Tuesday, 29 October 2013

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015

Sio kweli, hawezi kuondoka madarakani kwa  sababu ya kutaka tupate katiba mpya nzuri. Tafuteni sababu nyingine ya kumpigia kura ya kutokuwa na imani. Sio kuongea na wapinzani. Jaribuni muone kile kitakacho toka kwa wananchi hawa wapole.


On Saturday, October 26, 2013 3:38 PM, Mwema Felix <mwema.felix@gmail.com> wrote:
Kaka, naendelea kutafakari hizo aya mbili za "mwisho".

2013/10/26 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
MWISHO .
Nasema na nasisitiza kwamba kabla ya mwaka 2015 rais kikwete anaweza kungoka yeye mwenyewe kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na wabunge wake mwenyewe ndani ya bunge kama akiendelea na hizi tabia tabia zake .

Tunashukuru kwa yale aliyoyatendea taifa hili lakini kwa hali ilivyosasa hivi yeye ashike nafasi yake la sivyo yeye ndio ataondoka ikulu kwa aibu 


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


0 comments:

Post a Comment