Wednesday, 30 October 2013

Re: [wanabidii] Samsoni mwigamba

Umenena Mugitu Zephania

Hilo ni neno la kuaminika kabisa, kama kweli CDM hovyo basi wasingekua kiasi hicho walichofikia leo, mimi binafsi sioni  kama Mbowe ni mbaya kwani yeye si ndo kawainua vijana hao ambao leo wanasema maneno mengi?

Mi naona kuna kundi fulani la vijana ndani ya CDM wana uchu uliopitiliza wa madaraka makubwa ya juu ndo maana hawaoni shida kufanya mambo ya hovyo hovyo. Nakumbuka kuna watu kipindi fulani walizushaga mgogoro CDM kipindi  yanaundwa mabaraza wakasema maneno weeee walipobanwa kutoa maelezo baadhi yao hawakua na la kujitetea wakaondolewa kwenye uongozi, ila baadhi yao wakaamua kukihama chama wakajiunga na chama kingine fulani. Mimi niliwahi kuwaambia rafiki zangu kuwa hata huko watazua zogo and it came to happen, huyo jamaa akishirikiana na baadhi ya wenzake walio nje ya chama na ndani ya hivcho chama kingine wakataka kumpindua mwenyekiti wao ili wao wachukue nafasi alikuja kubanwa na ubunge wake ukawa hatarini, akalia sana kuomba msamaha wazee wakagoma, hatimaye akakimbilia mahakamani kuzuia kutekelezwa kwa maazimio yale. Ashukuriwe Mungu mwenyekiti wao kwa hekima aliamua kumaliza ule mgogoro mwezi uliopita na kumtambua kama mwanachama halalil.

Hii ndo michezo ya hilo kundi ambalo baadhi ya wachezaji wake wako CDM ndo maana unaona cheche hizo, hilo kundi ni kama banyamulenge, hata wakiambiwa njoo cham chetu hiki maadam kuna nafasi za juu naamini wataenda.

Japo simaanishi viongozi wa CDM ni malaika kwamba hawakosei no ila kila kitu kifanyike kwa maslahi mapana ya jamii sio tu kushika vyeo.

Flano

On Wednesday, October 30, 2013 11:17 AM, Zephaniah Mugittu <zephymugittu@yahoo.co.uk> wrote:
Magora, Hassan,

Tambua kuwa huwezi kuwa na jamii ndani ya cham yenye mitazamo sawa, kama mke na mume tu kuna wakati wanatofautiana tena wawili tu iweje kundi kubwa kama la CDM isipatikane migongano???? mi naona tusikimbie CHANGAMOTO... Wapo watu wenye hekima na busara kutatua migogoro hiyo... CDM wanao na wala si mara ya kwanza kutokea kama huna taarifa Ndg yangu... na ndio maana leo unaona kimekuwa imara kiasi hicho... ni kwa kuwa kimevuka VIHUNZI vingi sana!!!!!!

SUCCESS IS A RESULT OF SERIES OF FAILURES... IF YOU FAIL DO NOT GIVE UP THE MORE YOU FAIL(CONFLICTS) THE MORE CLOSER TO SUCCESS THIS IS WHAT WE PEOPLE WITH BUSINESS/ENTREPRENEURAL MINDSET THINK NA NDO MAANA MAFANIKIO TUNAYATEGEMEA HATA KAMA TUNAPATA MIKWAMO....
 
Regards,
Mugittu, Zephaniah,
Cell: +255 784 769 481
Fax2Email: 0736605633
Skype: Zephaniah N.N. Mugittu
 
No matter how high one is talented , business acumen still a necessity
"Poverty is a result of attitude ..."
 
On Tuesday, 29 October 2013, 10:20, steven aloys <stevenaloys05@yahoo.com> wrote:
Dear wanabidii
 Hope everyone is doing fine,
The issue of Mr, Mwigamba in Politics it has a lot of things to do and to consider, since politics is beyond what you see you need to hear also. Remember there the open agenda in politics does not imply the hidden ones but reveals to open up your mind metaphysically.
 
The problem of many people do always make analysis of politics events with romantics rather than the attitude of reality where  our judgments falls in the love and the hate of political parties.
 
In this juncture I wish the two conflicting part within the political party one day yes should reveal the truth to the public if necessary but always you can change the truth but not the reality.
 
Another reminder is that we should be aware that sometimes if not always people in certain group can not think the same way, can not behave the same way, can not be focused the same way, and thus is what make the contradiction principle of existence of the universe and the world,due to contradiction, therefore if you have people for instance in a political party have the same ideas, focuses ,altitude, behavior and thinking, therefore the existence of that party could be in danger.
 
Conflicts and contradiction in any organization is inevitable BUT management of conflicts and contradiction in many organization is dilemma and problem.
 
Steven ARISTOTLE
POLITICAL ENGINEER.
+255 713 570 206

On Monday, October 28, 2013 9:13 PM, Zephaniah Mugittu <zephymugittu@yahoo.co.uk> wrote:
Tofauti zao ndio uimara wao tena mi natamani itokeee mingi tu migogoro kama hii ndani ya CDM ni kipimo na tanuru tosha kuchuja na kusafisha chama... Baada ya wasaliti nyie kutwa je chama kiliyumba??? wacheni mchezo wenu nyieeee bwana kama mtu akiteleza lazima apewwe utamu wake.

CHAMA KINAJIJENGA HAYO LAZIMA YATOKE NA YANAYATEGEMEA SANA TU KWANI BADO YAJA ZAIDI PIA HAYATISHI KIIIVYO. NCHI HAIWEZI KUWA NA CHAMA KINACHOKUA KWA KASI KUUUUBWAAA HALAFU KIKOSE MATATIZO KAMA HAYA...

Regards,
Mugittu, Zephaniah,
Cell: +255 784 769 481
Fax2Email: 0736605633
Skype: Zephaniah N.N. Mugittu
 
No matter how high one is talented , business acumen still a necessity
"Poverty is a result of attitude ..."
 
On Monday, 28 October 2013, 19:13, Bollen n <gaudencia.ngetti@yahoo.com> wrote:
Ni wazi kuwa Chadema hakiwezi kuwa tumaini la Watanzania maana ingekuwa ni tukio la kwanza lkn inavyoonekana kwa Chadema back ni "zidumu fikra za mwenyeti Mbowe". Mwigamba kaa nao chonjo wasije wakaku-Pandambili. Kimbia uokoe nafsi yako nyumba hiyo inaungua.
From: mchangehabibu
Sent: 28/10/2013 18:48
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Samsoni mwigamba

Wakubwa.
Natanguliza pole dhati kabisa kwako mpiganaji mwigamba.

Nakupa pole kwa kuwa nawe umeingizwa kwenye kundi la wasaliti.
Kwenye chadema msaliti ni yule anayeweza kusimamia kweli na haki bila kujali reaction ya slaa Na mbowe,
CHACHA ZAKAYO WANGWE kabla hajafariki aliitwa msaliti na kwmba anatumiwa na ccm sisi tulipewa mpaka pesa tutoe tamko kumlaani(tamko alilotoa marehemu Kikoti aliyekuwa mwenyekiti wa chadema temeke kipindi cha uhai wake) japo matamko yote hayo yaliandaliwa Na mnyika na slaa.

Alipokufa hakuitwa tena msaliti, akageuka gafla na kuitwa kamanda, hata Tanzania daima nalo liliandika makala za kumsifia.

Akaja zitto kabwe naye akaitwa msaliti, na kwamba anatumika na ccm. Ni bahati tu zitto amejiwekea mizizi mikubwa sana kwa wananchi ndio maana mpaka Leo anaendelea kuwa mwanasiasa mwenye nguvu na mwenye kuaminiwa sana.

Marehemu Philip magadula shelembi aliyekuwa mwenyekiti was chadema mkoa w shinyanga naye aliitwa msaliti mpaka umauti unamkuta.

Mimi niliyekuwa nikiitwa  kamanda kipindi hicho nikaja kugeuzwa kuwa msaliti namba moja baada ya wangwe Na zitto.

Mwampamba akawa msaliti Na shonza naye akawa msaliti.

Leo umeongezeka mwigamba kwenye kundi la wasaliti.

Pole sana naamini hautakuwa wa mwisho. Bado watatokea wengine wasaliti zaidi na zaidi.

Habib Mchange
Futian District,
Shenzen, GuangDong
China.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment