Sunday, 25 January 2015

Re: [wanabidii] RAIS AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI

Mwakyembe hana budi kwenda huko ili aonje mahusiano ya kimataifa kabla ya majukumu makubwa yajayo
--------------------------------------------
On Sat, 1/24/15, 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] RAIS AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, January 24, 2015, 11:36 PM

Makyembe atampelekaje 
africa mashariki jamaniiii wkt ni jembeee au kagusa maslahi
yao, sasa mzee sitta anaweza nini wakati kashajichokea zake
kwann asingempumzisha? yetu macho wacha tuwaone week hiii
hii inayoanza huenda nao wakajiuzulu tena


From: Yona
Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanazuoni
<wanazuoni@yahoogroups.com>; wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>;
"wanataaluma@googlegroups.com"
<wanataaluma@googlegroups.com>
Sent:
Saturday, January 24, 2015 8:47 AM
Subject:
[wanabidii] RAIS AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA
MAWAZIRI

RAIS
AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete
amefanya mabadiliko la baraza la mawaziri kwa
kuwateua mawaziri wapya wanane na manaibu waziri
watano.Akitangaza Mabadiliko hayo Katibu
Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema wapya waliongia
katika Baraza hilo ni Anne Kilango Malecela na Charles
Mwijage.Mara baada ya
kutangazwa, Mawaziri hao wameapishwa na Rais Jakaya Kikwete
ambapo wameapa kuzitumikia nyazifa zao mpya kwa uaminifu na
kuilinda Katiba ya Jamhuri ya Muungano.Mabadiliko hayo yako kama
ifuatavyo:-George
Simbachawene aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi ameteuliwa kuwa kuwa Waziri wa Nishati
na Madini.Mary Nagu
aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na
Uwezeshaji) ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
(Mahusiano na Uratibu).Eng. Christopher Chiza aliyekuwa Waziri Kilimo,
Chakula na Ushirika ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji).Dkt Harrison Mwakyembe aliyekuwa
Waziri wa Uchukuzi ameteuliwa kuwa Waziri wa Ushirikiano wa
Afrika Mashariki.Wiliam
Lukuvi aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera
Uratibu na Bunge) ameteuliwa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi.Stephen Wasira aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
, (Mahusiano na Uratibu) ameteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo,
Chakula na Ushirika.Samuel Sitta aliyekuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, ameteuliwa kuwa Waziri wa Uchukuzi.Jenister Mhagama aliyekuwa Naibu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi ameteuliwa kuwa Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na
Bunge)Stephen Maselle
aliyekuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini ameteuliwa kuwa
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira)Angela Kairuki aliyekuwa Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria ameteuliwa kuwa Naibu Waziri
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.Ummy Mwalimu aliyekuwa Naibu Waziri,
Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) ameteuliwa kuwa Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria.Anne Kilango Malecela mbunge wa Same Mashariki
ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi.Charles Mwijage
Mbunge wa Muleba Kaskazini ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa
Nishati na MadiniJe una
maoni gani kuhusu mabadiliko
haya?





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment