Tuesday, 29 October 2013

RE: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015

Lesian

Punguza kwanza jazba kwa kusema sijui jukwaa la bure! haya ni maoni yangu yapaswa yaheshimiwe. Naomba na wewe toa maoni pasipo kuacha njia kwa kushambulia. Hata hivyo binafsi simchukii EL wala kama unavyosema chuki binafsi bali nachukia ufisadi wake pamoga na tabia za kundi lake. mojawapo ya hoja yangu ni kuwa anatoa wapi hiyo mlolongo ya mipesa! kwanza ndiye sababu la deni la TANESCO na ndiye mtuhumiwa namba moja wa ufisadi TZ na wala huhitaji kuuliza sana maan wa TZ wengi wanjua japo bado wengi hawajajitambua maana wameridhika na mfumo mchafu uliopo.

Regards

F.Kasili

Mob: 0784850583 or 0755850583

Always darkness will never comprehend light

From: wanabidii@googlegroups.com [wanabidii@googlegroups.com] on behalf of lesian mollel [aramakurias@yahoo.com]
Sent: Tuesday, October 29, 2013 5:00 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015

Hivi wewe kusali ukiambia peleka ushahid wako wa uchafu wa mh ENL utapeleka? au unaongea tu kwa kua una jukwaa la bure, na pengine nikuuulize unaemwona wewe msafi hapa Tanzania kuanzia waliopo madaaani, vyama vya cuf, chadema au nccr umtaje? nyinyi mnaongea tuuuuuu bila ushahidi, any way, lowasa kuchangisha makanisani zile pesa kaka zinabaki kule kuendleza kaz ya injili ni si kua anazibeba, na yeye hua hatoi na kutokanana na ushawishi alionayo na marafiki zake wanamsaidia.
huo ndio uongozi mzee, kiongozi lazima ajue namna ya kutafuta source za pesa za kuendeleza nchi, makanisa, misikii  na hata jamii kwa ujumla....nenda monduli ukapate darasa huyu olaigwanani anachofanya kule, si lazima utoe hela mfukoni kwako.
Wewew una huki tu....hutoi sababu za kumchukia hy kiongozi. Halafu niwaase tu ktk kumupima mtu mpime ktk pande 2 uone hasara ndio kubwa au faida, ndivyo unavyotakiwa kutoa judgement, ww kusali unashambulia bila logical point hapa.....wale wanaojua kupima watakueleza tu....
mimi sipedi kumhukumu mtu kwa yale mabaya yake ila napenda aidi pia kuangalia azuri yake na vision yake

On Tuesday, October 29, 2013 4:41 PM, Francis Kasili <Francis.Kasili@nmbtz.com> wrote:
Mheshima Ngupula
Dhana halisi kama nimekusoma vizuri umesema, uko tayari kuongozwa na hata mwizi maadamu nyakati hizi ni za za uwazi! Hapa unashindwa kuadress dhana kamaili ya kwa nini EL achangishe na kuchangia pesa huko makanisani na misikitini? kuna nini nyuma ya pazia?????? Point inakwepwa sana ambayo ni ya kuusaka urahisi wa TZ, Maana kwa uelewa wangu swala la utoaji huku ukitegemea kupokea hapa duniani ni kupoteza na wala hupati thawabu kwa Mungu. Kwa ulivyosema hata kama hela ni chafu maadamu zinafanya kazi ya Mungu huko pia ni kupotosha ukweli wa mambo, kwani kwa mujibu wa utambulisho wako kama mme wa mama mchungaji unafahamu ukweli kuwa Mungu huwa haridhii sadaka isiyokuwa safi maana huwezi kumhonga. Kumbuka sadaka ya Mfalme Sauli ilikataliwa kwa sababu alikuwa mkaidi na hata Nabii samuel alipomlilia sana bado Mungu alimkataa kwa sababu hiyo ya kutokutii kwake. Binafsi naona sadaka hii ya EL bora isipokelewe kwenye nyumba hizi za ibada kwani  si safi na inachafua madhabahu pia ni machukizo mbele za Mungu. Ni maombi yangu Mungu atufungue macho katika hili kwani tutakuja juta mbeleni kwa kutokusikia ya wakuu kama Nyerere aliyewahi kusema Ikulu si pa kukumbilia wala kupigia marathoni kwa gharama ya pesa. Wa TZ tunatakiwa kubadilisha mtazamo na kuchukua maamuzi magumu ili tuweze kutoka kwenye hili dimbwi la ufisadi na kuchagua viongozi wenye kukubalika na wenye utayari kupinga mifimo dume iliyopo sasa. 
 
 Together we can if we stand firm!!!!
 
Regards
F.Kasili
Mob: 0784850583 or 0755850583
Always darkness will never comprehend light

From: wanabidii@googlegroups.com [wanabidii@googlegroups.com] on behalf of Godfrey Ngupula [ngupula@yahoo.co.uk]
Sent: Tuesday, October 29, 2013 1:25 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015

Sorry kaka Elisa for my  blind mistake  made to your  name to call you dada, I guess that is not fair...I thank God that you are a perfect energetic man,otherwise,probably  this would have been an issue. As suggested by HK, I thought I  was sure even not to consider the precautions...It is with no doubts that is unconditionally forgivable...

However, as regards to the so called clean or dirty money to God affairs , I think it is wise to respect your perceptions.... but to my understanding and with all confidence,nawashukuru sana wote ambao kwa namna moja au nyingine wamesaidia kwa resourses zao na wao wenyewe kuongeza nguvu katika kuujenga ufalme wa Mungu...Hakika wanaweza kusahaulika au wasishukuriwe katika kizazi hiki,lakini daima dumu watakumbukwa..Kama Gadaffi anakumbukwa kwa kusaidia kujenga nyumba za ibada hata nje ya mipaka ya nchi yake,hata wao watakumbukwa pia..Nawaombeni, msikatishwe tamaa na wanaoita hela zenu ni chafu wakati hizo wanazozani ni safi  za kwao zinaozea mifukoni mwao,songeni mbele bila kuangalia pembeni au nyuma... Ngupula

On Monday, 28 October 2013, 17:58, "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
Ngupu, kwani Elisa ni wa kike? Mbona wamu-address kama dadako? Kama humjui mtu personally ni ustaarabu kumu-address kwa Surname yake na kwa kumuita 'Ndg.' badala ya kuchanganya habari namna hii!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: "ngupula@yahoo.co.uk" <ngupula@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 28 Oct 2013 01:36:31
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015

Duh,dadangu muhingo,sasa hayo mambo ya uwaziri yanatoka wapi? It seems kumbe tunapozungumzia yanayodhaniwa mabaya ya lowasa lengo lake ni kupigia debe mtu mwingine...am not in that business ma sista? My bible teaches me that 'you must not judge,if that must be,then judge rightously'...lowasa is right,ameamua kutumia vyake kwa raha zake,aachwe..je,angeamua kuongeza idadi ya wake  zake na kila mmoja kumjengea magorofa 2 na bmw 2 za kutembelea mngehoji kama hizo hela ni za madawa ya kulevya?....kwa mtazamo wangu,yeyote anayempinga lowasa ktk hili ni wivu wake na hofu tu..kama kutoa ni umaarufu na mtaji kisiasa,naye atoe ktk alivyonavyo kwan kutoa ni moyo na si utajiri...ninawasih watazania wote,toeni ktk mlivyonavyo ili kazi ya Mungu isonge mbele..ni aibu sana sisi kuishi kwenye majumba mazuri na mahari pa kuabudia ni makuti na viti vya kukalia ni matofali kana kwamba hakuna watz wenye hela..hatumtendei haki Mungu hata kidogo..mi mwenzenu nina uchungu sana ktk hili kwani mke wangu ni mchungaji,kiwanja cha kanisa kimeazimwa na kanisa letu ni la makuti tu...ndio maana nasema mitazamo mengne is just lack of understanding,mnahitaji kusamehewa bure..ngupula
-----Originalssage-----
From: ELISA MUHINGO
Sent:  27/10/2013, 11:47  pm
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015

Sasa nimeelewa. katika kuhakikisha malengo ya kipuuzi yanatimia hatuhitaji kujiuliza mtu huyu anapata hela wapi iwe amepewa na wajomba watakaotaka kutuibia akiingia Ikulu au za madawa ya kulevya, ili mradi anachangia makanisa na misikiti. Unafaa kuwa waziri wake wa nidhamu

________________________________
From: "ngupula@yahoo.co.uk" <ngupula@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, October 27, 2013 11:14 PM
Subject: RE: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015

TRA nafikiri kazo yao ni kukusanya kodi ya  mapato ya mtu..hawana ruksa hata kidogo kuja kumuuliza mtu wakati anatumia pesa yake eti hela hiyo imelipiwa kodi? Ujinga mkubwa itakuwa ni kuhoji hela mtu ambayo anaitoa kwa ajili ya jamii..nafikiri ndio maana TRA ndio maana hawakuwa na majibu..maswali kama hayo busara ni kupotezea tu..ngupula
-----Original Message-----
From: ELISA MUHINGO
Sent:  27/10/2013, 11:01  pm
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015

Ngulupa humu kuna vipofu wengi.
Wako wasiotofautisha kati ya kuchangia na kuchangisha. Yaani mtu kila kukicha wakati anachangisha anachangia milioni ishirini, hqmsini, kumi. Ukiuliza TRA kama zimelipiwa kodi hukuti jibu sahihi. Watu waliotiwa upofu hawaoni hilo wanaona anachangisha tu Na hao ni vipofu ila sikujua kama ulimaanisha hao

________________________________
From: "ngupula@yahoo.co.uk" <ngupula@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, October 27, 2013 7:17 PM
Subject: RE: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015

Watanzania ni wepesi sana kujua unachoshindwa na wako tayari hata kupoteza miaka 5 kuzungumzia madhaifu yako..lakini kamwe hawawezi kujisumbua kuangalia unaweza nini na wafanyaje kukusaidia uwasaidie...leo hii mtu mwenye akili zake timamu analaumu waziwazi lowassa kusaidia kuchangisha fedha ili kusaidia kujenga nyumba za ibada na nk..eti anaita huko nako ni ufisadi..kimsingi mtu huyu ni mpofu wa kiroho na upeo wake kisiasa ni of single dimension..hajui dini zina sehemu gani ktk maisha ya mtanzania na mustakali wa taifa..haelewi pia changamoto za dini nyingi ni nini na  nini kifanyike ktk taifa hili ktk changamoto hizo... Haishangazi,hata Yesu alipokuwa anahubiri ufalme wa Mungu,wengine walimuona ni mkombozi,wengine walimuona hatari..mimi kauli yangu ni hii HAKUNA YEYOTE ATAYESHINDA KITI CHA URAIS TZ 2015 KWA KUJIFICHAFICHA. Tuliyafanya makosa hayo 2005 tukamchagua tuliyedhani tunamjua kumbe hatukumjua..the coming election,watz tuko tayari kuongozwa hata
na mwizi kama ana uwezo wa kutusaidia..kuliko kumchagua tunayedhani ni mbwa kumbe ni simba au panya..ngupula
-----Original Message-----
From: ELISA MUHINGO
Sent:  27/10/2013, 12:20  pm
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015

Lakini Yona
Kikwete kama unavyosema Katabiri.
Kutabiri si kulaani. Kutabiri ni kusema kesho mvua itanyesha na ikinyesha si wewe uliileta. La. Uliona dalili. hapo haitegemewi kumpiga madongo aliyetabiri ila ni mwenye akili kushika mwavuli.
Kuanguka kwa CCM kunaelekea kufikia hatua ya kutoepukika na wala shida si Kikwete anayemaliza muda wake bali wanaotaka kuingia. Habari za wahuni kugawa rushwwa kwa Makatibu wa wilaya na mikoa hazijakanushwa na wala hakuzigawa JK. Kumshughulikia JK ni ujinga wa hali ya kuelekea upumbavu nmaana anaondoka kweli. Iwe 2015, 2014 au 1016 lakini anaondoka. Watanzania wanaweza kuvumilia madhaifu yake maana anamaliza muda na umebaki mfupi. Watanzania wanamuogopa huyo anayesambaza hela makanisani, misikitini, Jumuia za chama chake na sasa makatibu wa mikoa na wilaya. Huyo ni mmbaya zaidi na kama JK anawasaidia waTanzania kumuepuka tunamshukuru sana. Chama chetu kikimuangusha waTanzania tutamdaka na kumuweka chini asivunjike

________________________________
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>; Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com>
Sent: Saturday, October 26, 2013 10:20 AM
Subject: [wanabidii] RAIS KIKWETE ANAWEZA KUONDOKA KABLA YA CCM 2015

Ndugu zangu 

Nimesoma habari kadhaa asubuhi ya leo vikikariri kauli ya rais kikwete ambaye ni mwenyekiti wa ccm kwamba ccm inaweza kuongoka mwaka 2015 .

Kauli hii nyepesi haiwezi kupita hivi hivi bila kuambiana ukweli .

Huyu raisi kikwete anayeitabiria CCM kuanguka mwaka 2015 anaweza kuanguka yeye mwenyewe aondolewe kwa kuondolewa kwenye nafasi ya mwenyekiti wa CCM taifa na rais wa Jamhuri kwa ujumla tena na wabunge wake wenyewe maana amechangia zao la CCM la sasa yeye kama mwenyekiti hata kama ameifanyia nini CCM na TAIFA kwa ujumla .

Tunakumbuka kuanzia mwaka 1995 alipokatazwa kugombea urais na wakubwa wa CCM alianza kutengeneza mtandao wa kumwingiza madarakani mwaka 2005 – Kwenye mbio hizi tunaona propaganda na ubaguzi uliotumika dhidi ya wana CCM wenzake haswa salim ahmed Salim aliyeitwa Majina ya kibaguzi baguzi .

Mwaka 2005 kuelekea 2010 rafiki yake kipenzi aliachia ngazi kama waziri mkuu kesi hiyo mpaka leo haijulikani iliishia wapi na hakuna mtu aliyefikishwa mahakamani au hata kusikia ameshinda au kushinda kesi .

Mwaka 2010 makundi ambayo yaliasisiwa na kikwete mwenyewe yanaendelea kimpango wao , baadhi yao walienda kuanzisha chama cha CCJ lakini wakaacha baada ya kupewa uwaziri na nafasi nyingine ndani ya CCM ,ubaguzi ule ulioanza miaka hiyo unaendelea kutafuna ndani ya CCM na Taifa kwa ujumla .

Mwalimu JK – Bila CCM imara nchi itayumba 

Na ndio sasa tunaona CCM Si imara kama ilivyokuwepo miaka kadhaa iliyopita sasa hivi nchi inayumba kuanzia ubaguzi wa kidini , mkoa , ukabila , uchama na rangi yote haya yamekuwa ni fahari kwa baadhi ya makundi ya watanzania kuongelea na kusifiana .

MCHAKATO WA KATIBA 

Mara kadhaa rais kikwete amekutana na viongozi wa vyama vya upinzani ikulu kwake yeye na kwa wenzake wanaomshauri vibaya anaona Sifa na ni democrasia kitu ambacho sio kwamba amekubali kusaliti CCM yake kwa vyama vya Upinzani huko Ukulu .

Hivi vyama vya upinzani viliondoka vyenyewe bungeni kwa kususa na waliobaki walipiga kura kwa kukubaliana sasa iweje rais ambaye ni mweyekiti wa chama kilichopigia kura rasimu bungeni awaite na wabadilishe mambo ina maana hakubaliani na ule wingi wa wabunge wake ?

MWISHO .
Nasema na nasisitiza kwamba kabla ya mwaka 2015 rais kikwete anaweza kungoka yeye mwenyewe kwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na wabunge wake mwenyewe ndani ya bunge kama akiendelea na hizi tabia tabia zake .

Tunashukuru kwa yale aliyoyatendea taifa hili lakini kwa hali ilivyosasa hivi yeye ashike nafasi yake la sivyo yeye ndio ataondoka ikulu kwa aibu 

--

Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

*************************************************************************************** *************************************************************************************** This e-mail and any attachments are proprietary to NMB PLC. Any unauthorized use or interception is illegal. The views and opinions expressed are those of the sender, unless clearly stated as being those of NMB PLC. This e-mail is only addressed to the addressee and NMB PLC shall not be responsible for any further publication of the contents of this e-mail. If this e-mail is not addressed to you, you may not copy, distribute or disclose the contents to anyone nor act on its contents. If you received this in error, please inform the sender and delete this e-mail from your computer.

0 comments:

Post a Comment