Thursday, 1 August 2013

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] ZANU PF wadai kushinda Uchaguzi Mkuu wa Urais na Wabunge, Zimbabwe!

Yona,
CCM haina wanachama 8m, wana wanachama 5m, na active ni 3m. Kwa hiyo
usipotoshe. Chadema wanaimarisha mtandao wa wanachama nchi nzima na
sasa kuna uongozi kuanzia nyumba 10 mpk taifa

On 8/1/13, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> Kwa upande wa CHADEMA wajenge mtandao wa chama nchi nzima na angalau wawe
> na wanachama hai walioandikishwa na ambo wako tayari kupiga kura zaidi ya
> mil 10 nchi nzima .
>
> Kwa takwimu nilizozipata siku za karibuni zinasema CHADEMA inawanachama wa
> kuandikishwa chini ya mil m2 tena wengi wako maeneo fulani fulani tu ,
> wakati chama DUME kina wanachama hai zaidi ya mil 8 na matawi yaliyotapakaa
> kila mtaa , kila wilaya na kila kijiji .
>
> Hapa hakuna kuibiwa wala nini , nyie jengeni mtandao mpana wa wanachama
> wenu na wapiga kura halafu muueleze uma kile mtakachofanya kwa taifa hili
> sio kila siku CCM tu .
>
>
> 2013/8/1 LINGONET Lindi <lingonetlindi@yahoo.co.uk>
>
>> Wandugu
>> kisichoeleweka hapo ni kuwa mugabe hatakiwi na wazungu sio
>> wazimbabwe,kura
>> zinapigwa zimbabwe wenyewe wanamtaka kwani wanaona anasimamia maslahi yao
>> na kuwa furusha wazungu na tsivangirai kwa wazimbabwe ni kama msaliti na
>> kibaraka wa wazungu kwa hiyo hawezi kushinda mbele ya mugabe anaeonekana
>> ni
>> mkombozi wao
>> --------------------------------------------
>> On Thu, 1/8/13, Finnigan wa Simbeye <f_simbeye@yahoo.com> wrote:
>>
>> Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] ZANU PF wadai kushinda Uchaguzi
>> Mkuu wa Urais na Wabunge, Zimbabwe!
>> To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <
>> mabadilikotanzania@googlegroups.com>, "wanabidii@googlegroups.com" <
>> wanabidii@googlegroups.com>
>> Date: Thursday, 1 August, 2013, 11:08
>>
>> Boniface,
>>
>> Huyo Tsvangirai aachane na siasa mpaka Mugabe afe, yeye ni
>> kama Maalimu Seif, kufanya kosa la kushiriki serikali
>> ya umoja wa kitaifa na baadae kugombea ili kuwa rais si
>> jambo rahisi, wamuulize Raila kule Kenya!!!
>>
>> wa Simbeye
>>
>>
>>
>>
>>
>> From: Boniface
>> Magessa <magessabm@gmail.com>
>> To:
>> mabadilikotanzania@googlegroups.com;
>> wanabidii@googlegroups.com
>> Sent:
>> Thursday, August 1, 2013
>> 1:05 PM
>> Subject:
>> [Mabadiliko] ZANU PF wadai kushinda Uchaguzi Mkuu wa Urais
>> na Wabunge, Zimbabwe!
>>
>> Kiongozi mwandamizi wa Chama Cha ZANU PF cha Rais Mugabe
>> asema chama
>> chake kimeibuka mshindi wa uchaguzi wa rais na wabunge
>> uliofanyika
>> hapo jana. Uchaguzi huo uligubikwa na Lundo la wizi wa kura
>> kama
>> ilivyoripotiwa na MDC, chama cha Morgan Tsivangirai. Hata
>> maeneo
>> ambayo ilikuwa ni ngome kuu ya MDC, Harare na Bulawayo,
>> wagombea
>> ubunge wa Zanu Pf wameibuka kidedea. Somo kwa chadema;
>> msibweteke
>> mkijua mtashinda 2015, ccm wamekaa kimya tu wakijua ni mbinu
>> gani
>> watatumia 2015...kaeni macho!
>>
>> --
>> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la
>> 'Mabadiliko'.
>> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
>> mabadilikotanzania@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma
>> Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>>
>> TEMBELEA Facebook yetu:
>> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>>
>> For more options, visit this group at:
>> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>>
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the
>> Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>> from it, send an email to
>> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>> .
>> For more options, visit
>> https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>> kudhibitisha ukishatuma
>>
>>
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
>> for any legal consequences of his or her postings, and hence
>> statements and facts must be presented responsibly. Your
>> continued membership signifies that you agree to this
>> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> Guidelines.
>>
>> ---
>>
>> You received this message because you are subscribed to the
>> Google Groups "Wanabidii" group.
>>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
>> from it, send an email to
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
>
> --
> Find Jobs in Africa <http://www.wejobsafrica.blogspot.com> Jobs in Africa
> International Job Opportunities <http://www.naombakazi.blogspot.com/>
> International
> Job Opportunities
> Jobs in Kenya <http://www.findjobinkenya.blogspot.com> Jobs in Kenya
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment