Wednesday, 12 October 2016

Re: [wanabidii] Sijawahi kuona kiongozi strategic kama Rais Magufuli!

Wekeni akiba ya maneno.
em

2016-10-12 4:58 GMT-04:00 'Zaidan Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Hatuna budi kumshukuru sana Mungu kwani ndiye aliyetuletea kiongozi huyu. Tulikuwa kama tuko jangwani halafu hatuna msaada. lakini Mungu katusikia na katuona.

On Thursday, October 6, 2016 8:57 PM, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Raisi Magufuli kwa kweli nimemvulia kofia, huyu jamaa anaielewa hii Dunia, watu kaliba ya
Pombe Magufuli (PhD) ndiyo watu ambao hufanikiwa maishani kwa kila wakifanyacho!

Ukiangalia Uraisi wake tangu ameingia, anafanya mambo muhimu tu, au ana uwezo mkubwa wa kutengenisha vitu muhimu na vile visivyo muhimu, angalia ziara zake alikwenda Rwanda na Uganda huko kote ni kwa sababu alikuwa anapigania SGR project baadaye tukasikia Rwanda wamewatosa Kenya na kujiunga na SGR ya kwetu, na Uganda ni kwa sababu ya Bomba la mafuta baadaye tukasikia Uganda wamewatosa Kenya na kuamua kutumia Bandari yetu ya Tanga, huko kwingine koote mara commonwealth, au AU mara sijui Japan na viongozi wa Kiafrika ni talk shop tu na tunawakilishwa na aidha Balozi, W/Mkuu au Makamu wa rais!

Sasa leo hii rais wa Kongo (DRC) ametua nchini na yaliyoongewa na kuafikiwa sina haja ya kuyarudia, tusisahau pia soko la Air Tanzania yetu nchini Kongo limegusiwa, kwamba Air Tanzania itakuwa inaruka kwenda Kongo, hakika sijawahi kuona ktk maisha yangu Raisi strategic na asiyeyumbishwa kama Pombe Magufuli!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment