Ninafurahi sana kupata maeneo ya kutofautiana nawe Ananilea.
1) Kama ujio wa Lowasa kwenye UKAWA kuna maana sasa nani katika CCM akija UKAWA haitakuwa sahihi au hatapokelewa katika harakati za ukombozi wa watanzania?
2) Mazingira yaliyomleta Lowasa kwenye UKAWA yakoje? kweli mazingira haya yanaonyesha anakuja na kujiunga na harakati za UKAWA kulikomboa kutoka mikononi mwa CCM au anatafuta kutimiza azma yake binafsi?
Mawazo yangu ni kuwa kama tunapigana vita hatuwezi kuokota kila aliyeshika Bunduki na kumwambia karibu jeshini kwetu. Hapo ndipo wengine tunaona UKAWA imepoteza mwelekeo. Lakini pia tunachelea kujua kama ni UKAWA imepoteza mwelekeo au ni mtu mmoja? hatutarajii taasisi kama UKAWA kuwa na 'a STRONG MAN'. Tulitarajia kuona collective leadership. Sasa unapoona watu ambao walitarajiwa kuwa sehemu ya uamuzi wanaonekana sio, hapo ndipo tunaanza kujiuliza kuliwahi kuwa na UKAWA? kwa maana ya neno UMOJA! Umoja unaotegemea mtu mmoja sio umoja.
Nkya nakubaliana na wewe kuwa CCM ilivuruga mchakato wa wananchi kuandaa katiba yao. Tulitarajia UKAWA kutuongoza. Sasa kwamba nako tunapoteza matumaini kuna njia mbili:
a) CCM ikiona mbele inaweza kula matapishi yake na kurudi kwenye utashi wa wananchi kwa kuanzia ilipopotelea yaani toleo la pili la tume ya Warioba. Hii ni njia nyepesi na rahisi. Tunasubiri kusikia watasemaje katika kampeni hizi. Wakiwa ngangali njia ya pili itatupeleka tuendako.
b) Kama CCM itashikilia msomamo wake basi baada ya uchaguzi Vyama hivi (wasirika katika UKAWA) vitajiunga na kujenga imani yake kwa wananchi na kuanza mchakato upya. Tunawatarajia viongozi kama Lipumba na Slaa ambao wamejitenga na machafuko yanayoivuruga UKAWA. hayo ndiyo matumain i yangu.
Elisa
--------------------------------------------
On Thu, 8/6/15, 'ananilea nkya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MBOWE::: NI KABURU AU FISADI TU?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 6, 2015, 4:25 PM
Elisa niliwahi kuandika
humu kwamba mapambano ya kuwarejeshea wananchi wa Tanzania
mamlaka yao yaliyoporwa na CCM siyo lelemama. Nilitoa
mfano CCM kupora mamlaka ya wananchi
walipozika pale Dodoma mwaka 2014 Rasimu ya Katiba ya
wananchi.
Kuleta
mabadiliko ya kuwarejeshea wananchi mamlaka yao,
kunahitajika nguvu kubwa ya umma na viongozi wenye dhamira
na uvumilivu. Kunahitajika uongozi wa
upinzani usioyumba na wenye maono. Kunahitajika viongozi
wa upinzania wenye dhamira ya dhati, ujasiri, uthubutu na
uvumilivu maana ukombozi ni kazi ngumu
yenye misukosuko na maumivu sana. Wengine wakitiwa
msukosuko kidogo tu wanabwaga manyanga. Hao hawafai
kuongoza mapambano ya kurejesha mamlaka ya wananchi.
Lakini zaidi wasaliti katika mapambano ya kujeresha
mamlaka ya wananchi ni wengi. Waoga nao
ni wengi zaidi. Wanaotishwa na kutishika kirahisi nao
wamo kibao.
Jambo muhimu
katika UKAWA ni je viongozi wa vyama vyote
vilivyounda umoja huo wana dhamira ya dhati—kuweka
maslahi ya wananchi mbele? Je wote wana dhamira
ya kweli na maamuzi yasiyoyumba? Ni aibu kubwa sana kwa mtu
aliyejinasibu kuwa mpigania maslahi ya wananchi kusaliti
mapambano ya ukombozi wa wananchi. Anajilaani mwenyewe.
Mpigaji wa kweli anayeweka maslahi ya umma mbele hata
akijeruhiwa kiasi gani-hawezi kubaga manyanga—maana kubaga
manyanga ni kuwaaambia unaowapigania kuwa umechoka.
Lakini ninachoamini mimi ni
kwamba kwa ujio wa Lowassa ndani ya UKAWA, kwa vile
alikuwa upande wa watawala, umma utawafahamu viongozi na
baadhi ya wanachama wa vyama vya upinzani ambao walikuwa
wanafanya kazi ya kusaliti mapambano ya ukombozi wa
wananchi.
Pengine chaguzi
wa mwaka huu utatuonyesha mengi ambayo yalikuwa
yanakwamishwa jitihada ukombozi wa pili wa
kuhakikisha wananchi wa taifa hili ndio wenye mamlaka ya
mwisho . Tusubiri.
Ananilea
Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Thu, 8/6/15, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject:
[wanabidii] MBOWE::: NI KABURU AU FISADI TU?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 6, 2015, 1:49 PM
Ndani ya mtandau huu toka
tumeuanza matusi yanakemewa, na hayaruhusiwe.
niliwahi
kufungiwa na nikarudi kwa neema
tu.
Lakini
hata kwa
wanaonijua si mtu wa matamshi ya ajabu. Nina
heshima zangu.
Kichwa cha
mjaddala
hakinistaki na dhamiri
hainihukumu. nimetumia maneno makali
tu
lakini ni ya kiswahili cha kawaida.
Tanzania imetoka mbali na humu sijadili safari
yetu lakini ukweli watanzania Tumeichoka CCm
na yenyewe
(kama ipo) inajua kuwa
tumeichoka
Watu
wanaiba
wanatoa rushwa. Rushwa imekua sasa inaitwa ufisadi.
Mtu anaweza kuunguza benki kuu ili kuficha
wizi. Viongozi
wamejirundikia marupurupu
yaliyokuwa haramu yakawa
halali.
Toka lini sitting alowance ikawa
laki tano na mtu anaweza kukaa vikao vitatu
kwa siku.
Sijawahi kukutana nayo nami
nimetembea kidogo
Watanzania polepole
wakajikusanya nguvu kupitia
taasisi zake
moja wapo ikiwa vyama vya siasa. NCCR
ilinyongwa ikaumia inafufufa. CUF nayo ilifurukuta TLP ah
usiseme
CHADEMA ikafanikiwa
kuwakusanya
watanzania na wakaitumaini. CCM
ilipolinyonga tumaini lao la
kupata Katiba
mpya tumaini la watanzania ilikuwa CHADEMA Ni
kupitia hiyo tukaipata UKAWA
Siku zote
tunajua watanzania maamuzi magumu
tutayafanya kupitia
uchaguzi mkuu 2015.
Tumeishachungulia na kuiona serikali
ndani
ya ukawa. Fulani rais, Fulani PM fulani vile
Gnafla tunasikia Lowasa
anahamia CHADEMA tukacheka. apite wapi?
Mara
tukasikia CHADEMA
imenunuliwa kama timu ya Manchester Mara
ah! nani alisema Lowasa fisadi? leta ushahidi
Mwisho tukasikia yamekuwa> Wenye akili
tukasema basi sisi na CCM yetu na madhambi
yake. UKAWA basi.
Ghafla tunasikia Slaa na
wengine hawamo ila ni Mbowe
kalazimisha.
Slaa haonekani kwenye vikao na sasa Lipumba
kajitoa. Mbatioa achana naye. Yuko kazini.
Sasa kama Mbowe anasema walikubaliana katika
kamati kuu iweje katibu mkuu wake hayupo? kama
huu ni uamuzi
wa UKAWA mbona wenzake
wanajitoa? UKAWA ni Mbowe kwongeza
Mbowe??????
Kama kweli kaahidiwa fedha
basi
ni fisadi nambari wani. Kawasaliti
watanzania kwa manufaa
yake. la sivyo basi
ni kaburu tu. Mpaka awe mweupe ndiyo
tuseme
ni kaburu. kuwabagua wote hao bado unaweza kusema
nimetukana????????????? Sikubali --
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma
Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone
posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you
agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you
are subscribed to
the
Google Groups
"Wanabidii"
group.
To
unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an
email
to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this
Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because
you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To
unsubscribe
from this group and stop
receiving emails
from it,
send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment