Tuesday, 27 January 2015

Re: [wanabidii] PROF: SOSPETER MUHONGO SHUJAA WANGU SERIKALI YA AWAMU YA NNE

Jovias unachokinena ndicho nilichokiwaza. Wa TZ sisi niwa nafiki. Mbona mererani / mbuguni kuna watz wamewekeza lakini hakuna kipya? Tena cha ajabu hao hao wanapiga kelele kutaka kuwekeza gas/mafuta? Mimi narudia tena hakuna mtz mwenye uwezo wa kuwekeza kwenye hio sekta tuache ubishi usio na tija. Migodi tuu ya kawaida ya Tanzanite, Gold na Diamond imetushinda kila kukicha inaua watu kisa hakuna vifaa. 

On Tuesday, January 27, 2015, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:

Kama kuna binadamu wanafiki kwenye sayari hii mtanzania anaongoza.

Hebu kuna kosa gani kusema mtanzania hawezinkuwekeza kwenye gesi na kutaja tunavyoweza kuwekezA.

Jamaa alikua right hata kama lilikua shambulio binafsi. Hao wahuni wanatumia kigezo cha uzalendo kuwekeza hana wanachojali kuhusu mtanzania.

On Jan 24, 2015 12:15 PM, "Erick Maro" <rikmaro@gmail.com> wrote:

Waziri aliyesema Watanzania hawawezi kuwekeza kwenye gesi na mafuta, ila.kwenye  juice, matunda na soda.

Swali yeye si Mtanzania??
 
Je wawekezaji wote Duniani
hutumia mitaji yao tu kuwekeza??

Kilichomwondoa ni jeuri na kiburi chake kwa Watanzania wote.

Anaweza kuwa msomi mzuri ila sidhani kama usomi wake unatija kwa Taifa hili kwa matamshi yake.

On Jan 24, 2015 8:11 PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:
Ngulupa,
Serikali ijayo ipi? Ukawa hawawezi kumpa Muhongo wizara yoyote, na CCM inapumlia mashini.
em

2015-01-24 11:46 GMT-05:00 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Nafikir sio dhambi kujiuzuru....nafikir pia wenye maamuzi pia wanasikia...Muhongo anaweza rudi bila kinyongo serikali ijayo. ..Cha muhimu...ukipewa kazi. ifanye kazi... watu wanaweza wakakuyumbisha lkn kazi yako itakulinda. Akienda mbabaishaji pale wizarani...watu wataandamana Muhongo arudi..

Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:

PROF: SOSPETER MUHONGO SHUJAA WANGU SERIKALI YA AWAMU YA NNE

Kama mtanzania wa kawaida nimesikitishwa na taarifa za kujiuzuru kwa Prof. Sospeter Muhongo waziri wa nishati na madini ni wazi kwamba maamuzi haya yamekuja kutokana na shinikizo la watu wanaolazimisha kusikia wanachotaka kusikia na kuukataa uhalisia. Huu ni ushindi kwa baadhi ya mabwanyenye wanaotaka kunufaika na gas kwa kigezo cha uzawa ilhali hawana sifa na uwezo wa kuwekeza, watu ambao wanamaslahi yao binafsi ila wakatumia rasilimali zao kuuaminisha umma kuwa wanapambana kwa maslahi ya Taifa.

Ni huzuni kubwa, itachukua miaka mingi sana kwa Wizara hii kupata waziri thabiti kama Prof. Muhongo, kitendo hiki kinaonesha wazi kwamba ukiwa na msimamo wa kupambana na mabepari huna nafasi katika kuiongoza Tanzania. Wasomi wanaipenda nchi yao ila wanakatishwa tamaa kwani siasa za Tanzania hazitoi fursa kwa wasomi kuzitumia taaluma zao objectively. Mabepari wanapambana kuhakikisha wazalendo wanafutika katika mfumo wa serikali.

Ili uonekane mwanasiasa bora Tanzania Muhitimu wa kidato cha nne anataka kusikia kwamba anao uwezo wa kufundisha chuo kikuu kwasababu ni mzawa. Watanzania wamezowea viongozi wanaowadanganya na kuwapa moyo hata kwenye vitu ambavyo haviwezekani.

NITAMKUMBUKA MUHONGO KWA:

1. Uwazi wake kwa Watanzania bila kujali mihemko ya walioukataa ukweli
2. Kusimamia kazi ya kusambaza umeme vijijini kwa kasi ya ajabu 
3. Kudhibiti tatizo la mgao wa umeme
4. Uwezeshaji kwa wachimbaji wadogo
5. Kuweka mbele maslahi ya Taifa dhidi ya maslahi binafsi
6. Ujasiri wa kukata mirija ya wanyonyaji wizarani bila kujali utajiri wao.
7. Kusimamia kigezo cha kuwa na mtaji kwenye mradi wa gas 
8. Ni waziri ambaye bajeti zake zilikuwa clear zimejaa miradi ya msingi na si porojo za kisiasa

Kutokuwa tayari kuwadanganya watanzania na kuwapa matumaini kwa vitu ambavyo haviwezekani, kukata mirija ya mapepari uchwara wa ndani, kuwana msimamo kwa anayoyaamini haya ndiyo yaliyomuondoa Muhongo. Watanzania tumekubali kuwapa ushindi ni watu wabadhirifu waliomuona Prof. Muhongo ni kikwazo kwao kwasababu walinyimwa vitalu vya familia kwa maslahi ya umma.

Any way Hongera kwa kazi nzuri, hongera kwa msimamo kwa tunaotambua uwezo wako tumesikitishwa na jambo hili. Hakika ulikuwa waziri wa kutiliwa mfano wewe ni shujaa uliyesimamia na kuitendea haki taaluma yako na kukataa kuburuzwa na wababaishaji.

Kwa hali hii tusitegemee wasomi wengine wa Tanzania ambao wanafanya kazi kwenye mashirika makubwa duniani kukubali kuziacha nafasi zao kwa kigezo cha uzalendo wa kuja kuisaidia nchi yao ilhali nchi inaendeshwa kutokana na mihemko na mfumo haupo tayari kuona wala kusikia uhalisia wa mambo.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment