Lesian yuko sawa. Elisa una maudhi kwa faida yako siyo kwa faida ya taifa hili.tu mwenye mapenzi mema na taifa hili hawezi kea njia yoyote kushabikia upinzani kufa. Usikejeli hata hayo mabadiiko yapo kwa ajili ya CHADEMA. On 9 Oct 2016 13:33, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Lesian. Soma maneno ya niliyekuwa namjibu utaelewa. Una matatizo sana labda kuna mambo hayakuwa covered shuleni.
> --------------------------------------------
> On Sat, 10/8/16, 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Saturday, October 8, 2016, 3:39 PM
>
> Una maneno ya kuudhi sana ww mzeee,
> huwez kuita viongoz wakuu machizi, nadhani ikifikia wao wawe
> machizi ww utakua nahic mwehu,
> Hua unajiandikia tu, kama hupend inzani kaa kimya dont ypur
> ypur rubbish here, its shit ur writing......ww ulienda
> ujerumani- mijitu mingine cjui kwann inajiondoa ufaham, mzee
> ushazeeka udc hupati tenaaaa...utaendelea kulalamika tu
> Upinzani wanachodai kinaeleweka kabisaaaa..katiba, uvunjifu
> wa katiba, ukandamizwaji wa demkorasi nk nk.....na
> hawajawahoji kuhoji upuuzikama unavyoandika humu ww, kutaka
> watu waone kina mbowe hopless like u.....
> Hawa wanajenga hoja zenye maslahi kwa taifa na kwa wananchi
> mzeeeee, shup up if you dont have somethin worthy
> logic to write, unaniboaaaa
>
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> >Ha haha ha! Siku ukitelemka uwanja wa ndege itabidi
> nikuhoji neno moja uliloandika humu.
> >Lakini nadhani hakandamizi upinzani bali anaondoa
> machizi barabarani. Machizi wanaodhani kupinga ni kupinga
> hata moja ongeza moja ni mbili wapinge?
> >majuzi walienda ujerumani wakaulizwa ni jambo gani hasa
> mnaipinga serikali hii mnaloona wananchi wanapata shida
> mpaka mnataka kuandamana likakosa. Wakashauriwa kutafuta
> namna ya kuendesha siasa kuliko kuwa machizi wanaopinga kila
> kilichochema.
> >Dhana ya Katiba mpya haijafa. Lakini kilichokufa ni
> UKAWA uenyewe.
> >Emma unajua mwili ni mikono, migii, kichwa etc. Kikitoka
> kimoja n si mwili.
> >UKAWA ni CUF CDM etc. Kinapotoka kimoja si UKAWA tena
> >--------------------------------------------
> >On Fri, 10/7/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
> wrote:
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni
> kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa
> kuimeza CUF
> > To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> > Date: Friday, October 7, 2016, 9:20 PM
> >
> > Wazo la
> > UKAWA halijafa. Tumemaliza uchaguzi na yule chizi
> mliyempa
> > rungu ameanza na harakati za kusambaratisha upinzani.
> > Tunashughulikia hilo kwanza.Hatuwezi kwenda kila
> mahali
> > kila siku tukipaaza sauti katiba mpya katiba
> > mpya.em
> > 2016-10-07 13:29 GMT-04:00
> > 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> > Kuna
> > mahala nilipita majuzi na kukuta maandishi VIATU BORA.
> > Siamini kama kweli maduka ya bora yanaishi kwa sababu
> ya
> > maandishi. UKAWA iliumbwa kuisemea katiba ya wananchi.
> > haiwezi kusemwa inaishoi wakati viongoi wake
> > wakig'ang'ana kutaka kuruhusiwa kuzurura. Ndiyo
> > maana ya kifo chake. Uhai wake unaweza kuuelezea ili
> > ijulikane haijafa. La sivyo imebaki kwa maandishi
> ukutani
> > tu.
> >
> > ------------------------------ --------------
> >
> > On Fri, 10/7/16, Emmanuel
> > Muganda <emuganda@gmail.com>
> > wrote:
> >
> >
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni
> > kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao
> wa
> > kuimeza CUF
> >
> > To: "wanabidii@googlegroups.com"
> > <wanabidii@googlegroups.com>
> >
> > Date: Friday, October 7, 2016, 5:46 PM
> >
> >
> >
> > Elisa,Uliiua wewe UKAWA? Mbona sisi wafuasi
> >
> > wake tunaona bado ipo? Ndio maana
> > mmemkazania Lipumba arudi
> >
> > kuwa mwenyekiti ili CUF iwe kama NCCR chini ya
> Mrema,
> >
> > eeh?em
> >
> > 2016-10-06 17:34 GMT-04:00
> >
> > 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> >
> > UKAWA ipi
> >
> > inaongelewa na Heri? Mbona iikufa zamani? Ni lini
> > umesikia
> >
> > habari za Katiba Mpya ya wananchi ikiongelewa? Hata
> > wakati
> >
> > wa kampeni za uchaguzi mwaka jana haikuwa agenda.
> Toka
> >
> > tumemaliza uchaguzi haiongelewi. Nani anasema UKAWA
> > inaishi?
> >
> > Kama ilikufa zamani nani anashughulika nayo
> kuiua????
> >
> >
> >
> > ------------------------------ --------------
> >
> >
> >
> > On Thu, 10/6/16,
> >
> > 'herirashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> >
> > wrote:
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni
> >
> > kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango
> wao
> > wa
> >
> > kuimeza CUF
> >
> >
> >
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> >
> >
> >
> > Date: Thursday, October 6, 2016, 7:59 PM
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> >
> > Nlimsikiliza Mtatiro alipokuwa akihojiwa Cloud fm,
> >
> >
> >
> > nlimwelew
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment