Monday, 10 October 2016

Re: [wanabidii] chadema watenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba

Si jichanganyi mkuu,  kwani haki ya kuongea ni ya nani?From: 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: 'Godfrey <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, October 10, 2016 4:52 PM
Subject: Re: [wanabidii] chadema watenga mamilioni kummaliza Prof. Lipumba

Obonyo si ukae kimya tu? Mbona unajichangany?
On 10 Oct 2016 16:40, 'Godfrey Obonyo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Jamani wanabidii, naoana mjadala umepamba moto, nashukuru mjadala wenu mzuri, lakini napenda niwaamue kidogo naona wafuasi wa ukawa wakiambiwa ukweli wanakuja juu, nakutoa lugha kali mithili ya matusi hivi...!

Ushahuri wangu, nawaomba wanaukawa kila mnacho kifanya tumieni neno kwa KWA FAIDA YA UKAWA hili neno kwa faida ya Taifa letu mnakosea, kwa kuwa  maana yake inajumuisha watanzania hata ambao hawajawekeza kwenye siasa kama biashara yao, basi hili maana yake mnatunyan'ganya haki zetu za msingi, kwa kutumia utanzania wetu kueneza na kuendeleza biashara yenu ya siasa bila kukubaliana na sisi,.

"we have neither compromized with chadema nor ukawa to trade in the name of our Tanzanianship, in our totality as citizens of the United Republic of Tanzania" claiming to perform their kingship in the name of the benefits of the nation is directly adjusting to the infringement of our rights. should they do so..!

Bakini UKAWA kwenu !, TANZANIA ni ya watu wengi, Ukishabikia ukawa wewe ndo uko ukawa si, watanzania wote................

Tufanye siasa kistaarabu.

Godfrey Obonyo (2016)
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment