Sunday, 2 October 2016

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Mnaohamia Dodoma mjitahadhari

Ndugu Wanazuoni!

Pamoja na jitihada zinazofanyika hapa kupeana taarifa kwa jinsi ya kuepuka maafa makubwa kama haya, [na mimi niseme wazi, huenda sisi wengine tukawa wahanga watarajiwa] lakini ninaona kuna jitihada mbadala za kujaribu kurusha lawama kwa wahanga wa maafa haya. Haileti mantiki yeyote wala justification kusema watafiti hawa 'walijitakia' maaafa haya eti kwa kuwa hawakuwa na escort [labda kwa kuwa walikuwa wabanizi kulipa posho ya siku]. Fikra kama hizi zinajaribu kwa namna moja kuhalalisha hawa wanakijiji wanyama walichokifanya...... Unautoa wapi ujasiri wa kusema hivyo?

Ndugu zangu, siku zote nimekuwa nikisisitiza ufuatwaji wa sheria, kwa kila RAIA, awe Kiongozi au raia wa kawaida. Hatuwezi kuhalalisha mambo ya kinyama eti kwa kuwa yamefanywa na wananchi wenye hasira kali! Unakuta mtu anachomwa moto mtaani eti ameiba simu na watu wanashangilia..... [   ]. Ni mara ngapi tunakuja kutambua hao waliochomwa hawakukosa?

Vitendo kama hivi vimekuwa vikiendekezwa sana. Huko vijijini wanakamata mtu wanapiga wanamchoma moto Polisi wanaenda kuchukua mzoga wao na hakuna hatua zaidi. Wanakijiji wanabaki wakijisifia, na wageni wengi wamekuwa wakiuawa kwa style kama hii wengine wakisingiziwa wizi, 'ufreemson' au hata wizi wa wake/mabinti za watu. Maisha yamekuwa hayana uhakika na ya kinyama kama enzi za kina Thomas Hobbes!  

Kiuwajibikaji, nchi za wenzetu matukio kama haya hayawezi kumuacha Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa wanaojinadi kuwa ndio wenyeviti wa ulinzi na usalama lakini hawahubiri utii wa sheria na kuiachia mahakama kuamua hatia za watuhumiwa! THEY NEED TO GO. 

Mimi nilitaka kumwelewa Bernard Baha, kijiji kama hicho kilipaswa kuwa harassed mpaka kwenye uti wa mgongo, watu wakeshe japo wiki moja tu ili iwe fundisho kwa vijiji vingine. Uzuri siku hizi taarifa zinasambaa sana. Hamishia  kambi ya jeshi hapo wakeshe nao 7 days tu, naamini siku ya tatu tu watataja waliotekeleza mauaji hayo wakaburuzwe Mahakamani. Naamini pia siku nyingine wataheshimu uhai wa watu wasiowajua sio hapo tu, ila vijiji vyote.

We cannot condone extrajudicial killings halafu tunataka kujiita wastaarabu, wasomi na wanazuoni.... HAIWEZEKANI HATA KIDOGO.

Wasaalam! 

2016-10-03 8:14 GMT+03:00 Hildegarda Kiwasila khildegarda@yahoo.co.uk [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>:
 


Wote taarifa ya habari tumeisikia-wamesema barua zilikutwa kila kona hadi vijijini. Hukuwasikia wakisema-walikuwa na kiongozi wa kijiji au kitongoji katika eneo walipouawa au kusema kulikuwa na kiongozi wa eneo kama escort ambaye naye ameuawa. Kuna tofauti hapa. Barua ikiwa ofisini and so what? Tunazungumzia escort hata kama ofisini barua ipo na huenda viongozi wapo na pilikapilika na wala hawajazisoma, zimefunguliwa na sekretari au kiongozi kaiweka katika file. Muhimu hata kama una barua ya ulikotoka na kiongozi wa kijiji amekupa barua na escort wa kuwatambulisha kwa wakazi au kiongozi wa vitongoji na mabalozi nao kueleza wanakaya wao au mabalozi wa huko na huyo escort mnae. Mtumishi wa kilimo Kata alikuwepo naye alichomwa moto. Kama hayupo wa Kata wa Tarafa au Mtumishi wa ugani wa huko hata kama ni wa misitu, maendeleo mnakuwa naye anayejulikana na kujua eneo ndio issue. Ni kazi zao pia wakiwa vijijini kufanya ushirikiano kikazi na hawa ndio wanaowashauri viongozi wa Kata na vijiji.

Ukiwa unahoji watu majumbani pia unasindikizwa na balozi akimaliza anamkabidhi mwezake awe nanyi katika kaya au mashamba kukagua au visima vya maji etc. Ukiingia kayani kuhoji-unauliza kama kuna Baba mwenyenyumba au kiongozi wa kaya, unamuelewesha anaelewa kama anakubali kuhojiwa au la. Asije akakukuta unaongea na mkewe hajatoa ruhusa na haujui utafiti, akifika kama hakuwepo unamuelewesha na msindikizaji yupo anamwelewesha kinachoendelea. Ama sivyo mke atapigwa kwa kuonewa kimbelembele kuongea na wageni haja ruhusiwa. Mwingine anakuwa na ugomvi akifika na unamuhoji sebuleni kwa vile hakuna nafasi nyingine ya maswali ya faragha-unafumaniwa. Kisingizio-kakukuta ndani ya nyumba. Yalimkuta mwenzetu Arusha Mjini Unga limited Profesa mmoja wa IRA-UDSM tukiwa pamoja mtaa mmoja ila tumetawanyika nyumba mbali mbali (na akisoma taarifa hii nisemayo hapa atajijua na kukumbuka). Bahati nzuri tulikuwa jirani tukienda mtaa mmoja tukimaliza sample yetu tunaingia mtaa mwingine msindikizaji anatujulisha kila kaya anakuacha na kuendelea kukabidhi wengine kisha anarudi kuwakagua na aliyemaliza anapelekwa nyumba nyingine as per sampling methodology. Asiposikia yowe yule msindikizaji alikimbilia mara palipokuwa na zari hilo. Tukamkuta mtafiti eti kafumaniwa! Excuses za ajabu zipo na angepigwa akaumizwa na huyo bwana akijua kabisa kuwa kuna wageni wa utafiti mtaani kwani tukitumia watu wengi kama field assistants wametapakaa na viongozi wa eneo kila kona mazungumzo na wengine kuhoji kwa nini wao hawahojiwi wanarukwa (sampling). Kwani wengine huombaga wahojiwe au mashamba yao yafanyiwe utafiti. Mume akitafuta tu sababu ya kuweka evidence ya magomvi na mkewe.

Kama ni nyumba ya kupanga na landlord yupo au mwakilishi wake-mnamwelewesha kwanza kabla ya kuanza kuhoji wapangaji. Wanachoogopa landlords ni masuala ya kodi labda choo kilivyo, shimo la taka na michango ya kuzoa takataka etc. Wewe unafika unahoji mpangaji mojakwamoja-ukiondoka anatimuliwa na kimbelembele chake! Kwenye Boma-Mkuu wa Boma kwanza kisha anatoa ruhusa unaingia sample ya boma kama mlivyopanga sampling yenu. sio ufike unajiingilia tu kaya za Boma-utakula mkuki wa Morani. Ukienda Roma-fanya kama Warumi wafanyavyo. Ukifika Botwasna-Mkuu wa Gho'tla kwanza kama hapa kwetu ni Boma la Maasai-Takwenya?

Na sasa SIASA ya vyama vingi na Kutumbua viongozi hadharani kufwanywako na Viongozi wa CCM pamoja na Mh Rais Jembe na akina Waziri Mkuu, waziri wa Ardhi Lukuvi etc. Mambo kama haya ya visingizio vya kuvamia vituo vya polisi na mabo ya mauaji ya ajabu kuchoma moto mtu eti kadhania mchawi, jambazi, mnyonya damu-yatakuwa mengi. Unamtumbua mtu kitambi kinaporomoka; nyumba ndogo haipati heal, ndugu na jamaa wanamuona hadharani akitumbuliwa na pingu mikononi, jamaa akitumia cheo kuiba pesa na kutishia watu, kutamba kila kona leo kama uso mdogo kama thumuni madeni hayalipiki; watoto ulaya na private schools hawasomi. Mama haendeshi gari anapanda bodaboda! Kiama chaja kutokana na mwafrika nyumbu mbongo kisasi ndio tija kwake ya kulinda ego yake. Eti anataka kutumbuliwa iwe Siri wakati akiibia umma na kuonekana na kitambi na majumba, magari bila ya siri ni physical items! Watafiti jihadharini, visingizio vingi vitatumika!! Mchungaji awajibishw na kanisa lake lifute? Mungu hufundisha viongozi wa dini waue wasio na hatia au waue tu?

Tunaongelea reality ay kuwepo barua na usindikizaji sio barua tu ofisini. Mbona unamwelekeza na anafundishwa kuwa Ukimwi unaua, matakataka ya migodini mnayohitaji yanakemikali zina madhara mkiyataka yatawamaliza na wanaona wenzao wakiumwa hadi kufa. Lakini bado wanavamia migodi au kwenda pekupeku bila kodomu na mabanda ya chapuchapu (Shutashuta) kibao migodini. Mapambano na askari waliondolewa na jana yake mashimo yalititia watu wakafukiwa na kufa gharama kwa GVT kuwafukua? Hapo ujue kuwa Information dissemination or Education for awareness raising is vital but not sufficient for change in behaviour or practices-watabadilisha taarifa tu inapotoka from source to recepient. Escort baada ya taarifa muhimu ndugu yangu Hii ni reality my experiences sio faking issues kisiasa!!

Kama Kawa

--------------------------------------------
On Mon, 3/10/16, 'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Mnaohamia Dodoma mjitahadhari
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>, "Wanazuoni@yahoogroups.com" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
Date: Monday, 3 October, 2016, 7:36

Nimesikia
kwenye taarifa ya habari kuwa procedures zote
zilifuatwa!
LKK                  
                                       
                    On Monday, October 3,
2016 6:28 AM, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii


<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ndugu Baha, kama kawaida (kama
Kawa) nina marefu ya kuongea kuhusu suala hili kwani
nimeuishi nimeona mengi.

Samahani niseme kwamba-Nimeiona taarifa ya
wataalamu wa kilimo kuchomwa Dodoma. Media ilionyesha na
kusimulia kilichotokea niliona kupitia ITV saa mbili usiku.
Ninasimama pande mbili zote zina makosa.

Kama waliotoa taarifa walieleza ukweli yaani
watu wa serikali na media- MAKOSA YAPO PANDE ZOTE MBILI
YAANI WANANCHI NA WANASAYANSI WATAALAMU WA UDONGO WATUMISHI
WA SERIKALI.


Kwa wataalamu-Kosa lao ni kuingia kijijini BILA
ay KUONGOZWA na viongozi wa eneo. Protocol pamoja na kupata
barua Kiwizara, Mkoa, Wilaya, Tarafa, Kata, Kijiji-Mnafika
kijijini na baraua ya Kata na mnawapa RATIBA ya Kazi na
kuomba Escort. Msindikizaji analipwa posho ya kutwa. Kwanza
mnakuwa na siku mliyopanga ya kufikia kata na vijiji vyote
vya kazi yenu na mtakwenda na Mtendaji Kata au mtu mwingine
atakaye mchagua. Huko atawakabidhi na kuwaelezea viongozi
hapo na mtawapa Ratiba ya kazi na kila kijiji kitachagua
msindikizaji mpaka mtakapoona hamumuhitaji mnalielewa eneo
au wananchi wanawafahamu na kuifahamu kazi yenu. Kijiji
kikiwa kikubwa mnakokwenda Vitongojini mnasindikizwa na
kiongozi wa kijiji au mwanakamati aliyechaguliwa na
kuwakabidhi kwa kiongozi wa kitongoji au mmojawapo wa Balozi
aliyeagizwa akusaidieni kuwatambulisha kwa mabalozi wengine
au katika eneo la utafiti. Kijiji kinawapa barua ya
utambulisho mnatembea nayo na inapigwa muhuri wa kijini.
Barua za utambulisho ni sehemu ya annex ya report yenu na
wale waliohojiwa kama viongozi wa madaraka na sekta
mbalimbali. Kama mnakaa vikao kijijini-majina ya
waliohudhuria vikao ni sehemu appendices ya taarifa yenu
kwani-wakija kukataa maamuzi yaliyofikiwa au kuwa
hawakuhusishwa hawajui kinachoendelea-evidence ya majina yao
na signatures zao zipo hapo na photos za vikao pia. Kama ni
Valuation of property for compensation-wanampiga picha pale
katika mali yake na anatia sahihi fomu mpaka ya vidole na
mashaini ni majirani na kiongozi wa eneo.

Protocol ya serikali kila
sekta ipo na general protocol inajulikana kwa mtafiti,
mwanasiasa au mtaalamu mtumishi wa ugani, land surveyor,
wildlife, forester, community development, researcher awe wa
sekta yoyote hata udongo!!

Kama umeacha barua ya vitambulisho ofisini-iwe
mkoani, wilayani, kijijini, kitongoji na huna escort-tegemea
yatakukuta tu ya aina yoyote ile iwe kuibiwa, kubakwa,
kuuawa, kuumizwa. Escort yako inategemea pia sekta yako ya
kazi. Unaondoka na mtaalamu wa Kilimo kutoka Wilaya, Tarafa
au Kata inakwenda naye vijijini. Hasa ni yule ambae
anajulikana huko na hufanya kazi huko. Inawezekana Mtaalamu
hata wa Kilimo Kata huwa hafiki vijijini, hukaa Kata Mjini
haendi katika vijiji vya kata yake mpaka kuwepo na ugeni
(kujifanya anafanyakazi kumbe no) au kuwe na Semina (za
posho sasa zimetumbukliwa!)-hivyo-HAWAMFAHAMU! Hata ukienda
naye siku ya kazi yako watakuuliza Umtambulishe huyo nani
hawamjui! Atajifanya wanamjua-watamshushua kuwa-hawamuoni
haendi huko anakaa makao makuu ya Kata na Kata ina vijiji 10
radious ya kijiji cha mbali kutoka Kata ni 70 km. 
Hawamuoni na kuwa hana pikipiki na umbali utata, misitu,
wanyama pori na sababu nyingine za kizembe sio
kimazingira-hawaendi. Na kama hapendwi huko kutokana na
mahusiano yake na lugha zake mbaya-ukienda naye huyo
utaharibu  kazi yako. Tarafa au Kata au Wilaya itakwambia
na kukushauri kuwa ukienda huko mtu gani atakufaa zaidi
Kikata ai Tarafa au kijiji kati ya Wataalamu. Kijijini
ukifika wanaweza wakakupa hata Muhudumu (Volunteer) kijana,
Mtu Mzima au mtu tu ambaye anajulikana sana kila kona
kukuongozeni sio lazima mtaalamu au mwanakamati-ni mtu
maarufu anayelijua eneo na kujulikana kila kona. Hapo
hamtopata utata kama huu mkizingatia protocol ya nchi
hii.

Inapofikia mnakwenda
eneo lenye wanyamapori hatarishi-pamoja na escort ya sekta
husikana vijijini mnakuwa na Game Scout mwenye bunduki hata
kama hakuvaa uniform kwa kuogopa majambazi yasiwavizie
kumnyang'anya 'Bunduki' (inategemea na eneo).
Bunduki ni kwa usalama kama atatokea mnyama mroho wa nyama
ya binadamu SIO ya kuua watu/raia.

Communication of Information ni suala kila
Mtumishi wa Ugani hujifunza shuleni-jinsi taarifa inavyoweza
kubadilika-kwa uzuri kupambwa au kuharibiwa. Uzushi ukawa
mwingi na kama hamna msindikizaji kama nilivyosema hapo
juu-hata msafara wa viongozi unaweza ukawekewa magogo au
kuvamiwa. Hata ugawaji wa Dawa za minyoo-hutangazwa vibaya
(Obama analeta dawa za kuua uzazi, kuua urijali na baadhi ya
wanafunzi hufungiwa makwao wasiende kwenye de-worming na
wanaume wengi hawaendi ila wanawake huwa wengi mijini na
vijijini). Sembuse watafiti wa udongo na uzushi wa kutaka
kuiuza ardhi kwa wawekezaji na kuwahamisha wananchi wenye
customary land yao! Itakuwa ni uzushi hao wanawake walioona
wanyonya damu kama kisingizio zaidi!! Nadharia ya wanyonya
damu au blood suckers nimeikuta toka utoto ikitufundisha
kuwa wazungu au wanyonyadamu wa kigeni wakinyonya watu
katika maeneo ya mapori hasa plantation economy. Na Simba
Chai alikuwepo maeneo ya Tabata. Kufikia utu uzima Simba
Chai wa Tabata kumbe alikuwa mtu mmoja Mbakaji  akibaka
Wanawake akijificha porini kwenye misitu na mashamba ya
korosho enzi zule in 1960s!

Tukiwa katika tafiti za maji North Eastern part
of Igunga (1990) tumemaliza kazi tunarudi wilayani tukapotea
njia kwa bahati tuliwakuta akina mama wanakwenda kuchota
maji tunasimamisha gari kutaka kupata msaada watuelekeze
njia. Unyamwezini na Usukumani baadhi ya maeneo unakuta miti
hakuna eneo leupe unapita short cut popote pale ili mradi
utatokea main road ambayo hatukuiona kwa urahisi. Ni hivi
maeneo mengine degraded kama Dodoma pia. Akina mama hao
kuona tumesimamisha gari wakakimbia kuingia ktk vichaka
ambavyo miti yake ina miiba. Bahati mwenzetu aliyekuwa
Msukuma alikuwa akiwapigia kelele kwa kiligha kuwa sisi tu
watu wazuri tumepotea njia lakini hawakusimama. Hofu yetu
ilikuwa jinsi walivyokimbia na kutupa ndoo na watoto
mgongoni pamoja nao wakichomwa na miiba ya miti wasije
wanajichoma machoni na kupofuka au kujikana na kupata
tenenus! hawakusimama! Tulihangaika tukafika na kufanikiwa
kufika Tabora mjini.

Ukiwa
vijiji vilivyopakana na wildlife protected area lazima
utapewa escort ambayo ni mwindaji haramu wao viongozi
wanamjua. Huyo atawasaidia msiingie na kutumbukia katima
mashimo ambayo wawindaji haram huchimba, kuweka
mabanio/mitego  chini ndani ya shimo ya kumnasa mnyama
atumbukie kisha anaswe asitoke ay afe kama wameweka mshale
wa sumu himo au kupaka sumu ktk miti ya banio hilo. Kesho au
wajapo kufuatilia mitego yao humuua au kumchinja na
kutengeneza nyama ya kuuza au ya Kimoro (mambo ya vijiji nje
ya serengeti). Ni hivyo mambo ya mitego ya aina mbali mbali
vijiji jirani ya game reserves and national parks. Ukienda
bila ya escort wewe utatumbukia na kuumia au kufa kwani
shimo hufunikwa majani kiutaalamu na huwezi kulijua lipo ila
wenyewe wanajua wapi yapo na hawapitishi mifugo huko au
wanavijiji kupita hovyo maeneo hayo. Jifanye hutaki
kuhusisha wana vijiji ili usitoe hela ya posho ya kutwa uile
wewe kikanjana UFE!!


USIFUTE KIJIJI BAHA, Sio kila kiongozi wa
halmashauri anajulikana katika kitongoji au ubalozi. Hata
walimu wanapoadhibu wanafunzi huvamiwa kupigwa,
kubakwa-utafuta vingapi TZ? Eti wazazi huvamia nyumba za
walimu na kuwachapa au kumchapa mwalimu mbele ya wanafunzi
kwa kuwaadhibu watoto wao kisha kesi huenda karne. Walimu
kukaa mijini badala ya hapo kijijini kwa kuogopa kuvamiwa na
watumishi ugani kukaa zaidi mijini. Ndio maana kwa kuogomba
revenge kijijini na Mitaani mijini-mengi maovu, uchafu
hayakemewi waharifu hawakamatwi kwa viongozi na extension
staff kuogopa vengeance attitude ya wananchi wenzao.
Kumuweka polisi na magistrate mitaani aishi na raia
kumeondoa ufanisi wao bali rushwa tu ili alinde usalama
wake. Polis- na Mgambo wachache kutupiwa mawe kupopolewa na
kufukuzwa na wananchi kama Paka na Nyau eti na wananchi
wenye Hasira (A Political Slang!) wameona wanaonewa
kuondolewa barabarani kuuza bidhaa zao nao wanaganga njaa! 

Wanavamia vituo vya polisi kuua na kuiba
silaha; wanafunzi wanatakiwa wanywe uji makwao ndio wapewe
dawa kali ya kuua minyoo (Prazquantel) lakini wanakwenda na
njaa akipewa dawa-anazimia! wazazi wanakuja na mapanga
kupiga walimu na watumishi wa zahanati. Kwa sasa wakati wa
deworming uji hupikwa shule wanapewa wanakula washibe ndio
wapewe dawa hiyo/hizo. Watapimwa urefu na uzito ili
ijulikane apewe dawa kiasi gani-wazazi wanawakataza kuwa
akipimwa uzito mashine inachukua damu na atadumaa, na hizo
dawa zitaua uzazi na nonino itakufa! Pamoja na elimu ya afya
kwa umma kijijini, vitongoji, kamati za afya za wazazi,
watoto, walimu kukaa pamoja-uongo huu bado upo. Na sasa
vyama vingi ndio uzushi huu ni CCM na vibaraka wao kuhamisha
tofauti za kichama kuziingiza mahala kwingine kwa visingizio
ili kukomoana! Land Use Planning Dodoma wanakohamishia ofisi
za Wizara kutoka DSM na wanaokimbilia kununua maeneo
iangaliwe mara 2 na izingatie miongozo husika ama Land
Conflicts zitaimaliza nchi hii!

1989-kijiji kimojawapo Njombe  tulikuta
mabwana ardhi hawajaonekana for two weeks-walisepeshwa
kienyeji. Ilitokana na wao kujiona ni wataalamu, wanafanya
kazi ya kupima ardhi kwa ajili ya forest conservation wakati
ule wa HIMA Iringa, Njombe, Makete. Mradi mkubwa wa
kuhifadhi Catchment Forests na Soil and Water Conservation.
Kilimo bora endelevu, upandaji miti, makinga maji kupigwa
mashambani. Katibu Tarafa alipewa Pikipiki na extension
staff wakiendesha -Yamaha from Japan kila koa bodaboda za
serikali kwa watumishi tarafa, Kata, na magari kibao kwa
extension staff. Kwa kutokuzingatia sheria za KIMILA pia
kuwa-huingii ktk eneo la shamba au ardhi ya KIMILA bila ya
Muhusika kufahamishwa; kiongozi wa mila kuhusishwa na
upimaji ardhi au maeneo ya matambiko kama yataingizwa ktk
misitu ya hifadhi na kukubaliana ni jinsi gani wenye
matambiko yao wataingia huko kufanya mila zao au kuzika watu
wa ukoo wao kama eneo litakuwa sehemu ya msitu wa Hifadhi.
Uhifadhi wa misitu yote pamoja na ile ya kulinda Kihansi Dam
ilitakiwa kuzingatia protocol hii ya uhusishaji ambayo
serikali inaitambua WAO Mabwana Ardhi (walijiona
hawaambiliki, wataalamu wasomi) hawakuzingatia MILA.
Waliingia kijiji hicho kuanza kupima na kuweka beacons!
Tulipofika (Mimi na Rie Ordgaard wa Denmark) tulikuta vijana
zaidi ya 2 hawajaonekana for a week wanatafutwa na wenzao na
ofisi yao! baada ya wahusika kuzingatia na kuwaona wazee wa
Mila-waliambiwa wapi walipo wakaenda WAKAWAKUTA hapo CHINI
ya MTI. Waliwakuta kama MAZUZU hawajui kilichowatokea na
kilichokuwa kinaendelea. wakila nini hadi kuishi
haikujulikana na ilitoa fundisho kwa sisi wengine. SIONGEI
UONGO ni FIELD EXPERIENCE. Hukuti katika maeneo mengine mtu
anaingia misitu ya Mila au customary ya mwingine na kuanza
tu kulima au kukata miti bila ya kuomba ruhusa. Huwqezi
kukuta unaingia tu kuzika mtu wako makaburi ya watu wengine
ya ukoo mfano wa Maliaga Ngerengere rural pamoja na kuwa
eneo la makaburi ni kuwa. Na ikiwezekana barabara
itakayojengwa izunguke na kukwepa makaburi hayo kama nafasi
ipo kuepuka kuhamisha makaburi kwa kulazimishwa yaondolewe
mradi tu unataka barabara ipendeze isizunguke ipite tu hapo.
Ndio kesho yake Mti uliong'olewa jana barabara ya
Njombe-Songea unakuta umerudi umesimama kama jana hapo budi
ukamlete Mchungaji-Kakobe au Gwajima!

Pamoja na kusikitika sana na vifo hivi,
upumbavu wa akina mama hao waongo usiachiwe uendelee. Huenda
uzushi uliozuka uliundwa baada ya baraua za utambulisho
kijijini kufika wakaona wawatumie akina mama. Kama wale
ambao huzua kubakwa na Game Scout au maaskari. Mchungaji
akamatwe aadhibiwe, eneo lipo wazi kipara damu hiyo
itanyonywa vipi. Mchugaji alidhania ardhi ya eneo la kanisa
yake itachukuliwa kutokana na utafiti huo. Kama siasa
haijaingia hapa kuifanya TZ haina demokrasia zaidi ya MCC
kuondoa hela zake uonevu wa GVT wa demokrasia mbovu ya
kupora watu ardhi watumishi wake wauawawe kinyama kuikomoa
serikali ya CCM kwani ardhi sasa kuhamishia Dodoma wengi
wataporwa pamoja na ya makanisa ya kilokole. Kitajulikana tu
na iwe fundisho kwani magari ya serikali yana label au
maandiko ya kuonyesha ni ya Kilimo ay Misitu, Wanyama Pori,
Wilaya, Mkoa etc. Hata kama wakazi hawakujulishwa-angalia
label pamoja na kuwa hata daktari feki huingia District na
National Hospital kutibu wagonjwa-wasimamishe waulize
kwanza-mbona hawana kiongozi wa eneo kama wao ni watumishi
halali wa serikali? Subiri jibu, mwende ofisini au polisi
SIO kuwaua!!

Fundisho
lipo-usianze kazi eneo lolote bila ya kuwa na viongozi wa
eneo hilo na kuhakikisha kuwa mnakuwa na mkutano wa hadhara
wa eneo husika kutambulisha kazi yenu na scope yake pia
kutoa mrejesho ikiwezekana kikaratasi kifupi cha kiswahili
na Tangazo la kazi yenu kubandika ktk ofisi za kijiji na
barua kuwafikia mabalozi na wakuu wa vitongoji wa maeneo ya
kazi za utafiti etc. Kupeleka barua Kata na Kijiji
hakusaidii bali kuwa na Escort. Kupoteza mawasiliano na
staff wenzako ina maana hawakuwa na Kiongozi na mwanakijiji
wa eneo hilo la kazi utapoteaje njia?  Kuuana TZ ipo sana
ndani na nje ya familia na mpaka kwa wenye Ualbino. Kuwa na
gari ya Serikali si hoja hata majambazi huweka lebo bandia
ukaiona ya serikali na wengine huvaa magwanda ya FFU, Police
na JWTZ waliyoyaiba na kujifanya maaskari kugagua maeneo,
kuzuia magari unadhani ni askari mnaporwa!

Tujisahihishe ili kupunguza
madhara pande zote za raia na serikali!!

Kama Kawa

--------------------------------------------
On Mon, 3/10/16, bernard baha bahabp2003@yahoo.com
[Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:

Subject: Re:
[Wanazuoni] Mnaohamia Dodoma mjitahadhari

To: Wanazuoni@yahoogroups.com
Date: Monday, 3 October, 2016, 3:36


  


   
     
     
      Dr
Massawe,Ushawahi kwenye utafiti ama
kazi zako kukumbana na wananchi
wenye
hasira za ziada na hata hawajui unachofanya ni nini?
sasa tunapojadiliana hapo hii mifano itupe
mwangaza.
Nimesikitika sana kwa wataalamu
wetu hawa wa udongo kupoteza
maisha tena
kwa mateso makali kama hivyo. Ndio wananchi wetu
hawa, ningekuwa Presida kijiji nakifuta
usajiri na wakaazi
wote wanahama nje kabisa
ya wilaya ama mkoa kwa gharama zao.
Gharama
ya kutrain hyo mambo balaa na hawa wanafanya kwa
moja faida ya taifa lakini immediate
beneficiaries ni wakazi
wa maeneo hayo.
Sasa wamechoma wataalam na vifaa...duh back

to enzi za mifupa!kabisa hii inaingia kwenye news! 21st
Century ndio tulipo!Ok wengi
wanaohamia Dodoma tahadhari ndio ila huu ni uhalifu
ndio maana binafsi nikasema kama kijiji
hakiwezi wataja
wahusika na wanajificha
wapi? kifutwe...wote watajitokeza na
kusema
wahusika na wakati huo viongozi wote wa kijiji ndani
sidhani kama wataalam walianza tu kupima
samples bila ruksa
kwani hata sie wengine
tunaripoti na mara nyingi tunakuwa na

viongozi wa Halmashauri.
B.B


--------------------------------------------

On Sun, 10/2/16, 'Dr. A.
Massawe'
massaweantipas@hotmail.com
[Wanazuoni]
<Wanazuoni@yahoogroups.com>
wrote:
Subject: [Wanazuoni] Mnaohamia Dodoma
mjitahadhari

  To:
"wanazuoni@yahoogroups.com"
<wanazuoni@yahoogroups.com>

  Date: Sunday, October 2,
2016, 2:04 PM

 

 

   

 

 

 

   

 

 

     


       

       


       

 

 

 

 

 

  Yaliyowakuta wenzenu

 

  haya

 
hapa:

 


 

 


 

  Maofisa

 
watatu wa Serikali wateketezwa Dodoma - Habari | Gazeti
la

  ...

 

 

 

 

 

 

 

 

 

     


     

 

     


     

 

 

 

  #yiv4968185048
#yiv4968185048 --

   
#yiv4968185048ygrp-mkp {

  border:1px solid
#d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px

  0;padding:0 10px;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mkp hr {


  border:1px solid #d8d8d8;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mkp
#yiv4968185048hd {

 
color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px

  0;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mkp #yiv4968185048ads
{

 
margin-bottom:10px;}

 


  #yiv4968185048
#yiv4968185048ygrp-mkp .yiv4968185048ad {


  padding:0 0;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mkp .yiv4968185048ad p
{

 
margin:0;}

 

  #yiv4968185048
#yiv4968185048ygrp-mkp .yiv4968185048ad a

{

 
color:#0000ff;text-decoration:none;}

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-sponsor

  #yiv4968185048ygrp-lc {

  font-family:Arial;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-sponsor

  #yiv4968185048ygrp-lc
#yiv4968185048hd {

 
margin:10px

 
0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-sponsor

  #yiv4968185048ygrp-lc
.yiv4968185048ad {

 
margin-bottom:10px;padding:0 0;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048actions {

 
font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048activity {

 
background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048activity span
{

  font-weight:700;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048activity
span:first-child {

 
text-transform:uppercase;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048activity span a {

 
color:#5085b6;text-decoration:none;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048activity span span {

  color:#ff7900;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048activity
span

 
.yiv4968185048underline {

  text-decoration:underline;}


 

 
#yiv4968185048 .yiv4968185048attach {

 
clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px

  0;width:400px;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048attach div a
{

 
text-decoration:none;}

 


  #yiv4968185048
.yiv4968185048attach img {

  border:none;padding-right:5px;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048attach label
{

 
display:block;margin-bottom:5px;}

 

 
#yiv4968185048 .yiv4968185048attach label a {

  text-decoration:none;}

 

  #yiv4968185048 blockquote {


  margin:0 0 0 4px;}

 

 
#yiv4968185048 .yiv4968185048bold {

 
font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048bold a {

  text-decoration:none;}

 

  #yiv4968185048 dd.yiv4968185048last p a {

 
font-family:Verdana;font-weight:700;}

 

 
#yiv4968185048 dd.yiv4968185048last p span {

 
margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}

 

  #yiv4968185048 dd.yiv4968185048last p

 
span.yiv4968185048yshortcuts {

  margin-right:0;}

 

 
#yiv4968185048 div.yiv4968185048attach-table div div a {

  text-decoration:none;}

 

  #yiv4968185048 div.yiv4968185048attach-table
{

  width:400px;}

 

  #yiv4968185048 div.yiv4968185048file-title
a,
#yiv4968185048

  div.yiv4968185048file-title a:active,
#yiv4968185048

 
div.yiv4968185048file-title a:hover, #yiv4968185048

 
div.yiv4968185048file-title a:visited {

  text-decoration:none;}

 

 
#yiv4968185048 div.yiv4968185048photo-title a,

  #yiv4968185048
div.yiv4968185048photo-title a:active,

  #yiv4968185048 div.yiv4968185048photo-title
a:hover,

  #yiv4968185048
div.yiv4968185048photo-title a:visited {


  text-decoration:none;}


 

 
#yiv4968185048 div#yiv4968185048ygrp-mlmsg


  #yiv4968185048ygrp-msg p a
span.yiv4968185048yshortcuts
{

 
font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048green {

  color:#628c2a;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048MsoNormal {

  margin:0 0 0 0;}

 

  #yiv4968185048 o {

  font-size:0;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048photos div {


  float:left;width:72px;}


 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048photos div div {

  border:1px solid

 
#666666;min-height:62px;overflow:hidden;width:62px;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048photos div
label {

 
color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048reco-category
{

  font-size:77%;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048reco-desc {

  font-size:77%;}

 

  #yiv4968185048 .yiv4968185048replbq {

  margin:4px;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-actbar div
a:first-child
{

  margin-right:2px;padding-right:5px;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mlmsg {

 
font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,

  sans-serif;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mlmsg
table {

 
font-size:inherit;font:100%;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mlmsg select,

  #yiv4968185048 input,
#yiv4968185048 textarea {

  font:99% Arial, Helvetica, clean,
sans-serif;}

 

  #yiv4968185048
#yiv4968185048ygrp-mlmsg pre,

#yiv4968185048

  code
{

  font:115%
monospace;}

 

  #yiv4968185048
#yiv4968185048ygrp-mlmsg * {

  line-height:1.22em;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-mlmsg
#yiv4968185048logo
{

  padding-bottom:10px;}

 

 

  #yiv4968185048
#yiv4968185048ygrp-msg p a {

  font-family:Verdana;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-msg

  p#yiv4968185048attach-count span {

 
color:#1E66AE;font-weight:700;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-reco

  #yiv4968185048reco-head {


  color:#ff7900;font-weight:700;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-reco {

 
margin-bottom:20px;padding:0px;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-sponsor

#yiv4968185048ov

  li a
{

 
font-size:130%;text-decoration:none;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-sponsor

#yiv4968185048ov

  li
{

 
font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}

 

  #yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-sponsor
#yiv4968185048ov

  ul {

 
margin:0;padding:0 0 0 8px;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-text {


  font-family:Georgia;}


 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-text p {


  margin:0 0 1em 0;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-text tt {


  font-size:120%;}

 

 
#yiv4968185048 #yiv4968185048ygrp-vital ul li:last-child
{

 
border-right:none !important;

  }

 
#yiv4968185048

    
     

   
   
#yiv1677298662
#yiv1677298662 --
  #yiv1677298662ygrp-mkp
{
border:1px solid
#d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px

0;padding:0 10px;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mkp hr {

border:1px solid #d8d8d8;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mkp
#yiv1677298662hd {

color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
0;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mkp #yiv1677298662ads {
margin-bottom:10px;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mkp
.yiv1677298662ad {
padding:0 0;}

#yiv1677298662
#yiv1677298662ygrp-mkp .yiv1677298662ad p {

margin:0;}

#yiv1677298662
#yiv1677298662ygrp-mkp .yiv1677298662ad a {

color:#0000ff;text-decoration:none;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-sponsor

#yiv1677298662ygrp-lc {

font-family:Arial;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-sponsor

#yiv1677298662ygrp-lc #yiv1677298662hd {

margin:10px

0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}

#yiv1677298662
#yiv1677298662ygrp-sponsor

#yiv1677298662ygrp-lc .yiv1677298662ad {

margin-bottom:10px;padding:0 0;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662actions {

font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}

#yiv1677298662
#yiv1677298662activity {

background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}

#yiv1677298662
#yiv1677298662activity span {

font-weight:700;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662activity span:first-child {
text-transform:uppercase;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662activity span
a {
color:#5085b6;text-decoration:none;}

#yiv1677298662
#yiv1677298662activity span span {

color:#ff7900;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662activity span

.yiv1677298662underline {

text-decoration:underline;}

#yiv1677298662 .yiv1677298662attach {

clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
0;width:400px;}

#yiv1677298662 .yiv1677298662attach div a {
text-decoration:none;}

#yiv1677298662 .yiv1677298662attach img {
border:none;padding-right:5px;}

#yiv1677298662
.yiv1677298662attach label {

display:block;margin-bottom:5px;}

#yiv1677298662 .yiv1677298662attach label a
{
text-decoration:none;}


#yiv1677298662 blockquote {
margin:0 0 0 4px;}

#yiv1677298662 .yiv1677298662bold {

font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}

#yiv1677298662
.yiv1677298662bold a {

text-decoration:none;}


#yiv1677298662 dd.yiv1677298662last p a {

font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv1677298662 dd.yiv1677298662last p span
{

margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}

#yiv1677298662
dd.yiv1677298662last p

span.yiv1677298662yshortcuts {

margin-right:0;}


#yiv1677298662 div.yiv1677298662attach-table div div a {
text-decoration:none;}

#yiv1677298662 div.yiv1677298662attach-table
{
width:400px;}

#yiv1677298662 div.yiv1677298662file-title a,
#yiv1677298662
div.yiv1677298662file-title
a:active, #yiv1677298662

div.yiv1677298662file-title a:hover, #yiv1677298662
div.yiv1677298662file-title a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv1677298662 div.yiv1677298662photo-title
a,
#yiv1677298662
div.yiv1677298662photo-title a:active,

#yiv1677298662 div.yiv1677298662photo-title a:hover,
#yiv1677298662 div.yiv1677298662photo-title
a:visited {
text-decoration:none;}

#yiv1677298662
div#yiv1677298662ygrp-mlmsg

#yiv1677298662ygrp-msg p a span.yiv1677298662yshortcuts {

font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}

#yiv1677298662
.yiv1677298662green {
color:#628c2a;}

#yiv1677298662
.yiv1677298662MsoNormal {
margin:0 0 0
0;}

#yiv1677298662 o {
font-size:0;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662photos div {
float:left;width:72px;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662photos div div
{
border:1px solid

#666666;min-height:62px;overflow:hidden;width:62px;}

#yiv1677298662
#yiv1677298662photos div label {

color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}

#yiv1677298662
#yiv1677298662reco-category {

font-size:77%;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662reco-desc {

font-size:77%;}


#yiv1677298662 .yiv1677298662replbq {

margin:4px;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-actbar div a:first-child
{
margin-right:2px;padding-right:5px;}

#yiv1677298662
#yiv1677298662ygrp-mlmsg {

font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
sans-serif;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mlmsg table
{
font-size:inherit;font:100%;}

#yiv1677298662
#yiv1677298662ygrp-mlmsg select,

#yiv1677298662 input, #yiv1677298662 textarea {
font:99% Arial, Helvetica, clean,
sans-serif;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mlmsg pre,
#yiv1677298662
code {

font:115% monospace;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mlmsg * {

line-height:1.22em;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-mlmsg #yiv1677298662logo
{
padding-bottom:10px;}#yiv1677298662
#yiv1677298662ygrp-msg p a {

font-family:Verdana;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-msg

p#yiv1677298662attach-count span {

color:#1E66AE;font-weight:700;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-reco
#yiv1677298662reco-head {

color:#ff7900;font-weight:700;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-reco {
margin-bottom:20px;padding:0px;}

#yiv1677298662
#yiv1677298662ygrp-sponsor #yiv1677298662ov

li a {

font-size:130%;text-decoration:none;}

#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-sponsor
#yiv1677298662ov
li {

font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}

#yiv1677298662
#yiv1677298662ygrp-sponsor #yiv1677298662ov

ul {
margin:0;padding:0 0 0 8px;}

#yiv1677298662
#yiv1677298662ygrp-text {

font-family:Georgia;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-text p {

margin:0 0 1em 0;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-text tt {

font-size:120%;}


#yiv1677298662 #yiv1677298662ygrp-vital ul li:last-child
{
border-right:none !important;
}
#yiv1677298662


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

__._,_.___

Posted by: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (1)

Have you tried the highest rated email app?
With 4.5 stars in iTunes, the Yahoo Mail app is the highest rated email app on the market. What are you waiting for? Now you can access all your inboxes (Gmail, Outlook, AOL and more) in one place. Never delete an email again with 1000GB of free cloud storage.


.

__,_._,___

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment