Serikali ipunguze matumizi yake. Simu siyo starehe, ni zana ya kumwezesha mwananchi masikini kuongeza kipato
2013/8/1 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Waziri wa Fedha, , Dk. William Mgimwa amenukuliwa kwenye magazeti ya HNIPASHE na HabariLeo matoleo ya leo akisema kuwa Serikali sasa imekubali kuwa kodi mpya ya laini ya simu ni mgogoro na hivyo inakusudia kurejesha muswada wa sheria ulioazisha kodi hiyo wenye mkutano wa Bule mwishoni mwa mwezi wa Agosti kwa mjadala zaidi na ufumbuzi kutoa kwa Wabunge.--
Wiki iliyopita Rais Jakaya Kikwete alikutana na Wizara hiyo, Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia na wajumbe wa MOAT (Chama cha Wamiliki wa Kampuni za Simu - TTCL, Airtel, Vodacom, Tigo na Zantel) Ikulu kusikia pamoja na mambo mengine, kuondolewa kwa kodi ya simu kkutakavyokwaza maendeleao ya sekta ya mawasiliano na kuwataka MOAT kutoa mapendekezo ya jinsi serikali itapata kiasi cha Sh. bilioni 178 zilizopangwa kupatikana katika bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha wa 2013/14 kutokana na kodi ya simu.
Kodi hizo za Shilingi 1,000 kwa mwezi ambazo Waziri Dk Mgimwa akiwasilisha makaridio ya mapato na matumzi kwa Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2013/14 Bungeni mwezi Juni tarehe 13, mwaka hu, alisema:
- Zilianza kutozwa na serikali mwanzoni mwa Julai, mwaka huu hivyo kuwalazimu wamiliki wa simu nchini kuingia gharama zaidi kwa asilimia 14.5 ili kuongeza mapato.
- Serikali inakusudia kutoza ushuru kwenye huduma zote za simu za mkononi, kama chanzo kipya cha mapato ya badala ya muda wa maongezi peke yake.
- Asilimia 2.5 ya mapato ya kodi hiyo yatatumika kugharimia elimu nchini kwa kuzingatia mapendekezo ya Kamati Maalumu ya Spika ya Kushauri kuhusu mapato na matumizi ya Serikali.
- Inaanzishwa kodi ya zuio ya asilimia 10 ya kamisheni ya usafirishaji wa fedha kwa njia ya simu za mkononi ambazo zitakusanywa na kampuni za simu kutoka kwa Wakala wanaotoa huduma hizo kupitia simu za mkononi.
- Mapendekezo hayo ni utekelezaji wa ushauri wa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), itafute vyanzo vipya vya kodi ili kuongeza mapato ya Serikali.
Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2ahiqplOI
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment