Friday, 7 October 2016

Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF

Kuna mahala nilipita majuzi na kukuta maandishi VIATU BORA. Siamini kama kweli maduka ya bora yanaishi kwa sababu ya maandishi. UKAWA iliumbwa kuisemea katiba ya wananchi. haiwezi kusemwa inaishoi wakati viongoi wake wakig'ang'ana kutaka kuruhusiwa kuzurura. Ndiyo maana ya kifo chake. Uhai wake unaweza kuuelezea ili ijulikane haijafa. La sivyo imebaki kwa maandishi ukutani tu.
--------------------------------------------
On Fri, 10/7/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, October 7, 2016, 5:46 PM

Elisa,Uliiua wewe UKAWA? Mbona sisi wafuasi
wake tunaona bado ipo? Ndio maana mmemkazania Lipumba arudi
kuwa mwenyekiti ili CUF iwe kama NCCR chini ya Mrema,
eeh?em
2016-10-06 17:34 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
UKAWA ipi
inaongelewa na Heri? Mbona iikufa zamani? Ni lini umesikia
habari za Katiba Mpya ya wananchi ikiongelewa? Hata wakati
wa kampeni za uchaguzi mwaka jana haikuwa agenda. Toka
tumemaliza uchaguzi haiongelewi. Nani anasema UKAWA inaishi?
Kama ilikufa zamani nani anashughulika nayo kuiua????

------------------------------ --------------

On Thu, 10/6/16,
'herirashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote: Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni
kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa
kuimeza CUF

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Thursday, October 6, 2016, 7:59 PM Nlimsikiliza Mtatiro alipokuwa akihojiwa Cloud fm,

 nlimwelewa kabisa. Tusipindishe maneno kuna kitu nyuma
ya

 pazia. Prof Lipumba na taasisi ya usajili wa vyama vya
siasa

 kuna juhudi za majusudi kabisa kuua UKAWA. Kama
hukupata

 fursa ya kumsikiliza Mtatiro tafuta mtapata kwa undani

 zaidi.

 Sent from

 Samsung Mobile -------- Original message --------

 From: 'Lesian' via Wanabidii

 <wanabidii@googlegroups.com>

 Date:

 04/10/2016  21:08  (GMT+03:00)

 To:

 wanabidii@googlegroups.com

 Subject: Re:

 [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof.

 Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF Bro muganda

 Wanaopika hizi news ni wale wale wasioitakia

 mema CDM but kwa kweli chama kinasonga mbele kwa kasi
ya

 ajabu, vita ni ya yakutaka kuiua CUF na
kuisambarartisha

 UKAWA

 Prof atengewe pesa a nn wkt

 ashakwishaa Emmanuel

 Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote: Sounds like

 habari hii ni ya kupikwa. Who is

 Tazama?em

 2016-10-04 13:22 GMT-04:00

 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 CHAMA

 cha demokrasia na maendeleo (chadema), kimeelezwa
kutenga

 mamilioni ya shilling kwa lengo mahususi la kummaliza

 kisiasa mwenyekiti

  wa Cuf, Profesa Ibrahim Lipumba. Habari za uhakika kutoka vyanzo kadhaa vya taarifa hivi

 zinabainisha

 wazi chadema kutenga mamilioni hayo kwa lengo la

 kuhahikisha, pamoja na

 mambo mengine Profesa halejei katika uongozi wa juu wa

 Cuf. Kwa mujibu wa taarifa hizo, hofu kuu ya chadema kwa
profesa

 Lipumba

 iwapo ikatokea akarejea kwenye nafasi yake ya mwenyekiti,
ni

 kuvurugika

 kwa mpango wao kabambe wa wa kuimeza CUF, ambao ulianza

 kuratibiwa kwa

 mafanikio na aliyekuwa mgombea urais wao katika uchaguzi
wa

 mwaka wa

 jana, Edward Lowassa. Mpango huo mpya wa kuimeza Cuf, chadema yenye nguvu ya

 kisiasa kwa

 upande wa Tanzania Bara na ilikuwa na mpango wa
kuunganisha

 nguvu za

 kisiasa za chama hicho kwa upande wa Zanzibar ili

 ikiwezekana, kufikia

 mwaka 2020 vyama hivyo viwe vimeungana na kuwa chama

 kimoja. Mpango huo mpya ulilenga kuunganisha umaarufu wa
wanasiasa

 kisiasa wa

 wanasiasa wawili pande mbili za muungano, Edward Lowassa
na

 Maalim Seif

 Sharif Hamad, ili kukiwezesha chadema kukamata dola 
katika

 pande zote

 mbili za muungano 2020. Hata hivyo hatua ya sasa kurejea profesa Lipumba kutaka

 kurejea kwenye

 uongozi wa CUF na kwa sababu ya kulindwa nakatiba ya
chama

 hicho, huku

 pia msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis
Mutungi,

 akionekana

 kubariki hatua hiyo, imezidi kuuchanganya uongozi wa juu
wa

 chadema,

 hali iliyowalazimu kutenga mamilioni ya shilling katika

 kuhakikisha kuwa

  suala hilo haliwezekani. Mbali na kutenga fedha hizo zinazodaiwa kutoka kwa wale

 wanaoitwa

 marafiki wa Lowassa ili kummaliza kisiasa profesa
Lipumba,

 uongozi wa

 chadema unadaiwa kujipanga kutumia kila aina ya silaha,

 ikiwemo vyombo

 vya habari na baadhi ya wasomi nchi kumdhalilisha
Profesa

 Lipumba ili

 aonekana hafai machoni mwa jamii ya kitanzania. Hata hivyo, pamoja na mikakati hiyo ya chadema
kummaliza

 kisiasa Profesa

  Lipumba, kambi ya mwanasiasa huyo, ambayo tayari
inakalia

 ofisi ya kuu

 ya Buguruni, Dar es Salam, imeapa kupambana hadi
mwisho,

 huku ikiweka

 bayana "daima haki itashinda". Kwa mujibu wa kambi ya Profesa Lipumba mgogoro wa sasa
ni

 baina ya kundi

  la waasi nan a wavunjaji wa katiba wakiongozwa na
katibu

 mkuu Maalim

 Seif Sharif Hamadi na kundi la watetezi, walinzi na
walinzi

 wa katiba ya

  chama hicho wakiongozwa na Profesa Lipumba. Kutokana na hali hiyo kundi la Profesa Lipumba linasema
wazi

 kwamba hata

  kama uongozi wa chadema utaamua kukusanya mamilioni ya

 shilingi kwa

 ajili kwa ajili ya kufadhili kundi la la waasi
linaloongozwa

 na Maarif

 Seif Sharifu Hamadi, ni wazi fedha hizo zitateketea bure
kwa

 maelezo

 kuwa hakuna mahala popote duniani ambako dhulma

 ikashinda. Afisa mmoja wa Cuf, aliyeko kambi ya Profesa Lipumba,
Abdul

 Kambaya,

 amekiri kufahamu mpango huo wa chadema kutenga mamilioni
ya

 shilingi kwa

  ajili ya kummaliza mwenyekiti wao, ikiwa ni pamoja

 kuhakikisha harejei

 tena kwenye uongozi wa juu wa chama hicho. "Tunafahamu sana kundi la maarim Seif linaendeshwa na

 chadema na wao

 ndio wanaoamua cha kufanya. Tunafahamu chadema
wametenga

 fedha nyingi

 sana kwa ajili ya kuhahikisha profesa Lipumba harejei
kwenye

 uongozi wa

 juu wa Cuf, lakini niwahakikishie daima haki itashinda

 dhulma tu"

 anasema Kambaya na kuongeza "sisi tupo ofisini, wao wapo msituni. Hii ni vita kati
ya

 watetezi wa

 katiba, hivyo basi kamwe hawaezi kushinda vita hii, na
ndio

 maana

 Profesa Lipumba anaendelea na  majukumu yakle ya
kukisuka

 upya chama

 chetu, huku wao wakihangaika huko nje, wakidhani
Chadema

 itawasaidia. Chanzo Tazama

  -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha

 ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.

 -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole

optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatumaDisclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment