Friday, 7 August 2015

Re: [wanabidii] MBOWE::: NI KABURU AU FISADI TU?

Emmanuel
Kama kuna kitu tutajutia ni pale mchakato wa Katiba ulipovurugwa na kwa kweli huwezi kukosa kukinyooshea kidole CHAMA tawala. Kama tukiingia ndani basi wa kulaumiwa ni rais na taasisi yake yote.
Bila kupoteza muda kumjadili kwa sababu anavya jezi tunao wajibu wa kuwasikiliza na kuwachambua wagombea. Ni tatizo kubwa kuwa baadhi yetu wameishaamua wa kupigia kura bila kuyapima mambo kwa mazingira tuliyo nayo. Pengine unakosa kulaumu maana kweli 2005 wengi tulitegemea JK angeweza kuongoza mabadiliko. Lakinikakwama hapo ndipo wengine wanasema nyonga CCM kwa kamba yoyote. Wengine tunafikiri tuangalie mbele na nyuma kwanza. Kazi kubwa.
--------------------------------------------
On Fri, 8/7/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MBOWE::: NI KABURU AU FISADI TU?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, August 7, 2015, 5:53 PM

Elisa,Nakubaliana na wewe mia kwa mia katika
hili. Je, Lowassa kwa kuingia Chadema atabadilika, au
anahitaji tu jukwaa la kuingia Ikulu afanye mambo
yake?Hilo ni swali ambalo hatutapata majibu yake
mpaka labda baada ya miaka miwili ya kwanza ya utawala. Je,
Chadema inao mpango wowote wa
kumdhibitiakionekana anakwenda nje ya mstari?
Hayo ni maswali ambayo tunahitaji kujua majibu yake. Itakuwa
bora aaanze kuwaaambia marafiki zake wasitegemee lolote
kutoka kwake na anapotafuta mtu wa kumsaidia kazi aangalie
ndani ya ukawa kwanza na si kundi la rafiiki zake. Akifanya
hivyo wengine tunaweza kusahau madhambi yake na kuchapa
kazi.Tatizo la Tanzania ni kwamba mpaka sasa
urais si taasisi. Rais ni kila ki. Anachoamua yeye basi
inakuwa sheria, unlike Marekani ambako Obama hawezi kufanya
apendavyobila kushawishi raia na
bunge.em
2015-08-07 3:50 GMT-04:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Emmanuel.

Mimi ninafurahi tunapopingana. Unajua kwa nini? Hoja zikija
zinapingana tunapanua mambo na ndio mwanzo wa kupata
muafaka.



Napenda kwa hiyo kupingana na wewe kwa sehemu ndogo.

Ni kweli kuwa kama tunataka kujisafisha tunatumia kila
nyenzo tuliyo nayo ili mradi tumeondokana na adui na
tumepata muda wa kuhakikisha tunasonga mbele.

Kuna mambo mawili muhimu:

1) Tanzania Bila CCM:

Mazingira yakiwezesha, ndiyo njia ya uhakika. Nimesema mara
nyingi kuwa mmi ni MwanaCCM. Tena natamani CCM itolewe
madarakani ili ijirekebishe ikiwa nje kwa sababu NI VIGUMU
kubadilika ikiwa madarakani.



Lowasa ni njia sahihi? Kwa kuiondoa CCM Lowasa anaweza
kutumika. Hatupingani katika hilo. Tunapopingana ni hapa:
Nini kitafuata baada ya Lowasa kuiondoa Madarakani?

Nguvu ya Lowasa ikiachiwa bila kuikandia humu ni kubwa.
Nguvu ya Chadema ni kubwa pia. Hizi zikikubaliana mambo
yanakwenda sawa. zikipingana hapo kivumbi.

Uwezekano wa kupingana nguvu hizi ni mkubwa kuliko
kukubaliana. Miaka hii kumi Tanzania tumeteswa na mtandao.
Niliwahi kukutana na Mkuu wa Wilaya mmoja mpaka nikajiuliza
aliyemteua alilenga nini hasa? Nikagundua ni madhara ya
mtandao, Lowasa ana mtandao mkubwa. ana serikali tayari.
Mawaziri wake wanafahamika. Wengine hawajitokezi
wasimchafue. Akiwa rais asubuhi jioni anawapa ubunge kesho
yake uwaziri. Tusiwataje hapa.



Mara baada ya Lowasa kuapishwa. akaongozana na Mkuu wa
majeshi kwenda Ikulu. Chadema itamuona baada ya mwezi mmoja
ameisha unda baraza la mawaziri. Itamsikia gazetini. Haina
la kumfanya. Hakuna mwenye ubavu wa kumuuliza mbona mbona!
Anao mtandao wake na haijui Chadema yenu. Wala hakuletwa
chadema na malengo ya chadema. Katika chama chake chadema is
just a disposable instrument for him to become the
president. Hakuingia mpaka alipohakikishiwa atakombea bila
vikwazo urais.



Angalia senario hiyo Wananchi wataidai CHADEMA NA UKAWA
ahadi zake kwa wananchi itaporomoka hakuna mfano.

Kuna mengi ya kuhusu Lowasa asivyoingiana na chadema. Wala
hakutumwa na mtu. Yaani si njama za CCM Lowasa kuwa CHADEMA
kama ni njama za CCM Lowasa hahusiki. Hii inawezekana kama
CCM ilijua kuwa ikimuengua atahamia chadema na akihamia
atavuruga ukawa basi wakamuengua makusudi.



2) Tanzania na CCM madarakani inawezekana:

Njia hii nayo ina njia mbili:

a) Kutarajia CCM kubadilika-Hii mimi naiona. Viongozi wa CCM
walio makini wameishaona. movement za wanasiasa kipindi hiki
ni fundisho kwa kila chama. CCM si mbumbumbu kiasi cha
kutoona hilo. mteule wao ni dalili Kumbuka CCM imethubutu
kuwagusa mafisadi. Huenda CCM ikabadilika-nani anajua?
lakini ikishindikana kuna (b).



b) Kutumia kipindi cha CCM madarakani kujijenga upya. katika
mkorogani huu wa UKAWA tumewaona watu waliopinga ujio wa
Lowasa. Wengine wamekaa kimya lakini tumewajua. Wengine
wamejitokeza wazi tumewaona. hao watasaidia kujijenga upya.
Njia hii ni ndefu inahitaji watu kuondoa ushort sighted Kuwa
na Long term goals

Kwangu kama UKAWA haiwezi ku-abort takeoff ya ndege yake;
namba 2 ni njia sahihi. Crusade imeanza na tunarutubisha
uranium ndani ya mitandao na ndani ya jamii. na tunatarajia
NEC ikimtangaza Lowasa kugombea urais kwa Tiketi ya Chadema
tunaanza kumuandaa Magufuli kwenda Ikulu.

Emma najua wewe si mvivu wa kusoma. Umeisoma makala hii
maana ina mtililiko

Elisa

--------------------------------------------

On Fri, 8/7/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] MBOWE::: NI KABURU AU FISADI
TU?

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Friday, August 7, 2015, 4:41 AM



 Elisa,Kuna mambo mengi ambayo hapo awali

 nimekubaliana na wewe. Katika hili la Lowassa
kuingia

 Chadema hata mimi nilipingana nalo sana tu.Lakini

 baadaye nikatafakari kama nguvu zinazodaiwa alikuwa
nazo

 Lowassa ndani ya CCM tutazitumia ndani ya UKAWA kuiondoa
CCM

 mamlakanibasi I will look at the big

 picture--getting rid of CCM even if we have to use
the devil

 to do it. CCM wamekuwa na mbinu nyingi tu za
kukandamiza

 upinzaniana hata uchaguzi wa 2010 ilibidi vyombo

 vya dola viingilie kati kumnusuru Kikwete. Sisi
tulioshiriki

 kwenye uchaguzi huo kama mawakala tunajua

 Kikwetehakushinda lakini unajua matokeo yake.

 Therefore, to have Lowassa in the team is a plus
on our

 side. Itakuwa ngumu kwa CCM kuiba kura this time kwa

 sababu"mwenzao" tumemnyakua na siri za

 wizi anazijua.em

 2015-08-06 14:41 GMT-04:00

 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Elisa,



 Nimekusoma. Labda nikushauri soma alichoandika
Mpendazoe

 nimeweka hapa jukwaani baadhi ya hoja zako ulizozitoa
hapa

 zitakuwa zimejibiwa na hivyo sihitaji kurudia.



 Ananilea Nkya



  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com







 --------------------------------------------



 On Thu, 8/6/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:







  Subject: Re:

 [wanabidii] MBOWE::: NI KABURU AU FISADI TU?



  To: wanabidii@googlegroups.com



  Date: Thursday, August 6, 2015, 6:52 PM







  Ninafurahi sana kupata



  maeneo ya kutofautiana nawe Ananilea.



  1)   Kama ujio wa Lowasa kwenye



  UKAWA kuna maana sasa nani katika CCM akija UKAWA

 haitakuwa



  sahihi au hatapokelewa katika harakati za ukombozi wa



  watanzania?







  2)   Mazingira yaliyomleta Lowasa



  kwenye UKAWA yakoje? kweli mazingira haya yanaonyesha



  anakuja na kujiunga na harakati za UKAWA kulikomboa

 kutoka



  mikononi mwa CCM au anatafuta kutimiza azma yake

 binafsi?







  Mawazo yangu ni kuwa kama



  tunapigana vita hatuwezi kuokota kila aliyeshika
Bunduki

 na



  kumwambia karibu jeshini kwetu. Hapo ndipo wengine

 tunaona



  UKAWA imepoteza mwelekeo. Lakini pia tunachelea kujua

 kama



  ni UKAWA imepoteza mwelekeo au ni mtu mmoja?

 hatutarajii



  taasisi kama UKAWA kuwa na 'a STRONG MAN'.



  Tulitarajia kuona collective leadership. Sasa
unapoona

 watu



  ambao walitarajiwa kuwa sehemu ya uamuzi wanaonekana

 sio,



  hapo ndipo tunaanza kujiuliza kuliwahi kuwa na UKAWA?

 kwa



  maana ya neno UMOJA! Umoja unaotegemea mtu mmoja sio



  umoja.







  Nkya nakubaliana na



  wewe kuwa CCM ilivuruga mchakato wa wananchi kuandaa

 katiba



  yao. Tulitarajia UKAWA kutuongoza. Sasa kwamba nako



  tunapoteza matumaini kuna njia mbili:







  a) CCM ikiona mbele inaweza kula matapishi yake



  na kurudi kwenye utashi wa wananchi kwa kuanzia

 ilipopotelea



  yaani toleo la pili la tume ya Warioba. Hii ni njia

 nyepesi



  na rahisi. Tunasubiri kusikia watasemaje katika
kampeni



  hizi. Wakiwa ngangali njia ya pili itatupeleka

 tuendako.







  b) Kama CCM itashikilia



  msomamo wake basi baada ya uchaguzi Vyama hivi

 (wasirika



  katika UKAWA) vitajiunga na kujenga imani yake kwa

 wananchi



  na kuanza mchakato upya. Tunawatarajia viongozi kama

 Lipumba



  na Slaa ambao wamejitenga na machafuko yanayoivuruga

 UKAWA.



  hayo ndiyo matumain i yangu.



  Elisa



  --------------------------------------------



  On Thu, 8/6/15, 'ananilea nkya' via



  Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>



  wrote:







   Subject: Re:



  [wanabidii] MBOWE::: NI KABURU AU FISADI TU?



   To: wanabidii@googlegroups.com



   Date: Thursday, August 6, 2015, 4:25 PM







   Elisa niliwahi kuandika



   humu kwamba mapambano ya kuwarejeshea wananchi



  wa Tanzania



   mamlaka yao yaliyoporwa na



  CCM  siyo lelemama.  Nilitoa







  mfano   CCM kupora mamlaka ya wananchi 







  walipozika  pale Dodoma  mwaka 2014 Rasimu ya
Katiba

 ya



   wananchi.



    



    Kuleta



   mabadiliko ya



  kuwarejeshea  wananchi  mamlaka yao,







  kunahitajika nguvu kubwa ya umma na viongozi wenye



  dhamira



   na uvumilivu.   Kunahitajika



  uongozi  wa



   upinzani usioyumba na wenye



  maono.  Kunahitajika viongozi 



   wa



  upinzania wenye dhamira ya dhati, ujasiri, uthubutu
na



   uvumilivu maana  ukombozi   ni kazi



  ngumu 



   yenye misukosuko na maumivu sana. 



  Wengine wakitiwa



   msukosuko kidogo tu



  wanabwaga manyanga.  Hao hawafai



   kuongoza



  mapambano ya kurejesha mamlaka ya wananchi. 



   Lakini zaidi wasaliti katika mapambano ya



  kujeresha 



   mamlaka ya wananchi  ni 



  wengi.   Waoga  nao



   ni wengi zaidi. 



  Wanaotishwa na kutishika kirahisi  nao 







  wamo kibao.



   



   Jambo



  muhimu 



   katika UKAWA ni  je  viongozi 



  wa vyama vyote 



   vilivyounda  umoja huo 



  wana dhamira ya dhati—kuweka



   maslahi ya



  wananchi mbele?   Je wote wana dhamira







  ya kweli na maamuzi yasiyoyumba? Ni aibu kubwa sana
kwa



  mtu



   aliyejinasibu  kuwa  mpigania maslahi



  ya wananchi kusaliti



   mapambano ya ukombozi



  wa wananchi.  Anajilaani mwenyewe. 







  Mpigaji wa kweli anayeweka maslahi ya umma mbele hata



   akijeruhiwa kiasi gani-hawezi kubaga



  manyanga—maana kubaga



   manyanga  ni



  kuwaaambia unaowapigania kuwa umechoka.



    







   Lakini ninachoamini mimi ni



   kwamba kwa ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA, 



  kwa vile



   alikuwa upande wa watawala,  umma



  utawafahamu  viongozi na



   baadhi ya



  wanachama wa vyama vya upinzani ambao walikuwa



   wanafanya kazi  ya kusaliti mapambano ya



  ukombozi wa



   wananchi.







   Pengine chaguzi



   wa mwaka huu



  utatuonyesha mengi ambayo yalikuwa







  yanakwamishwa  jitihada ukombozi  wa pili  wa



   kuhakikisha  wananchi wa taifa hili ndio



  wenye mamlaka ya



   mwisho . Tusubiri.







   Ananilea







  Nkya



    E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com











  --------------------------------------------



   On Thu, 8/6/15, 'ELISA MUHINGO' via



   Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>



   wrote:







   



  Subject:



   [wanabidii] MBOWE::: NI KABURU AU



  FISADI TU?



    To: wanabidii@googlegroups.com



    Date: Thursday, August 6, 2015, 1:49 PM



   



    Ndani ya mtandau huu



  toka



    tumeuanza matusi yanakemewa, na



  hayaruhusiwe.



   niliwahi



   



  kufungiwa na nikarudi kwa neema



   tu.



    Lakini



    hata kwa



   wanaonijua si mtu wa matamshi ya ajabu.



  Nina



    heshima zangu.



   



  Kichwa cha



   mjaddala



   



  hakinistaki na dhamiri



   hainihukumu.



  nimetumia maneno makali



    tu



   lakini ni ya kiswahili cha kawaida.







   Tanzania imetoka mbali na



  humu sijadili safari



    yetu lakini ukweli



  watanzania Tumeichoka CCm



   na yenyewe



    (kama ipo) inajua kuwa







  tumeichoka



    Watu



   



  wanaiba



   wanatoa rushwa. Rushwa imekua sasa



  inaitwa ufisadi.



    Mtu anaweza kuunguza



  benki kuu ili kuficha



   wizi. Viongozi



    wamejirundikia marupurupu







  yaliyokuwa haramu yakawa



    halali.



    Toka lini sitting alowance ikawa



    laki tano na mtu anaweza kukaa vikao



  vitatu



   kwa siku.



   



  Sijawahi kukutana nayo nami



   nimetembea



  kidogo



    Watanzania polepole



   wakajikusanya nguvu kupitia



   



  taasisi zake



   moja wapo ikiwa vyama vya



  siasa. NCCR







   ilinyongwa



  ikaumia inafufufa. CUF nayo ilifurukuta TLP ah



    usiseme



    CHADEMA



  ikafanikiwa



   kuwakusanya



   



  watanzania na wakaitumaini. CCM







  ilipolinyonga tumaini lao la



    kupata



  Katiba



   mpya tumaini la watanzania ilikuwa



  CHADEMA Ni



    kupitia hiyo tukaipata



  UKAWA







   Siku zote



    tunajua watanzania maamuzi magumu



   tutayafanya kupitia



   



  uchaguzi mkuu 2015.



   Tumeishachungulia na



  kuiona serikali



    ndani



   ya



  ukawa. Fulani rais, Fulani PM fulani vile



   







    Gnafla tunasikia Lowasa



    anahamia CHADEMA tukacheka. apite wapi?



    Mara



    tukasikia CHADEMA



   imenunuliwa kama timu ya Manchester Mara







   ah! nani alisema Lowasa



  fisadi? leta ushahidi



    Mwisho tukasikia



  yamekuwa> Wenye akili



    tukasema basi



  sisi na CCM yetu na madhambi



   yake. UKAWA



  basi.



    Ghafla tunasikia Slaa na



   wengine hawamo ila ni Mbowe



   



  kalazimisha.



   Slaa haonekani kwenye vikao na



  sasa Lipumba







   kajitoa.



  Mbatioa achana naye. Yuko kazini.







   Sasa kama Mbowe anasema walikubaliana



  katika



    kamati kuu iweje katibu mkuu wake



  hayupo? kama



   huu ni uamuzi



    wa UKAWA mbona wenzake







  wanajitoa? UKAWA ni Mbowe kwongeza







   Mbowe??????



    Kama kweli



  kaahidiwa fedha



   basi



    ni



  fisadi nambari wani. Kawasaliti



   watanzania



  kwa manufaa



    yake. la sivyo basi



   ni kaburu tu. Mpaka awe mweupe ndiyo



    tuseme



   ni kaburu. kuwabagua



  wote hao bado unaweza kusema



   



  nimetukana????????????? Sikubali  --



   



   



   



      Send



   Emails to wanabidii@googlegroups.com



     



       







    



   



      Kujiondoa Tuma



   Email



  kwenda



     



     



   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 



     Utapata Email ya



     



    kudhibitisha ukishatuma



   



   







       



     



     



   



  Disclaimer:



     



     



  Everyone



    posting to this Forum bears the



  sole



   



   



  responsibility



      for any legal



  consequences







   of his or



  her postings, and



     hence



      statements and facts must be presented



    responsibly. Your



     



   continued membership



   



  signifies that you



   agree to this



     











  disclaimer and pledge to abide by our Rules and



     Guidelines.



     



      ---



     







    



    You



  received this message because you



   are



  subscribed to



     the



   



   



   Google Groups



   



  "Wanabidii"



   group.



     



      To



   unsubscribe from this group and stop







   receiving emails



      from it, send an







  email



    to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



     



      For more



  options,



    visit



   











  https://groups.google.com/d/optout.







    



   



    



    



   --



   



    Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



    



     Kujiondoa Tuma



  Email



   kwenda



   



     wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 



     Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



    



     Disclaimer:



   



    Everyone posting to



  this



   Forum bears the sole



    responsibility



     for any



  legal consequences







   of his



  or her postings, and hence



   



    statements and facts must be presented



   responsibly. Your



    



  continued membership



   signifies that you



  agree



    to this



    



  disclaimer and pledge to abide by



    our



  Rules and Guidelines.



    







  ---



     You received this message



  because



   you are



   



  subscribed to the



     Google Groups







   "Wanabidii"



  group.



     To







  unsubscribe



    from this group and stop



   receiving emails



   



    from it,



   send an email to



  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



     For more options, visit



   







    https://groups.google.com/d/optout.



   



    --



   



  Send



   Emails to wanabidii@googlegroups.com



   



    Kujiondoa Tuma Email



   kwenda



   



   



  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 



    Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



   



    Disclaimer:







   Everyone posting to



    this Forum bears the



   sole



  responsibility for any legal







   consequences of his or her postings, and hence



  statements



    and facts must be presented



  responsibly. Your



   continued



    membership signifies that you



   agree to this disclaimer and



    pledge to



   abide by our



  Rules and Guidelines.



    ---



    You received this message











   because you are subscribed to the Google



  Groups



    "Wanabidii" group.







   To unsubscribe



    from this group and stop







  receiving emails from it, send an



    email



  to



   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



    For more options, visit







   https://groups.google.com/d/optout.







   --



   Send



  Emails to wanabidii@googlegroups.com







   Kujiondoa Tuma Email



  kwenda







   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 



   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma







   Disclaimer:







  Everyone posting to



   this Forum bears the



  sole responsibility for any legal







  consequences of his or her postings, and hence

 statements



   and facts must be presented responsibly. Your



  continued



   membership signifies that you



  agree to this disclaimer and



   pledge to



  abide by our Rules and Guidelines.



   ---



   You received this message







  because you are subscribed to the Google Groups



   "Wanabidii" group.







  To unsubscribe



   from this group and stop



  receiving emails from it, send an



   email to



  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



   For more options, visit







  https://groups.google.com/d/optout.







  --



  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







  Kujiondoa Tuma Email kwenda







  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 



  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma







  Disclaimer:



  Everyone posting to



  this Forum bears the sole responsibility for any
legal



  consequences of his or her postings, and hence

 statements



  and facts must be presented responsibly. Your
continued



  membership signifies that you agree to this
disclaimer

 and



  pledge to abide by our Rules and Guidelines.



  ---



  You received this message



  because you are subscribed to the Google Groups



  "Wanabidii" group.



  To unsubscribe



  from this group and stop receiving emails from it,
send

 an



  email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



  For more options, visit



  https://groups.google.com/d/optout.







 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com







 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma







 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.













 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment