Monday, 17 October 2016

[wanabidii] Re: Mkuu wa wilaya ya Iringa Akutana na wamiliki wa Daladala

HABARI YAKO,

SAMAHANI NAOMBA KUULIZA WEWE NI PR WA HAWA WATU AU??? MAANA UMEKUWA HAUELEWEKI MARA STORI HIZI MARA STORI ZILE.... ZINGINE HAZIELEWEKI.

2016-10-17 20:52 GMT+03:00 mathias canal <canalmathias@gmail.com>:
CODES...!

Na Mathias Canal

Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela amekutana na umoja wa wamiliki wa Daladala Wilayani Iringa katika ukumbi wa Siasa na kilimo kwa lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazo wakabili.

Wakizungumza mbele ya Mkuu wa wilaya hiyo Baadhi ya madereva na Makondakta
wameomba kurudishwa katika Stendi ya miyomboni kama ilivyo kuwa hapo
awali wakidai kuwa eneo la walilohamishiwa kwa sasa la Mashine tatu ni finyu na lina msongamano
mkubwa wa watu jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa wananchi.

Dc Kasesela
amesema kuwa kurudi katika standi ya miyomboni ni jambo lisilo wezekana
kutokana na eneo hilo kuwa dogo na limezungukwa na makazi ya
watu pamoja na majengo makubwa ya biashara jambo ambalo linafanya eneo hilo kuwa hatarishi
zaidi kama iwapo kunaweza kutokea janga la moto.

"Unajua Miyomboni ni
padogo sana pia pamejibana sasa kama ikitokea moto umewaka pale ni ngumu
sana kupafikia kwa wepesi lakini pia Watu wa zima moto ndio
waliopendekeza kuwa kituo kile kihamishwe sasa nadhani mnafahamu kuwa
sheria ya zimamoto huwa ni ngumu kuipinga" Alisema Kasesera

Lakini pia
amewataka madereva kuacha kutumika kisiasa kwani wanaofanya hivo
wanafanya kwa maslahi yao binafsi.

KAWAIDA...!

Mkuu wa wilaya ya Iringa Akutana na wamiliki wa Daladala

Na Mathias Canal

Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela amekutana na umoja wa wamiliki wa Daladala Wilayani Iringa katika ukumbi wa Siasa na kilimo kwa lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazo wakabili.

Wakizungumza mbele ya Mkuu wa wilaya hiyo Baadhi ya madereva na Makondakta wameomba kurudishwa katika Stendi ya miyomboni kama ilivyo kuwa hapo awali wakidai kuwa eneo la walilohamishiwa kwa sasa la Mashine tatu ni finyu na lina msongamano mkubwa wa watu jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa wananchi.

Dc Kasesela amesema kuwa kurudi katika standi ya miyomboni ni jambo lisilo wezekana kutokana na eneo hilo kuwa dogo na limezungukwa na makazi ya watu pamoja na majengo makubwa ya biashara jambo ambalo linafanya eneo hilo kuwa hatarishi zaidi kama iwapo kunaweza kutokea janga la moto.

"Unajua Miyomboni ni padogo sana pia pamejibana sasa kama ikitokea moto umewaka pale ni ngumu sana kupafikia kwa wepesi lakini pia Watu wa zima moto ndio waliopendekeza kuwa kituo kile kihamishwe sasa nadhani mnafahamu kuwa sheria ya zimamoto huwa ni ngumu kuipinga" Alisema Kasesera

Lakini pia amewataka madereva kuacha kutumika kisiasa kwani wanaofanya hivo wanafanya kwa maslahi yao binafsi.

Cathbert Angelo Kajuna,
Founder and Mananging Director
Kajunason Blog,
P.O Box 6482,
Dar es Salaam.
Tel:
+255 787 999 774
Alt:  +255 765 253 445
www.kajunason.blogspot.com
"Everything is Possible Through Peace & Stability''

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment