Monday, 26 January 2015

Re: [wanabidii] Prof Sospeter Muhongo Amejiuzulu Wadhifa wake wa Uwaziri

Ngulupa umenena ukweli maana watanzania wamezoea kupiga jalamba tuuu kwenye vijiwe vya kahawa na kusema watu vibaya. Huyu Prof. tutamkumbuka tuu, tusubiri mpaka May mwaka huu tuone, wanaomsema vibaya watamtamani arudi tuu.

2015-01-24 11:06 GMT+00:00 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Wandugu....siku mkiingia kwenye siasa mtajua....huyu jamaa kaisadia sana wizara hii...mgawo wa umeme umekwisha.. hujuma zote za wafanyabiashara alidhibiti...umeme vijijin kajitahid......hebu jiulizen akina ngereja wamepata wapi mabilioni wanayotembea nayo kwenye mabegi?.....Binafsi, naridhika na uwajibikaji wa Muhongo kisiasa lkn naamini atahitajika tena muda ukifika.

 'Sylvanus Kessy' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>OK Badala  ya  kufukuzwa na asipate mafao, sasa gharama nyingine inakuja ya kumlipa mafao yake yote  na kumuenzi.
>
>Hapa ndipo udhaifu wa serikali yetu. Sasa inatugharimu woooooote kumlipa kwa aliyofanya.
>
>Akili nywele
>
>
>
>
>--------------------------------------------
>On Sat, 1/24/15, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Prof Sospeter Muhongo Amejiuzulu Wadhifa wake wa Uwaziri
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Saturday, January 24, 2015, 12:13 PM
>
> Aliyekua Waziri wa
> Nishati na madini Sospeter Muhongo Amejiuzulu Wadhifa wake
> wa Uwaziri Katika mkutano wake wa waandishi wa habari alio
> uitisha
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment