Jamani wanabidii, naoana mjadala umepamba moto, nashukuru mjadala wenu mzuri, lakini napenda niwaamue kidogo naona wafuasi wa ukawa wakiambiwa ukweli wanakuja juu, nakutoa lugha kali mithili ya matusi hivi...!
Ushahuri wangu, nawaomba wanaukawa kila mnacho kifanya tumieni neno kwa KWA FAIDA YA UKAWA hili neno kwa faida ya Taifa letu mnakosea, kwa kuwa maana yake inajumuisha watanzania hata ambao hawajawekeza kwenye siasa kama biashara yao, basi hili maana yake mnatunyan'ganya haki zetu za msingi, kwa kutumia utanzania wetu kueneza na kuendeleza biashara yenu ya siasa bila kukubaliana na sisi,.
"we have neither compromized with chadema nor ukawa to trade in the name of our Tanzanianship, in our totality as citizens of the United Republic of Tanzania" claiming to perform their kingship in the name of the benefits of the nation is directly adjusting to the infringement of our rights. should they do so..!
Bakini UKAWA kwenu !, TANZANIA ni ya watu wengi, Ukishabikia ukawa wewe ndo uko ukawa si, watanzania wote................
Tufanye siasa kistaarabu.
Godfrey Obonyo (2016)
0 comments:
Post a Comment