliitwa msaliti na kwmba anatumiwa na ccm sisi tulipewa mpaka pesa tutoe tamko kumlaani(tamko alilotoa marehemu Kikoti aliyekuwa mwenyekiti wa chadema temeke kipindi cha uhai wake) japo matamko yote hayo yaliandaliwa Na mnyika na slaa.

Alipokufa hakuitwa tena msaliti, akageuka gafla na kuitwa kamanda, hata Tanzania daima nalo liliandika makala za kumsifia.

Akaja zitto kabwe naye akaitwa msaliti, na kwamba anatumika na ccm. Ni bahati tu zitto amejiwekea mizizi mikubwa sana kwa wananchi ndio maana mpaka Leo anaendelea kuwa mwanasiasa mwenye nguvu na mwenye kuaminiwa sana.

Marehemu Philip magadula shelembi aliyekuwa mwenyekiti was chadema mkoa w shinyanga naye aliitwa msaliti mpaka umauti unamkuta.

Mimi niliyekuwa nikiitwa  kamanda kipindi hicho nikaja kugeuzwa kuwa msaliti namba moja baada ya wangwe Na zitto.

Mwampamba akawa msaliti Na shonza naye akawa msaliti.

Leo umeongezeka mwigamba kwenye kundi la wasaliti.

Pole sana naamini hautakuwa wa mwisho. Bado watatokea wengine wasaliti zaidi na zaidi.

Habib Mchange
Futian District,
Shenzen, GuangDong
China.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment