Lesian
Soma hiyo hapo chini halafu utoe maelezo yako kuhusu maandishi yake. Nilitumia lugha ile kussaidia jambo usiloliona na sina namna ya kukusaidia kama hutaliona
--------------------------------------------
On Fri, 10/7/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, October 7, 2016, 9:20 PM
Wazo la
UKAWA halijafa. Tumemaliza uchaguzi na yule chizi mliyempa
rungu ameanza na harakati za kusambaratisha upinzani.
Tunashughulikia hilo kwanza.Hatuwezi kwenda kila mahali
kila siku tukipaaza sauti katiba mpya katiba
mpya.em
2016-10-07 13:29 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kuna
mahala nilipita majuzi na kukuta maandishi VIATU BORA.
Siamini kama kweli maduka ya bora yanaishi kwa sababu ya
maandishi. UKAWA iliumbwa kuisemea katiba ya wananchi.
haiwezi kusemwa inaishoi wakati viongoi wake
wakig'ang'ana kutaka kuruhusiwa kuzurura. Ndiyo
maana ya kifo chake. Uhai wake unaweza kuuelezea ili
ijulikane haijafa. La sivyo imebaki kwa maandishi ukutani
tu.
------------------------------ --------------
On Fri, 10/7/16, Emmanuel
Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni
kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa
kuimeza CUF
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, October 7, 2016, 5:46 PM
Elisa,Uliiua wewe UKAWA? Mbona sisi wafuasi
wake tunaona bado ipo? Ndio maana
mmemkazania Lipumba arudi
kuwa mwenyekiti ili CUF iwe kama NCCR chini ya Mrema,
eeh?em
2016-10-06 17:34 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
UKAWA ipi
inaongelewa na Heri? Mbona iikufa zamani? Ni lini
umesikia
habari za Katiba Mpya ya wananchi ikiongelewa? Hata
wakati
wa kampeni za uchaguzi mwaka jana haikuwa agenda. Toka
tumemaliza uchaguzi haiongelewi. Nani anasema UKAWA
inaishi?
Kama ilikufa zamani nani anashughulika nayo kuiua????
------------------------------ --------------
On Thu, 10/6/16,
'herirashid' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Chadema yatenga mamilioni
kummaliza Prof. Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao
wa
kuimeza CUF
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, October 6, 2016, 7:59 PM
Nlimsikiliza Mtatiro alipokuwa akihojiwa Cloud fm,
nlimwelewa kabisa. Tusipindishe maneno kuna kitu
nyuma
ya
pazia. Prof Lipumba na taasisi ya usajili wa vyama
vya
siasa
kuna juhudi za majusudi kabisa kuua UKAWA. Kama
hukupata
fursa ya kumsikiliza Mtatiro tafuta mtapata kwa
undani
zaidi.
Sent from
Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: 'Lesian' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
Date:
04/10/2016 21:08 (GMT+03:00)
To:
wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re:
[wanabidii] Chadema yatenga mamilioni kummaliza Prof.
Lipumba. Wamuhofia kuvuruga mpango wao wa kuimeza CUF
Bro muganda
Wanaopika hizi news ni wale wale wasioitakia
mema CDM but kwa kweli chama kinasonga mbele kwa kasi
ya
ajabu, vita ni ya yakutaka kuiua CUF na
kuisambarartisha
UKAWA
Prof atengewe pesa a nn wkt
ashakwishaa
Emmanuel
Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
Sounds like
habari hii ni ya kupikwa. Who is
Tazama?em
2016-10-04 13:22 GMT-04:00
'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
CHAMA
cha demokrasia na maendeleo (chadema), kimeelezwa
kutenga
mamilioni ya shilling kwa lengo mahususi la kummaliza
kisiasa mwenyekiti
wa Cuf, Profesa Ibrahim Lipumba.
Habari za uhakika kutoka vyanzo kadhaa vya taarifa
hivi
zinabainisha
wazi chadema kutenga mamilioni hayo kwa lengo la
kuhahikisha, pamoja na
mambo mengine Profesa halejei katika uongozi wa juu
wa
Cuf.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, hofu kuu ya chadema kwa
profesa
Lipumba
iwapo ikatokea akarejea kwenye nafasi yake ya
mwenyekiti,
ni
kuvurugika
kwa mpango wao kabambe wa wa kuimeza CUF, ambao
ulianza
kuratibiwa kwa
mafanikio na aliyekuwa mgombea urais wao katika
uchaguzi
wa
mwaka wa
jana, Edward Lowassa.
Mpango huo mpya wa kuimeza Cuf, chadema yenye nguvu
ya
kisiasa kwa
upande wa Tanzania Bara na ilikuwa na mpango wa
kuunganisha
nguvu za
kisiasa za chama hicho kwa upande wa Zanzibar ili
ikiwezekana, kufikia
mwaka 2020 vyama hivyo viwe vimeungana na kuwa chama
kimoja.
Mpango huo mpya ulilenga kuunganisha umaarufu wa
wanasiasa
kisiasa wa
wanasiasa wawili pande mbili za muungano, Edward
Lowassa
na
Maalim Seif
Sharif Hamad, ili kukiwezesha chadema kukamata dola
katika
pande zote
mbili za muungano 2020.
Hata hivyo hatua ya sasa kurejea profesa Lipumba
kutaka
kurejea kwenye
uongozi wa CUF na kwa sababu ya kulindwa nakatiba ya
chama
hicho, huku
pia msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis
Mutungi,
akionekana
kubariki hatua hiyo, imezidi kuuchanganya uongozi wa
juu
wa
chadema,
hali iliyowalazimu kutenga mamilioni ya shilling
katika
kuhakikisha kuwa
suala hilo haliwezekani.
Mbali na kutenga fedha hizo zinazodaiwa kutoka kwa
wale
wanaoitwa
marafiki wa Lowassa ili kummaliza kisiasa profesa
Lipumba,
uongozi wa
chadema unadaiwa kujipanga kutumia kila aina ya
silaha,
ikiwemo vyombo
vya habari na baadhi ya wasomi nchi kumdhalilisha
Profesa
Lipumba ili
aonekana hafai machoni mwa jamii ya kitanzania.
Hata hivyo, pamoja na mikakati hiyo ya chadema
kummaliza
kisiasa Profesa
Lipumba, kambi ya mwanasiasa huyo, ambayo tayari
inakalia
ofisi ya kuu
ya Buguruni, Dar es Salam, imeapa kupambana hadi
mwisho,
huku ikiweka
bayana "daima haki itashinda".
Kwa mujibu wa kambi ya Profesa Lipumba mgogoro wa
sasa
ni
baina ya kundi
la waasi nan a wavunjaji wa katiba wakiongozwa na
katibu
mkuu Maalim
Seif Sharif Hamadi na kundi la watetezi, walinzi na
walinzi
wa katiba ya
chama hicho wakiongozwa na Profesa Lipumba.
Kutokana na hali hiyo kundi la Profesa Lipumba
linasema
wazi
kwamba hata
kama uongozi wa chadema utaamua kukusanya mamilioni
ya
shilingi kwa
ajili kwa ajili ya kufadhili kundi la la waasi
linaloongozwa
na Maarif
Seif Sharifu Hamadi, ni wazi fedha hizo zitateketea
bure
kwa
maelezo
kuwa hakuna mahala popote duniani ambako dhulma
ikashinda.
Afisa mmoja wa Cuf, aliyeko kambi ya Profesa Lipumba,
Abdul
Kambaya,
amekiri kufahamu mpango huo wa chadema kutenga
mamilioni
ya
shilingi kwa
ajili ya kummaliza mwenyekiti wao, ikiwa ni pamoja
kuhakikisha harejei
tena kwenye uongozi wa juu wa chama hicho.
"Tunafahamu sana kundi la maarim Seif linaendeshwa
na
chadema na wao
ndio wanaoamua cha kufanya. Tunafahamu chadema
wametenga
fedha nyingi
sana kwa ajili ya kuhahikisha profesa Lipumba harejei
kwenye
uongozi wa
juu wa Cuf, lakini niwahakikishie daima haki
itashinda
dhulma tu"
anasema Kambaya na kuongeza
"sisi tupo ofisini, wao wapo msituni. Hii ni vita
kati
ya
watetezi wa
katiba, hivyo basi kamwe hawaezi kushinda vita hii,
na
ndio
maana
Profesa Lipumba anaendelea na majukumu yakle ya
kukisuka
upya chama
chetu, huku wao wakihangaika huko nje, wakidhani
Chadema
itawasaidia.
Chanzo Tazama
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to

googlegroups.com Utapata Email ya

googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment